Rwanda Spending $94 Million On Burundian Refugees

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738

Burundian refugees at Mahama camp fetching water

Burundian refugees are weighing heavily on Rwanda. The country has planned spending over $94 million on about 100,000 Burundian refugees in 2016 alone.

Every Burundian refugee in Rwanda is entitled to $950, annually, or $2.6 per day. This is $0.4 higher than what an average Rwandan spends.

The country is currently hosting 74,526 Burundi refugees, but the number is expected to exceed 100,000, making Rwanda spend roughly $95 million. This money can build an electric dam of 30MW or pay salary for Rwanda Police Force for seven years.

“We signed a tripartite agreement with UN High Commission for Refugees and other partners where each and every one commits to contribute in a way or another,” Frederic Ntawukuriryayo, the Communication Officer for Rwanda’s Ministry for Disaster Management and Refugee Preparedness told KT Press.

Ntawukuriryayo said when Rwanda builds schools and pays teachers, UNHCR and other partners may decide to extend infrastructure and human resources as demand increases. In other instances, when Rwanda builds a health center in a camp, UNHCR can contribute ambulances.

East Africa is expected to spend $313.8 million on 330,000 refugees at the end of 2016, from 214,124 in October 2015. Rwanda’s contribution represents 30% of the total expense and is the second biggest contributor to the budget.

Tanzania, where refugees will hit 170,000 people is set to spend $174 million, representing 56% of total amount. Uganda and DRC are the lowest contributors to the budget. They will host a total 60,000. Their input represents 7% of the total amount.

Meanwhile, Rwanda signed the tripartite agreement with UNHCR and 10 partners Tuesday afternoon whereby $10.8 million will be committed for the first phase of 2016 for DRC and Burundi refugees’ direct programs in Rwanda.

“As we continue to fundraise on behalf of refugees during the course of the year, we hope to increase the amount we are signing today,” reads a communiqué from the office of Dr Azam Saber, UNHCR representative in Rwanda.

Rwanda hosts a total 147,000 DRC and Burundian refugees settled in six refugee camps across the country.

Established on 40 hectares, Mahama refugee camp in Kirehe, Eastern province is the biggest. It hosts 48,303 Burundian refugees who fled the crisis that resulted from President Pierre Nkurunziza’s decision to stay on power against the will of citizen in April 2015.

Source: KT Press
 
Mbona wakimbizi wakitutsi hao
Yaani nimegundua ndio maana Nkurunzinza kang'ang'ania madaraka. Wakimbizi wote waliokuja Tanzania ni wahutu, na waliokimbilia Rwanda ni watutsi, hii hypothetical argument inafaa kufanyiwa kazi kujua kulikoni. Anyway tunafahamu slogan ya 'Sindumja' wanayoimba watutsi, kwa wale wasiojua maana ya 'Sindumja' ni 'mimi sio mtumwa wako'. Kwa maana nyingine kama wahutu watakubali kutawaliwa na Mtutsi ina maana wao ni 'Abhaja' kwa watutsi na kama watutsi wataendelea kutawaliwa na Mhutu maana yake wamkubali kuwa watumwa wa wahutu. sasa ni nani akubali kuwa mtumwa wa mwingine??? Nkurunzinza please continue to stay in power. Hao wanaosema is against the will of Burundians hawajui ukweli is against the will of Tutsi.
 
Ndugu unapigana machoni tutaonaje? hahahahahaaaaaa
 
Mambo mengine bwana!! Mbona Wanyarwanda chungu nzima walikuwa wanapewa hifadhi ya Ukimbizi Tanzania tangu miaka ya 1960s - sikuwahi hata siku moja kusikia Tanzania ikitangazia Dunia kuhusu ukarimu wetu and what have you - Watanzania tunajua hakuna sababu ya kutafuta sifa kwenye wajibu - waswahili usema tenda wema uendezako usilazimishe shukurani.

Taifa lolote linalo chukulia suala la wakimbizi kama ndio mtaji wa kisiasa yaani waonekane wanajali zaidi kuliko Mataifa mengine basi hao hawana nia thabiti ya kusaidia bali wanawatumia wakimbizi kwa ajenda zao za siri - tupe takwimu katika wakimbizi idadi ya Wahutu ni wangapi?

Mkuu ni hivi: Binadamu mwenye utu hawezi kulalamika eti "fedha zinazo tumika kuwasitili wakimbizi zengeweza kujenga madaraja/hydroelectric power generating station!!!" - akili gani hizi -yaani mnatoa msaada kwa Wakimbizi huku mnawasimanga!! Nyei binadamu wa design gani?

Nikiwasema eti nawachukia, niwachukie kwa lipi - heshimuni binadamu wenzenu muone kama ntatia neno.

