Papaa Tony
Member
- Aug 21, 2013
- 65
- 48
wewe kweli ni krapu
hebu niambie unalinganishaje matumizi ya bandari ya watu wa rwanda na wilaya ya ilala au temeke??
if we lose DRC, then tutaumia zaidi, ila si rwanda (kama unavyodhani
Uganda sio watumiaji wakubwa wa Dar, they have been using Mombasa for ages
fanya homework yako wewe imbechili kwanza... hatuangalii bendera tunaangalia numbers
nalaabuk wahed
Khaa!! wewe vipi? Sisi ndiyo wa kuliwa kwenye ajira na ardhi tuingie au tusiingie kwenye shirikisho
Mkuu naona unajisumbua bure kumuelimisha huyo mtu. Sisi tunahitaji DRC kuliko hivyo vinchi vidogo, nadhani wakishajiondoa kuna haja ya kusaini mkataba wa makubaliano yaushilikiano na DRC kama USA alivyofanya kwa Saudia Arabia ili DRC watutegemee kwa kila kitu.
Sasa kama mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ni Andrew Chenge unategemea watu wako serious kweli na serikali hii?
Yaani ktk watu wote mzee wa vijisent ndio amepewa uenyekiti?
Kazi tunayo
UDHAIFU WA dhaifuHii ni mbinu ya hizi nchi triple K kujaribu kuishinikiza TZ ikubaliane na mapendekezo yao hasa upande wa ardhi.
2. Kaguta na Kenyata wanautumia mgogoro wa Tz na Rwanda kwa maslai ya nchi zao.
Kwa sasa Tanzania tunakosa kiongozi/viongozi wenye mipango mjalabu ja ku boost uchumi, Tz siyo nchi ya kutegeme bandari tu kiasi kwamba tuone ndiyo mwisho wa uchumi wetu.
Khaa!! wewe vipi? Sisi ndiyo wa kuliwa kwenye ajira na ardhi tuingie au tusiingie kwenye shirikisho
let them Go nothing to worry! kuendelea kulialia na RWANDA&UGANDA kutumia bandari yetu au lah kwetu ni changamoto lakini pia tujue kua ni muda mrefu hawakupenda kufanya hivyo ila kwa sasa ndo wamejidhiirisha roho zao zikoje! Tumshukuru Mungu kwakua na bahari cha msingi apa ndo iwe chachu ya kusimamia na kuanzisha vyanzo vya mapato vingine..leo tunalaumiana lakini tujiulize je nchi ambazo hazina BAHARI chumi zao zinaendeshwaje? Tuwekeje kwenye GAS na italipa tu acha watuondolee Jams na usumbufu
It sound good......that is economical principle....and always it govern the political ideaHao wasafirishaji kwa nini hawaleti mchanganuo wa kitakwimu....
1. Inachukua siku ngapi kuondosha kontena bandarini (Dsm/Mombasa)
2. Gharama za uondoshaji huo zikoje?
3. Unatumia siku ngapi kusafirisha kontena kwenda Uganda ama Rwanda?
4. Kero za traffic police kwa Tanzania na Kenya zikoje?
Kubwa zaidi hao kina Hanspope watwambie tukiondoa mizani wanatuhakikishiaje kuwa hawatabeba mizigo zaidi ya uzito unaoruhusiwa???
Bila kufanya haya tutakuwa tunapiga siasa tu!!
Kikubwa serikali yetu iongeze ufanisi tu bandarini, barabara ziimarishwe, tufufue reli ya kati jambo ambalo kina Hanspope hawato-support....mwisho wa siku wafanya biashara wa Rwanda na Uganda wataangalia njia ipi inawapa faida!!!!