Rwanda: Poor Makenga!! [Tafsiri inahitajika]

Rwanda: Poor Makenga!! [Tafsiri inahitajika]

Lakini pamoja na hayo yote Mbona m23 na serikali ya DRC hawajasaini mkataba wa amani, wakati pande zote zilihitaji makubaliano??
Makubaliano yanayoyoshinikizwa na Museveni pamoja na mwenzie Kagame ni yale yatakayoendelea kuiweka M23 na vikundi kama vile kubaki kwenye uthibiti wa Eastern Congo kama major stakeholders. Serikali ya Congo inakataa kwa sababu hao Watutsi agenda yao kuu ni kuwa watawala (minority rulers) wa Eastern Congo bila kupitia njia za Kidemokrasia. M23 wanapaswa kusaini mkataba unaokana njia za kivita pamoja na kukubali viongozi wao wakuu washitakiwe kwa uharifu wa kivita na kukihuka haki za binadamu. Museveni na Kagame bado wanawakingia kifua wasiwajibishwe. Serikali ya Congo iko sahihi. Uganda na Rwanda zinapaswa kulaaniwa na kuwekewa vikwazo kwa kuwa ni wafadhili wa ugaidi.
 
Lakini pamoja na hayo yote Mbona m23 na serikali ya DRC hawajasaini mkataba wa amani, wakati pande zote zilihitaji makubaliano??

DRC imekataa. M23 hawataki wakuu wa uasi washitakiwe, wao wanataka M23 wote warudi jeshini waendelee kama kama. DRC inataka wale maaskari wadogo (ambao wengi walilazimishwa ) kurudi, wakati matop kama sultani makenga, bisimwa etc, washitakiwe.
lakini pili gemu limeshaisha 3-0? DRC ikisema hatutaki M23 watafanyaje?
 
yaani Mtu mzima kashikwa chupi ipo magotini, kupanda haitaki, bora kuiachia na kuanza kukimbia. Maana inakuwa ni kikwazo.
cc Koba, Mukasimba
 
duh!inafanana sana na apache hasa muonekano wa mbele na kwenye mbawa ,kumbe africa kusini wanatisha

Kweli zinafanana sana huo ndo muundo precise katika attacking hata Mi-24 za warusi ziko hivyo hivyo.. Wasauz wenyewe wanazo 12 tu na walianza hiyo project toka enzi za kina botha Serikali yetu ingepunguza vichwa km Kapuya pale mjengoni ungekuta Nyumbu na Mzinga wanakaribia kutoa vitu km hivyo by 2015.
 
mossad007
Tafuta kwanini Lt Col Eng JOSEPH SIMBAKALIA alikimbia
Alikimbia toka MZINGA Project
Tafuta wasifu wa kama sikosei Brig Gen MABULA
Aliyekuwa mkuu wa project tajwa
TAfuta kwa nini magari ya Nyumbu hayatengezwi kwa sasa

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:

Assignment nzito hii mkuu si wengne huko tulishatoka mda ukianza kujifanya unaulizia ulizia unajiweka kwenye radar..!!!
 
Bajeti inatengwa ya kipuuzi huwez fanya Military Research ya maana kwa bajet uchwara pale tutaishia kutengeneza Risasi na milipuko ila nina imani na mipango mipya na ufadhili wa wachina in 5yrs tutaunda Missiles pale.. Za kupiga toka Sirari mpka Nairobi..
 
Last edited by a moderator:
mossad007
Tafuta kwanini Lt Col Eng JOSEPH SIMBAKALIA alikimbia
Alikimbia toka MZINGA Project
Tafuta wasifu wa kama sikosei Brig Gen MABULA
Aliyekuwa mkuu wa project tajwa
TAfuta kwa nini magari ya Nyumbu hayatengezwi kwa sasa

Bazazi!

Mzinga na Nyumbu alianzisha Nyerere; waliomfuata wakaua, lakini leo hii bado kuna watu wenye akili zao wanaamini kuwa matatizo ya leo Tanzania ni kwa sababu ya Nyerere. Yaani inanishangaza sana
 
Assignment nzito hii mkuu si wengne huko tulishatoka mda ukianza kujifanya unaulizia ulizia unajiweka kwenye radar..!!!

Ulaji bandugu
Ulaji bila kujali maslahi ya nchi
Ndio kmojawapo wa sababu ya kufa kwa mradi.

Bazazi!
 
Kuingizwa kwa lugha hii kunadhihilisha Forum inavyokuwa na wanyarwanda wengi. Hii si mbaya! Kibaya ni pale wanapotaka tuwasaidie kupigana vita vyao vya kijinga!
 
Mwe, kwani hao m23 bado wapo?