Labda nikukumbushe kitu, baadhi ya Wanyaranda kwenye Serikali ya Kagame waliishi hapa Tanzania wakasomeshwa bure kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu, Kaberuka akiwa mmoja wao na wengine ambao sitawataja hapa bila ya kusahau wewe ukiwa mmoja wao, sasa tujaribu kufatia thread zako unazo andika kuhusu Tanzania - kuna popote panapo onyesha kwamba "OINA AKAIJUKO" hicho ni Kihaya waulize Wanyarwanda wanaojua Kihaya au Wanyankole wakwambie maana yake, hata PK na M7 wanajua maana yake, kitu hicho huna kabisa labda M7 tuliye muhifadhi kijiji cha Muhutwe Bukoba vijijini.
 
naona leo umepata kiingilio! tatizo lako ukizidiwa point auchelewi kukimbia... hahaha! sio lazima uongee kihaya hapa kwani kiswahili kimekushinda? wacha nirudie tena labda utafurahi, TANZANIA NAIPENDA KWA WEMA NA UKARIMU WALIOWATENDEA WAZAZI WETU (lakini mimi simo kwani ni mzawa na nilikuwa na haki zote ukiacha KATIBA iliyonilazimisha kuchagua moja, lol) KWA MIAKA YOOOOOTE ILE! unajuwa ndugu yangu ujinga wako ndio unatufanya tusielewane! akili za namna hii zitawafanya msiendelee milele! Kwani we unaona hatari kukumbushana jinsi Nkurunziza anavyotuchangisha bila sababu? wacha nikuambie, serikali ushughulishwa na watu na kama kiasi hicho cha pesa zinapotezwa kwa sababu ya ujinga wa Nkurunziza, basi tuna haki yote ya kupata habari kama hizi na kuishauri serikali itilie mkazo swala hili, ikiwemo kujaribu kila njia kusudi warundi warudi kwao kuiendeleza nchi yao! sio kuwasimanga kama unavyofikiri wewe! kwani nani kakuambia wanafurahia ukimbizi? wasaidie uone kama wote hawatarudi kwao...who knows, labda hata nyinyi Nyerere(RIP) angewapa data zote na ukalinganisha na umasikini wa kipindi kile, labda mngeishauri serikali isaidie wanyarwanda warudi kwao... we HABYARIMANA anasema nchi imejaa tena kabila moja analitimua kabisa! halafu majirani mnaona poa tu kusaidia wakimbizi bila kuishughulisha serikali hiyo ya kibaguzi? sio kila kitu unataka kubishana tu na kutaka watu waonekane wabaya kama ulivyo! je hawa sasa utasemaje? Danish MPs approve seizing valuables from refugees dunia ya sasa ni maslahi tu ndugu yangu, ndio maana hamuwaelewi wakenya... hata mtoto wako ukimkimbiza kwako akaja kuishi kwangu ujuwe utalipia msosi wake upende usipende!
 
Bukyanagandi hao jamaa wana roho ya hovyo. Hata hizo figures zitakuwa zimeongezwa sifuri.

Akina Kagame hawana shukrani, tuliwahifadhi makumi ya miaka, Watu wao wamesoma hapa tena tukiwajua, wakafanya kazi hapa lakini dharau haziishi.

Angalau Museveni anakumbuka alikotoka

Well said, juzi juzi hapa niliona taarifa ya agency ya UN ikilalamikia Rwanda kwamba wanafanya usanii takwimu za maendeleo katika Taifa lao, sasa kama shirika la heshima Duniani limewabamba wakina Mchamba wakighushi takwimu unafikiri ni mangapi wanatufunga KAMBA na adithi zao za kufikirika/kusadikika!!
 
A confidential report to the UN Security Council accuses Rwanda of recruiting and training Burundian refugees with the aim of overthrowing Burundi's President Pierre Nkurunziza, Reuters news agency is reporting.

The report, by UN-appointed experts who monitor sanctions on the Democratic Republic of Congo, alleges that training was carried out in a forest camp in Rwanda, Reuters says.

The experts said in the report that they had spoken with 18 Burundian combatants in eastern Congo's South Kivu province, according to the news agency.

"They all told the group that they had been recruited in the Mahama Refugee Camp in eastern Rwanda in May and June 2015 and were given two months of military training by instructors, who included Rwandan military personnel," Reuters quotes the report as saying.

Rwanda has not the commented on the leaked report, but it has strongly denied similar allegations in the past.

Burundi has been hit by unrest since April, when President Pierre Nkurunziza announced he was running for a third term, which he subsequently won.

He survived an attempted coup in May, and four ex-generals have been sentenced to live in prison for plotting to overthrow him.

