Rwanda opposition in uphill battle against powerful Kagame

Rwanda opposition in uphill battle against powerful Kagame

Bungeni wapinzani kila siku hutoa mifano jinsi rwanda inavoendelea uliddhani kagame anahubiri siasa ?
 
T
Now tell me, huo ukuaji wa Rwanda unaosema hapa kwamba umetokana na udikteta wa Kagame ni ukuaji upi?! Inafahamika for EAC Kenya ndio largest economy followed by Tanzania! Au unalinganisha Rwanda na Burundi
Kweli
 
Uhusiano wa rasilimali na udikiteta upoje?. Uongozi na uchumi?!.
Tanzania tuko wamoja. Tulichokuwa tumekikosa kwa muda mrefu ni kikosa mtu mwenye uchungu na rasilimali za nchi. Magufuli ndiye. Andikeni maneno mengi humu kama magazeti lakini kwa Magufuli Watanzania hawatamuacha achezewe, ni lulu.
 
Kuna methali nilikuwa naipenda sana udogoni wakati najifunza kusoma.
USIMUIGE TEMBO ..NYA ..VI MAKUBWA UTAPASUKA MSAMBA! Nimeona bandiko lako hili mkuu BAK nimejikuta naikumbuka hiyo methali.
 
Katiba ipi inayofuatwa? Tujadili kwa ukweli sio huba na hisia. Tena Nadhani wetu anaweza kuwa dikteta mbaya zaidi kwani PK Udikteta wake anakupeleka kwa kutumia akili na sio maguvu Kama mzee wa Kaya
Hakuna issue ya hisia hapa..Rais Magufuli anafuata Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 na mabadiliko.
 
Ikiwa ile kuteuliwa tu kuwa Mwenyekiti wa CCM, akawezesha mabadiliko ya Katiba ya CCM ambayo kwa sasa inatamka wazi kwamba kwenye uchaguzi wa 2020, hakuna mwana-CCM yeyote anayeruhusiwa kumpinga Magufuli kupitia tiketi ya CCM!

Kama ndivyo, nini kitakachomuogopesha kufanya jaribio la kubadilisha katiba ya muungano pale atakapoingia madarakani 2020 na kuona huo ndio msimu wake wa mwisho!!!!
Hakuamua yeye bali Mkutano mkuu ndiyo ulipitisha hiyo agenda kuwa utaratibu.
 
Hivi vitu vya copy and past kuna siku vitawakost

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Acha kudumaza akili yako na kuandika pumba humu.



c7lulc7vuaatggc-jpg.485380

Acha kuaminisha watu vitu visivyo na ukweli.Na acha kutusi watu usifikiri hatujui matusi.

Rais Magufuli anafuata katiba ya Tanzania na hafuati wala kuiga ya Rwanda usituaminishe vitu ambavyo havipo.
 
Eti nasikia tofauti pekee kati ya wawili hawa ni kwamba yule wa Rwanda anajisomea sana na anajua mengi kuhusu Uchumi, lakini wa kwetu yeye anajua vya kuambiwa tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyu mleta Mada yuko Ughaibuni(NORWAY) na ameolewa huko, Ya tanzania anayajulia wapi?
Wacha kuropoka wewe kada kama aropokavyo Bosi wako.....

Utasemaje mleta mada kaolewa Norway, wewe ndiye uliyemuoa?

Hivi nyinyi maccm wote akili zenu mnalazimishwa na chama chenu mziweke rehani pale Lumumba?
 
Katika nchi zilizoendelea katika kujenga kesi neno upelelezi
sasa Sizonje alivyo wa hovyo sasa hivi kwa mwez anakusanya kodi billion 300 hata dhaifu mswahili kamzidi kwa utawala bora. Eti nalo linalazimisha kupendwa halina haiba na mvuto
Kuna maana gani kukusanya kodi bilioni 900 halafu bilioni hizo zinaenda kupigwa na mafisadi. Sizonje atakusanya hizo bilioni 300 mwisho zitaonekana zimetumikaje.
 
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usijaribu kudanganyika kuhusu Rwanda huyo Rais Kagame ameitoa Rwanda kutoka kwenye nchi iliyokuwa imeteketea mpaka Imekuwa kati ya nchi chache zilizopiga hatua Afrika the same way Rais Magufuli anavyoipeleka Tanzania huwezi kujenga uchumi imara bila kutumia Iron Fists, nenda kasome historia ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Mrs Margreti Thatcher wakati alipotwaa uwaziri mkuu mwaka 1979 alitumia iron fists kurudisha uchumi wa UK mpaka akaitwa Iron Lady.
Mfano Kenya ni nchi inayodai ina katiba na demokrasia lakini ni one of corrupt country in Africa. Mwacheni Rais Magufuli ambaye anafanya unbelievable things katika Kujenga uchumi na kuondoa corruption katika nchi hii kwani Watanzania hawakutegemea kupata Rais wa aina hii.
Long Live Rais Magufuli Long Live Tanzania
 
Kagàme siyo dicteta mkuu, wewe nàona hunijui historia ya Rwanda hebu TULIA , na kwa taarifa yako kagàme ni yesu wa Rwanda
 
Mnamwita Dikteta Uchwara halafu mnalialia ,nilidhani dikteta uchwara asingewashinda
 
Back
Top Bottom