1. inafuatana ushauri aliutolewa wapi? kwanini asimuite kama rafiki?
2. Sijawahi sikia akiongea najua ni sababu anajua alikosea
3.Alishikwa na bado anahasira nasisi anashangaa mbona hukumwambia kama rafiki badala yake umeenda kumtangaza mbele za watu
4. Wanaongelea kwasababu wanajua Tanzania ni jeshi kubwa wanaogopa
Hakukanusha , si yeye wala waziri wake wa mambo ya nje.SMimi bado siamini kama ni PK kweli aliyetamka yale maneno ya kejeli kwa JK!
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!
Kuna video iliwekwa humu..nilikua tomaso kama wewe lakini nikaitazama! itafute..
1. inafuatana ushauri aliutolewa wapi? kwanini asimuite kama rafiki?
2. Sijawahi sikia akiongea najua ni sababu anajua alikosea
3.Alishikwa na bado anahasira nasisi anashangaa mbona hukumwambia kama rafiki badala yake umeenda kumtangaza mbele za watu
4. Wanaongelea kwasababu wanajua Tanzania ni jeshi kubwa wanaogopa
1. inafuatana ushauri aliutolewa wapi? kwanini asimuite kama rafiki?
2. Sijawahi sikia akiongea najua ni sababu anajua alikosea
3.Alishikwa na bado anahasira nasisi anashangaa mbona hukumwambia kama rafiki badala yake umeenda kumtangaza mbele za watu
4. Wanaongelea kwasababu wanajua Tanzania ni jeshi kubwa wanaogopa
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!
sifurahishwi na hali ya hewa inayoendelea kati yetu na Rwanda, kwasababu wanyarwanda nawapenda sana na siku zote nimekuwa nikiwaonea huruma kutokana na kilichotokea 1994. wamefikia mafanikio makubwa ambayo naamini yanahitaji kuendelezwa na si kuvurugwa na vita; Mungu aepushie mbali ugomvi kati yetu na Rwanda. ni kweli wengi wao wameishi sana tz kama ndugu pamoja na kwamba walikuja kama wakimbizi, sitegemei kwamba tutaanza kuchukiana sisi na wao kwa jambo hili tu. viongozi hawa wawili wakutanishwe wapatanishwe ili tuendelee kuwa na urafiki na Rwanda badala ya kuonana kama maadui kama inavyoonekana kwenye mitandao mingi watu wakijadili kwa sasa. sisi sote tunaishi kwa kufaidiana.

Interahamwe mkiingia sehemu lazima mmwage sumu,Rwanda mlifanya genocide mkakimbia na Congo mnachofanya only God knows mmebaki kusingizia Kagame,sasa mnataka kuifanya TZ iingie kwenye ugomvi wenu na tutsi on your behalf,i hope many Tanzanians are smarter kuliko unavyofikiria na hizo hating and cheap propaganda against tutsi wont work,mmeigeuza JF international kuwa hating propaganda machine against Tutsi/Kagame,yaani tabu kweli kweli nyie interahamwe!Ni kweli tumeishi na wanyarwanda km ndugu. Na hatutaki ugonvi nao. Lkn nani alianza uchokozi? It is that tyrant, kagame. So it is up to them to make this come to an end. Afu ndgu yngu unawajua watutsi vizuri kweli? Sio watu hao kabisaaa
Hakuna vita wala chuki btn TZ and Rwanda and not even close hizo ni fantasy tuu na wishful thinking za wapinzani wa Kagame,wanajaribu kukuza mambo madogo yaonekane makubwa,the case of "The enemy of my enemy..."
JF imevamiwa na interahamwe!
Video ilikuwa ya lugha ya kinyarwanda. Kwa wenzetu mnayoizungumza, nani katafsiri?
Naona yote yanaletwa hapa na makabila ya wahutu na watutsi na wote warudi kwao wapigane huko huko. Wasituingize kwenye mambo yao!
Ile wanted list umeiona? tunajua unajua uncle zako walipo na usisahau zawadi kubwa tutakupa,achana na Kagame focus na ile list ujikomboe kimaisha maana kuchimba mihogo ya wizi hailipisasa napata picha kwanini mlichinjana mwaka 1994, unaleta ubaguzi mpaka kwenye mtandaousiokuhusu? jamii forum ingemilikiwa na wanyarwnda hakika wangeruhusiwa vibaraka wa kagame tu kumpamba kama zilivyo media za rwanda bila kujali ya binafsi au serikali tulio kinyume na siasa za kikabila na kibaguzi za kagame tungepigwa ban hata kabla ya kuchangia! nalipenda taifa langu kwa kujali na kuheshimu utu wa binadamu bila kujali kabila, rangi na itikadi, shame upon u wanyarwanda mnaoongozwa na kivuli cha -------- kagame!
ha haha ahaha,mokala States hapa ni home tuu kama popote pale na tumefanikiwa sana tuu na sasa ni summer time karibu ule bata,TZ na Rwanda naijua kuliko unavyoijua wewe so worry not!!sisi tupo Tanzania na rwanda tunaijua hali halisi, wewe utajua nini kuhusu rwanda angali upo ukimbizini marekani ?