3dbfd2a9-7670-4994-a4d6-a13d08b2bda9.jpg
 
wow, leaked? not really! "recruited in the Mahama camp" is no longer a leaked info! honestly, I rushed to read the name of Instructors, training location and... but as always, you guys disappoint! mumble mumble Bukyanagandi
 
Hawa jamaa bwana yani ni burudani tupu kwa misifa yao. Fedha za kuhudumia wakimbizi huwa zinatoka Rwanda au zinatoka UN? few years ago marekani alipunguza just $250,000 kwenye misaada, Kagame ilibidi achangishe kwa nguvu wafanyakazi wa umma kupitia 'agaciro fund' kwa sababu ya ukata uliokuja, leo eti wana $94mil za kusaidia wakimbizi? Kwa hizi propaganda hata Nape would be embarrassed! :D
 
Mambo mengine bwana!! Mbona Wanyarwanda chungu nzima walikuwa wanapewa hifadhi ya Ukimbizi Tanzania tangu miaka ya 1960s - sikuwahi hata siku moja kusikia Tanzania ikitangazia Dunia kuhusu ukarimu wetu and what have you - Watanzania tunajua hakuna sababu ya kutafuta sifa kwenye wajibu - waswahili usema tenda wema uendezako usilazimishe shukurani.

Taifa lolote linalo chukulia suala la wakimbizi kama ndio mtaji wa kisiasa yaani waonekane wanajali zaidi kuliko Mataifa mengine basi hao hawana nia thabiti ya kusaidia bali wanawatumia wakimbizi kwa ajenda zao za siri - tupe takwimu katika wakimbizi idadi ya Wahutu ni wangapi?

Mkuu ni hivi: Binadamu mwenye utu hawezi kulalamika eti "fedha zinazo tumika kuwasitili wakimbizi zengeweza kujenga madaraja/hydroelectric power generating station!!!" - akili gani hizi -yaani mnatoa msaada kwa Wakimbizi huku mnawasimanga!! Nyei binadamu wa design gani?

Nikiwasema eti nawachukia, niwachukie kwa lipi - heshimuni binadamu wenzenu muone kama ntatia neno.

Labda nikukumbushe kitu, baadhi ya Wanyaranda kwenye Serikali ya Kagame waliishi hapa Tanzania wakasomeshwa bure kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu, Kaberuka akiwa mmoja wao na wengine ambao sitawataja hapa bila ya kusahau wewe ukiwa mmoja wao, sasa tujaribu kufatia thread zako unazo andika kuhusu Tanzania - kuna popote panapo onyesha kwamba "OINA AKAIJUKO" hicho ni Kihaya waulize Wanyarwanda wanaojua Kihaya au Wanyankole wakwambie maana yake, hata PK na M7 wanajua maana yake, kitu hicho huna kabisa labda M7 tuliye muhifadhi kijiji cha Muhutwe Bukoba vijijini.
Sijui hii habari imetoka lini ila Rwanda katika ripoti ya UN iliyotoka siku zilizopita inataja Rwanda kuwa inawafundisha baadhi ya wakimbizi, watoto na wanajeshi kutoka Burundi.
Kwa hivyo itakuwa ni njia ya kujitetea kama ina mahusiano na hiyo ripoti ya UN
 
Hawa jamaa bwana yani ni burudani tupu kwa misifa yao. Fedha za kuhudumia wakimbizi huwa zinatoka Rwanda au zinatoka UN? few years ago marekani alipunguza just $250,000 kwenye misaada, Kagame ilibidi achangishe kwa nguvu wafanyakazi wa umma kupitia 'agaciro fund' kwa sababu ya ukata uliokuja, leo eti wana $94mil za kusaidia wakimbizi? Kwa hizi propaganda hata Nape would be embarrassed! :D

Mkuu, unafikiri walishia hapo? Walikwenda mbali zaidi kwa kulazimisha baadhi ya Wanyarwanda wanao ishi nje ya Nchi wachangie mfuko wa "agaciro"!! Sasa ukata uliokuwa umewakumba wameudhibiti kwa kutumia mbinu gani?

Leo hii wanazuga watu na misaada wa UNHCR wanajifanya niya kwao!!! Wasanii kweli kweli.
 
Mkuu, unafikiri walishia hapo? Walikwenda mbali zaidi kwa kulazimisha baadhi ya Wanyarwanda wanao ishi nje ya Nchi wachangie mfuko wa "agaciro"!! Sasa ukata uliokuwa umewakumba wameudhibiti kwa kutumia mbinu gani?

