RWANDA: Rais Paul Kagame afanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri ambapo Wizara 8 zimepata Waziri wapya

Hahah dunia ina mambo mengi mkuu,rais wa peru fujimori alikua mmperu mwny asili ya japan alivyozingua alipokua madarakani akakimbilia kwao Japan,hahah.
Bora hata huyo alizaliwa huko sasa huyu kaajiriwa jeshini hadi akawa CDF halaglfu anahama kwenda nchi nyingine anakua CDF tena! Haya maajabu hatari hata ulaya cjui kama wanaweza
 
Hahahaha kabisa, ila mdau akijipa muda atajua mengi tu khs hili
Google ina maandiko mengi kuhusiana na swala hili.

Kuna alishasema hii ID yako ni yangu aisee,hahah.

By the way nilikua nadhani labda Kaberebe siku 1 ataachiwa nchi na Kagame lkn naona holaa,pengine wana plan nyingine.
 
Wengi hatutumii vzr device zetu ,si Google tu humu JF pia maandiko hayo yako mengi ,hasa post za zamani

Asee yaani Mimi ni wewe ?

Khs kuachiwa nchi huwezi kujua labda ndio kamsogea karibu
 
Nadhani inategemea na interest ya mtu kujisomea mkuu.

Kuna mdau alisema humu aisee,nikamwambia mwambie mods aziunganishe kama vp hahah

Inawezekana anamtoa kwny spotlight ili a-keep low profile(maana najua jamaa ni moja kati ya brains za PK huko jeshini) then labda atamfikiria siku 1 kumpa nchi.
 
Wanasema tugange yajayo ....
 
Mkuu ni kwamba Gen kale kayihura ni pandikizi wa kagame na alikwisha panga kumpindua museveni muda "muafaka" ukifika sasa kuna polisi kama kina kirumira na kaweesi wakshtuka ndio bifu likaanza kati yake na vibaraka wa kayihura hivyo ndio inasemekana akamalizwa na ''shooters'' wa kitutsi yeye pamoja na kaweesi.

Hivyo kayihura haya mashtaka mengine ya kisiasa tu ila kinachomfanya abanwe na museveni ni sababu amegundua alimsaliti kwa ku-ally na kagame

Ndio hivyo kagame alipanga kumpindua Nkuruzinza ila TZ ndio ilimuokoa ndio maana waliretaliate kwa kuua watutsi walioside na kagame mfano yule waziri wa habari aliyeshiootiwa akiwa anarudi kwake.... hata museveni ameshtuka kuwa alitaka kupinduliwa toka 2001 hivyo uhusiano wao umevurugika kiasi tokea hapo

Kwa ufupi kagame ni kansa hapa Afrika mashariki ukitaka kufahamu hilo subiri uchaguzi wa Congo kama chama cha kabila kikishindwa nchi haitotawalika tena hadi pandikizi waliompanga ashinde!!

Kazi kwelikweli
Uchaguzi wa congo umemalizika na.kashindampinzani ila inaonekana kanisa bado Kabila anatawala Congo
 
We we unashaangaa la kabarebe ,mbona kuna mzee aliajiliwa BOT kagame akamchukua akawa governer kwake, Kagame mwenyewe alikuwa head of military interigence UGANDA.
 
Mkuu ni kwamba Gen kale kayihura ni pandikizi wa kagame na alikwisha panga kumpindua museveni muda "muafaka" ukifika sasa kuna polisi kama kina kirumira na kaweesi wakshtuka ndio bifu likaanza kati yake na vibaraka wa kayihura hivyo ndio inasemekana akamalizwa na ''shooters'' wa kitutsi yeye pamoja na kaweesi.

Hivyo kayihura haya mashtaka mengine ya kisiasa tu ila kinachomfanya abanwe na museveni ni sababu amegundua alimsaliti kwa ku-ally na kagame

Ndio hivyo kagame alipanga kumpindua Nkuruzinza ila TZ ndio ilimuokoa ndio maana waliretaliate kwa kuua watutsi walioside na kagame mfano yule waziri wa habari aliyeshiootiwa akiwa anarudi kwake.... hata museveni ameshtuka kuwa alitaka kupinduliwa toka 2001 hivyo uhusiano wao umevurugika kiasi tokea hapo

Kwa ufupi kagame ni kansa hapa Afrika mashariki ukitaka kufahamu hilo subiri uchaguzi wa Congo kama chama cha kabila kikishindwa nchi haitotawalika tena hadi pandikizi waliompanga ashinde!!

Kazi kwelikweli

Hivi kwenye uchaguzi wa Congo Chama cha Kabila kilishinda au kilishindwa?teh teh teh

Nchi ya Congo haitawaliki sasa eeeeh?,hahahahahah
 
Chama cha kabila kimeshinda 80% ya bunge hivyo ndio kinacontrol mambo ya nchi. Kabila katoka Urais ila kamuachia pandikizi wake Felix ambaye ni moderate tu hivyo hana madhara kwa Rwanda kama angeachiwa mtu kama Fayulu.

So kiufupi Kabila bado anaongoza DRC!!
 
Ni kweli na bado kabila ni Amiri jeshi mkuu wa Congo.
 
Back
Top Bottom