hawajui wala hawaelewi,news waliibandua kutoka afroline(extremist website affiliated with FDLR),hawajiulizi kwanini hiyo news haikuwepo kwenye any credible news source?I hope hao wote waliocoment khs video ya kagame wanaelewa kinyarwanda au wana knowledge yyte khs lugha ya kinyarwanda bla hvo wa TZ 2takuwa wajinga wa kudanganywa na wa2 wengne wanavotaka ndg zangu
Ile wanted list umeiona? tunajua unajua uncle zako walipo na usisahau zawadi kubwa tutakupa,achana na Kagame focus na ile list ujikomboe kimaisha maana kuchimba mihogo ya wizi hailipi
Unajua hata FDLR wanataka nini wewe? au nani amekuambia FDLR wanataka kuongea na Kagame? go educate yourselfIli iwe nini? Kuwaambia waongee na raia wao ni swala la chumbani? No wonder hizi nchi za kiafrika haziendelei mambo ya kipumbavu tu ndio wanashadidia. Je, nani angewaita wapinzani pamoja na M7 kuwaambia maneno hayo? Mbona Uganda hawakutaharuki wakati na wao ni washiriki? Au Rwanda wanajiona zaidi? Kwa hili JK yuko spot on. Kilichobaki kwa JK ni kumwaga ugali sasa, wao si wamemwaga mboga.
Mokala lets agree to disagree brother,tusitoane macho humu!kwa nini wewe ni mvivu sana wa kusoma ? huo utetezi wako wa kitoto eti kagame si wanted nilishakujibu! siyo wote waliopo magerezani au kutafutwa na polisi ni wahalifu wengine wanasingiziwa tu wahalifu papa akina kagame wanaendelea kunyonya damu za raia wasio na hatia. saadamu hussein hakuwahi kushitakiwa popote wakati akiwa madrakani lakini baada ya kuondoshwa yalidhihirika na kudhibitishwa mengi!
hawajui wala hawaelewi,news waliibandua kutoka afroline(extremist website affiliated with FDLR),hawajiulizi kwanini hiyo news haikuwepo kwenye any credible news source?
Mokala lets agree to disagree brother,tusitoane macho humu!
Ndio tatizo la kusema bila kufikiri after effect. Wanasema ukesha toa neno si lako tena na huwezi kulirudsha . JK must think before he opens his mouth
H aha ahaha ahaha aa amini unachoamini ila wewe na Rushasha ni lost cause na kama war mlipewa kipondo cha sawasawa na kina Kagame ndio maana mko humu mnamwaga sumu tuu huku wenzenu wanajenga nchi,naona mnatafuta support tuu.kweli wewe hunazo, unapoamua kudanganya jaribu hata kubuni uwongo unaofanania na ukweli, wewe ni msemaji wa kagame? kama video ilikuwa ya uwongo kwa nini kagame na serikali yake hawakuikanusha? haiingii akilini hata kwa kichwa cha mwenda wazimu!
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!
H aha ahaha ahaha aa amini unachoamini ila wewe na Rushasha ni lost cause na kama war mlipewa kipondo cha sawasawa na kina Kagame ndio maana mko humu mnamwaga sumu tuu huku wenzenu wanajenga nchi,naona mnatafuta support tuu.
Wewe nani amekuambia Kagame au majeshi yapo Congo? na nani alikuambia Economy ya Rwanda inategemea Congo?nakushauri achana na story za kina rushasha watakuharibu kichwawewe sijui ni mjinga wa wapi mpaka unadiriki kumtusi Rais wako kwa ushabiki bila hata kufanya analysis/ follow up hata kidogo, kwa hiyo kwa akili yako PK ni muungwana sana mpaka unamuona yupo sahihi na kwamba busara ya kumwambia sirini viongoz wote hawana isipokuwa wewe tu ndo una busara hiyo? PK hakuna lugha yoyote wala ushawishi unao ujua wewe anaweza kuukubali kuondoka DRC labda ad_klee nchi yake kufa kwsbb ecomic power yote ipo huko na ndo maana anahaingaika mpaka na umeona juzi UN wametoa msimamo_fuatilia mambo acha kuropoka
so what?...hata mimi ni Mtanzania 100%!!koba ni nini nilichoandika kinachokufanya ucheke? huoni umuhimu wa kagame na serikali yake kukanusha ingawaje kwa kuchelewa video zinazomwonyesha akitoa kauli za kejeli kwa Tanzania kama kweli ni za uwongo kama watusi mnavyodai? Mimi ni mtanzania (pure TANZANIAN ) hamna hata chembe ya kusingiziwa ya taifa lingine nakasirika sana unavyonibebesha utaifa usionihusu! watusi mmelikoroga na hamna budi kulinywa.
Samahani,kumbe mlikuwa mnaigiza?hii inaonyesha ulivyomshamba, hujui hata tofauti ya kupigana na kuigiza?
Utakanusha vingapi kutoka afroline?koba ni nini nilichoandika kinachokufanya ucheke? huoni umuhimu wa kagame na serikali yake kukanusha ingawaje kwa kuchelewa video zinazomwonyesha akitoa kauli za kejeli kwa Tanzania kama kweli ni za uwongo kama watusi mnavyodai? Mimi ni mtanzania (pure TANZANIAN ) hamna hata chembe ya kusingiziwa ya taifa lingine nakasirika sana unavyonibebesha utaifa usionihusu! watusi mmelikoroga na hamna budi kulinywa.
H aha ahaha ahaha aa amini unachoamini ila wewe na Rushasha ni lost cause na kama war mlipewa kipondo cha sawasawa na kina Kagame ndio maana mko humu mnamwaga sumu tuu huku wenzenu wanajenga nchi,naona mnatafuta support tuu.
subiri nitakukusanyia posts zako huku unazokiri wewe ni mtusi mpenda damu za watu(tutsi the blood sucker!)so what?...hata mimi ni Mtanzania 100%!!
acha ushamba kwanini utoe hukumu kwa jambo usilokuwa na uhakika nalo? hii nisawa na unavyomtetea kagame siyo muuaji angali hujui chochote kuhusu rwanda zaidi ya kubeba mabox marekani.Samahani,kumbe mlikuwa mnaigiza?