Leo hii wanazuga watu kwa kutumia publicity stunts za kujifanya wanatoa misaada kwa wakimbizi kumbe ukweli wa mambo misaada imetolewa na UNHCR!!! Wasanii kweli kweli.
 
naona leo umepata kiingilio! tatizo lako ukizidiwa point auchelewi kukimbia... hahaha! sio lazima uongee kihaya hapa kwani kiswahili kimekushinda? wacha nirudie tena labda utafurahi, TANZANIA NAIPENDA KWA WEMA NA UKARIMU WALIOWATENDEA WAZAZI WETU (lakini mimi simo kwani ni mzawa na nilikuwa na haki zote ukiacha KATIBA iliyonilazimisha kuchagua moja, lol) KWA MIAKA YOOOOOTE ILE! unajuwa ndugu yangu ujinga wako ndio unatufanya tusielewane! akili za namna hii zitawafanya msiendelee milele! Kwani we unaona hatari kukumbushana jinsi Nkurunziza anavyotuchangisha bila sababu? wacha nikuambie, serikali ushughulishwa na watu na kama kiasi hicho cha pesa zinapotezwa kwa sababu ya ujinga wa Nkurunziza, basi tuna haki yote ya kupata habari kama hizi na kuishauri serikali itilie mkazo swala hili, ikiwemo kujaribu kila njia kusudi warundi warudi kwao kuiendeleza nchi yao! sio kuwasimanga kama unavyofikiri wewe! kwani nani kakuambia wanafurahia ukimbizi? wasaidie uone kama wote hawatarudi kwao...who knows, labda hata nyinyi Nyerere(RIP) angewapa data zote na ukalinganisha na umasikini wa kipindi kile, labda mngeishauri serikali isaidie wanyarwanda warudi kwao... we HABYARIMANA anasema nchi imejaa tena kabila moja analitimua kabisa! halafu majirani mnaona poa tu kusaidia wakimbizi bila kuishughulisha serikali hiyo ya kibaguzi? sio kila kitu unataka kubishana tu na kutaka watu waonekane wabaya kama ulivyo! je hawa sasa utasemaje? Danish MPs approve seizing valuables from refugees dunia ya sasa ni maslahi tu ndugu yangu, ndio maana hamuwaelewi wakenya... hata mtoto wako ukimkimbiza kwako akaja kuishi kwangu ujuwe utalipia msosi wake upende usipende!

Kwani wakenye wana nini cha zaidi kuwashinda watanzania/wanyarwanda/warundi. Maisha ya wananchi wa EA yanafanana katika hali zote, au unasifia Kenya kwa ajili ya majengo marefu? au unafurahia unyan'gau unaofanywa na wakenya dhidi ya wakenya wenzao? au wasio wakenya?? tukirudi kwenye ajenda yako, wanyarwanda (Tutsi) hata mfanyaje, mnaeleweka. Hakuna jipya, matamanio yenu mliyodanganywa na mkoloni Mbeligiji kwamba ninyi mmezaliwa kuwa watalawala hiyo ilikuwa mbinu yao ya 'divide and rule'. Principle hiyo kwa sasa haifanyi kazi. Jambo la msingi, tengenezeni Rwanda iliyo na usawa kwa makabila yote, hali kadhalika Burundi wafanye hivyo hivyo, laikini ku assume superioty over others ni kuirudisha nchi kwenye machafuko ya umwagaji damu. 'Imana ibhagilile ikigongwe'
 
Hawa watu inabidi wapigwe na amnesia ili wasau kuhusu jadi yao ya majivuno na kutaka sifa. Sasa hiyo power dam si mkaijenge, mmelazimishwa kuwasaidia.., yaan sifa tu..
 
Kwani wakenye wana nini cha zaidi kuwashinda watanzania/wanyarwanda/warundi. Maisha ya wananchi wa EA yanafanana katika hali zote, au unasifia Kenya kwa ajili ya majengo marefu? au unafurahia unyan'gau unaofanywa na wakenya dhidi ya wakenya wenzao? au wasio wakenya?? tukirudi kwenye ajenda yako, wanyarwanda (Tutsi) hata mfanyaje, mnaeleweka. Hakuna jipya, matamanio yenu mliyodanganywa na mkoloni Mbeligiji kwamba ninyi mmezaliwa kuwa watalawala hiyo ilikuwa mbinu yao ya 'divide and rule'. Principle hiyo kwa sasa haifanyi kazi. Jambo la msingi, tengenezeni Rwanda iliyo na usawa kwa makabila yote, hali kadhalika Burundi wafanye hivyo hivyo, laikini ku assume superioty over others ni kuirudisha nchi kwenye machafuko ya umwagaji damu. 'Imana ibhagilile ikigongwe'
reka sha! ahubwo Imana izakugirire ubuntu utahe iwanyu mumahoro!
 
Back
Top Bottom