M23 Bado wapo.Ndio maana siku ya ijumaa Serikali kuu ya DRC ilisema haitaki Makubaliano nM23,kitu kinachoashiria kuwa bado wapo.
Na kama serikali ya Kongo imeshinda dhidi ya M23 kwann haikuwakamata Viongozi waandamizi wa hao waasi.
Rwanda pamoja na Uganda zinatakiwa kuipa DRC muungano ili kuusulisha huu msuguano wa kiutawala.Ni mazungumzo tu ndio yatakayoweza kuleta amani ya kudumu DRC.
 
st. apolinary, naomba nitofautiane na wewe, DRC ipo sahihi kwani haiwezi kusaini makubaliano na m23..... waasi wamekimbilia Uganda
 
Nenda ata pale Ngere2 kiongozi uone mazingira ya kumlaza komandoo inaskitisha bajet zote za renovation kapuni.

Komando wa kiukweli halali kwenye godoro wala kwenye nyumba self contained anakolala na kuamka anajua yeye na kambi ya makomandoo haina majengo ya ku-renovate saa yoyote wao ni juu kwa juu.Kuvunja kambi na kuanza ingine kitu kidogo tu.
 
Lakini pamoja na hayo yote Mbona m23 na serikali ya DRC hawajasaini mkataba wa amani, wakati pande zote zilihitaji makubaliano??
Mimi naona Serikali ya DRC iko sahihi sana kutokimbilia kusaini mkataba wa "amani" na hao watutsi!...watutsi sio watu wa kuaminika hata kidogo!...hao watu wana malengo ya muda mrefu sana, kuhakikisha wanatawala Afrika Mashariki na Kati...wameweza Uganda na Rwanda mpaka sasa.. Na kinachoendelea huko Mashariki ya DRC ni kuendeleza hizo ndoto zao. Nashauri Serikali na vyama vya siasa viwe makini sana na watutsi (huku kwetu wanajiita waha, wahangaza nk) na hasa wanye nyadhifa au waliowahi kuwa na nyadhifa katika Serikali yetu. Vyama vya Siasa kama NCCR Mageuzi wawe macho sana na Katibu Mkuu wao (Bwana Mugisha Ruhuza)!
 
M23 Bado wapo.Ndio maana siku ya ijumaa Serikali kuu ya DRC ilisema haitaki Makubaliano nM23,kitu kinachoashiria kuwa bado wapo.
Na kama serikali ya Kongo imeshinda dhidi ya M23 kwann haikuwakamata Viongozi waandamizi wa hao waasi.
Rwanda pamoja na Uganda zinatakiwa kuipa DRC muungano ili kuusulisha huu msuguano wa kiutawala.Ni mazungumzo tu ndio yatakayoweza kuleta amani ya kudumu DRC.
Huwezi kufanya mazungumzo ya amani na watutsi, lugha wanayoielewe hawa watu ni kipigo tu basi!....natamani ungekuwa unawajua vizuri hawa watu!....wamejaa kiburi na kulipiza visasi. Warudi kwao rwanda na uganda wawaache WAKONGO na nchi yao!... ni bora tu wafutiliwe mbali kabisa kuwe na amani katika eneo la maziwa makuu!
 
Makubaliano yanayoyoshinikizwa na Museveni pamoja na mwenzie Kagame ni yale yatakayoendelea kuiweka M23 na vikundi kama vile kubaki kwenye uthibiti wa Eastern Congo kama major stakeholders. Serikali ya Congo inakataa kwa sababu hao Watutsi agenda yao kuu ni kuwa watawala (minority rulers) wa Eastern Congo bila kupitia njia za Kidemokrasia. M23 wanapaswa kusaini mkataba unaokana njia za kivita pamoja na kukubali viongozi wao wakuu washitakiwe kwa uharifu wa kivita na kukihuka haki za binadamu. Museveni na Kagame bado wanawakingia kifua wasiwajibishwe. Serikali ya Congo iko sahihi. Uganda na Rwanda zinapaswa kulaaniwa na kuwekewa vikwazo kwa kuwa ni wafadhili wa ugaidi.
Mkuu Ruge Opinion, uko sahihi kabisa!.. Hao jamaa malengo yao ni kutawala sio Mashariki ya DRC tu, bali East and Central Africa yote!...Tanzania pia tuwe macho na hawa watu; nahisi kuna watutsi (wanajiita waha au wahangaza) ambao watakuwa wanato support kubwa kwa serikali ya kigali kuwasaidia hao m23 ndugu zao!...kuna watutsi ambao wapo jeshini na wengine wana nyadhifa mbalimbali hapa nchini kama vile wabunge ambao kiukweli wanatakiwa kufuatiliwa nyendo zao kwa karibu sana! hapa kigoma wanakuwaga na mikutano yao ya siri siri sana; kwa mfano niliambiwa kuna jamaa anaitwa Dr Shadrack Kamenya ni mshiriki mzuri wa mikutano hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom