CPA
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 809
- 354
Jamaa anasema kagame alificha zana za kivita nzito
kwenye milima ya chanzu.
Anasema hapo mwanzo kagame aliamuru siraha zote nzito zilizokuwa mjini kigali zihamishwe akihofia waasi wanaweza kuziteka na kuzitumia kama walivyo zitumia kumua habyarimana.
ndipo wakaamua 2/3 ya siraha zote za rwanda zikafichwe kwenye hiyo milima ya chanzu.
Anaendelea kusema majeshi ya tanzania yakishirikiana na ndege za afrika kusini yalimuonyesha kagame kwamba yeye si chochote mbele yao baada ya kumfurumusha na kuteka hiyo shehena za kivita kitu ambacho kimemfanya kagame awe mpole.
Hiyo shehena ilikua na uwezo wa kuisambalatisha kivu yote. m23 walijaribu kuichoma moto lakini iligoma kuwaka, ni vifaa vichache vilivyo ungua. Waliweza kukamata zana nzito nzito za kivita na risasi tani 300.
UNO itatumia hizo siraha kama ushahidi kwamba kagame anahusika. Vilevile walikamatwa watoto wa kinyarwanda chini ya miaka 17(pichani) wakiwa vitani.
kamaliza kwa kuweka picha za ndege za kivita za africa kusini.
(nimeelezea baadhi niliyo yaelewa). mia
kamachumu, muleba, kashozi, au wapi?