Rwanda photo scandal Minister resigns

Rwanda photo scandal Minister resigns

jamaa kaumbuliwa na mtandao kama jf huko rwanda.
Tungekuwa na utamaduni huu hapa tz nadhani cabinet yote asingesalimika mtu

inategemea jf tanzania imejipangaje kuyapoeka matokeo wakitoa vitu vya namna hii..kwa habari zaidi kagame amemweka ndani mpaka uchunguzi utakapokamilika
 
hizi picha zilipigwa wakati ameshakuwa waziri au kabla...na kama ilikuwa kabla je aliwaambia jamaa wakati wanamfanyia vetting?

Zilipigwa baada
 
:A S 13:duh,wanafaidi sana kumbe....ndo nachowapenda wenzetu wa Rwanda wakiongozwa na Kagame.....ujinga kama huu hautakiwi kabisa kwa kiongozi kijana.......!!!!
 
Moderator naomba mwongozo nini kinapaswa kifanyike wakati mwana JF anapolidanganya bunge lako tukufu la JF. Ndugu yangu EMT naomba ufute kauli yako kwamba hakuna serikali duniani inayoendeshwa bila kuwa na miiko. This is completely untrue mkuu, zipo serikali kadhaa zinaendeshwa bila miiko, Tanzania ni one of them na niko na ample examples za kujustfy hilo.

Kwa hiyo unasema Nyerere was wrong then?
 
Picha mbona za kawaida tu hizi jamani, labda kama kuna jingine ambalo limefichwa.
 
Kwa hiyo unasema Nyerere was wrong then?

Hapana sijaamanisha hilo EMT. Nyerere was not wrong, yeye ndio founding father kwa kiasi kikubwa misingi ya kitaifa aliiweka vizuri tu likiwemo la miiko ya maadili ya viongozi. Sikupata bahati sana kuexperiense uongozi wa Nyerere. I'm sure mtu yeyote mwenye akili timamu aliyepita kwenye vipindi vyote vinne vya uongozi wa nchi hii atakubaliana na mimi kwamba kadri awamu zilivyokuwa zikiongezeka ndivyo maadili yalivyokuwa yakiporomoka. Kwa sasa hayo maadili ya uongozi yako kwenye makaratasi tu yakiota vumbi ndio maana tuna wabunge wanaongoza kwa kuliibia taifa still wanaendelea na ubunge wao na hakuna wa kuwagusa. Kuwa na policy kwenye makaratasi its one thing na kuact accordingly its quite a different thing pia.
 
Dear Joseph Habineza,

Umejiuzulu kishujaa anko, kwa watoto wazuri kama hao hata mie Manda boy niko tayari kuweka rehani hata ugavana wa Benki kuu....:wink2::A S 13:

Ndimi,
Manda boy-JF.
 
mtu mbaya sana huyo..ameniudhi kwa kutumia vibaya nafasi yake dhidi ya wanawake..inaekea hao ni students
 
..inaelekea mwenye mali ni huyo mmoja mwenye miwani. hao wengine wasindikizaji tu.
 
Ninaogopa siku wakuu wakilipua bongo sijui itakuwaje. Ila hii ya huyu jamaa inaonekana alikuwa na hawa milupo katika good times. Si unajua tena watu wakuu ukiwa na pesa ni rahisi kuwa nao kibao wala hawajali kama wewe uko pekee kwao
 
Rwanda's youth and sports minister - si anatimiza wajibu wake wa kuwaliwaza vijana akiwa waziri wao?
 
kwa nini ka resign? mimi sioni tatizo na hizi picha kabisa !!!!!!! ok wait
compare these pics na milipuko ya mabomu
then coclude who was supposed to resign
wote walitakiwa kuresign
 
Rwanda's youth and sports minister, Joseph Habineza, has resigned following allegations of improper behaviour. The announcement came after photos began circulating on the internet showing Mr Habineza in intimate poses with several women.

Mr Habineza told Rwanda's The New Times newspaper that he had resigned for personal reasons. "But when you see people publishing pictures and all that, it is not good for your image as a minister," he said.

The photos, which Mr Habineza says were taken in 2008, were published on Sunday on an opposition website called Le Prophete. Most of the 11 photos show the minister dancing or cuddling with one woman in particular in a well-furnished room.

The person who posted them said he was a university student and wanted to show how the government was spending lavishly. The BBC's Geoffrey Mutagoma in the capital, Kigali, says the affair has become the talk of the town. He says it is the first time a minister has tendered his resignation in such circumstances.

minisitre-habineza-joseph-ushinzwe-umuco-yabaye-uwo-kurarura-abana-b-abanyarwanda.jpg


ndebera-uko-inkumi-zamugaritse-zikamufata-ubwanwa-abaminisisitiri-b-iyi-ngoma-ntibasanzwe-pe.jpg


nyamara-uyu-mugabo-ngo-afite-urugo-ra.jpg


reba-amacupa-y-inzoga-bamaze-kwirenza.jpg


dore-uwo-munezero-ndagaca-namwe-mumbwire-nk-uyu-koko-ari-fiyanse-wawe-umutima-ntiwaguhagararana.jpg


naragendesheje-byararangiye.jpg


abakobwa-bose-b-igihugu-ni-abe-nta-kundi.jpg


iyi-narayibonye-mperako-nkurayo-amaso.jpg


yego-ga-minisisiriri-w-umuco-abaminisitiri-baragwira.jpg


minisitiri-w-umuco-oye-oye-harakabaho-leta-ya-paul-kagame.jpg


SOURCE: Rwanda photo scandal Minister resigns | Nehanda Radio

Hivi hizo gauni za vitambaa vya kung'aa na kuteleza ni kwa shughuli ya ngono? Na uvaliwa sana usiku hapa Bongo ali maarufu vazi la usiku. Ofisini kwetu kuna siku wafanyakazi wa kike utuvalia hizi nguo hasa siku za Ijumaa!!!!!!
 
Safi sana kwa kujiuzuru!wewe ni malaya wa kutupwa,usiyekuwa na haya!go to hell!!
 
Hii huduma anapewa na international suppliers au vipi? Kwani sura nyingine ni kama za wabongo vile!
 
Hapo tender zote za wizara hiyo wanapewa hao mabinti au ndugu zao, ajira kwenye wizara hiyo hao mabinti ndio wanaamua nani apewe, kama ni scholarship basi hao mabinti ni wa kwanza kwenye list. Ndio maana kujiuzulu ni lazima. Hata hapa Bongo type hizo zipo, haiwezekani binti mdogo anakiburi barabarani kuliko hata Mwenyekiti wa CCCCCMMMMMMMMM!!!!!!!!
 
Kla nchi bana, za kina Mash na Nger zikowapi jamani
 
:A S 13:duh,wanafaidi sana kumbe....ndo nachowapenda wenzetu wa Rwanda wakiongozwa na Kagame.....ujinga kama huu hautakiwi kabisa kwa kiongozi kijana.......!!!!

Hata rais wetu nae ni kijana, tena mwanajeshi kama kagame, Col. Kikwete!!

Lakini tofauti na rais wetu Kagame haruhusu upuuzi ndani ya serikali yake, awe waziri, mkurugenzi wa wizara/shirika ama hata wanajeshi wenzake, akigundua tu kuna mtu anataka kuleta upuuzi anachukua hatua mara moja, tena kwa manufaa ya wananchi wake walio wengi, sio kufanya maamuzi kwa manufaa ya kakikundi ka watu wachache waliomzunguka.

Hapa bongoland ni talalila tuuuu kila siku.
 
Back
Top Bottom