wa mchangani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,418
- 951
Tanzania ni kubwa sana akiendelea na tabia yake iyo hatobaki salama
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app
Tanzania tuko wamoja. Tulichokuwa tumekikosa kwa muda mrefu ni kikosa mtu mwenye uchungu na rasilimali za nchi. Magufuli ndiye. Andikeni maneno mengi humu kama magazeti lakini kwa Magufuli Watanzania hawatamuacha achezewe, ni lulu.
One of the renowned dictator on EarthHayo ni mawazo yako tu lakini Rais Magufuli anaendesha nchi kwa matakwa ya Katiba yetu ya 1977 na mabadiliko yake siyo kama anavyofanya Rais Kagame.
And with this dictatorship, lazima watuache mbali zaidi!! Hata ukiangalia latest report za HDI, Kenya wameshatoka kwenye kundi hilo hapo juu, yaani African Countries with Low Human Development na hivi sasa wameingia kwenye kundi la Countries With Medium Human Development!Hivi kwanini Kenya isijiondoe kwenye jumuiya ya Africa mashariki ili iachane na nchi za kidikteta zilizojaa umasikini ?
Umemena kweli... pazuri n kigali tu nyasa butale na kwingineko watu wako hoiiiiii!!!Watetezi wa madikteta hii ndio hoja yenu ambayo ni dhaifu kweli kweli huku ikiwa imesheheni uongo usio na maana yoyote kwa sababu, y'all victims wa propaganda za madikteta.
Sehemu ambayo naweza kumsifu PK ni moja tu... kuirudisha Rwanda na kuwa taifa moja huku chuki za kikabila zikiendelea kupungua! Lakini hoja yenu mnataka kuaminisha watu kwamba Rwanda imepiga hatua kweli kweli kwenye maendeleo kutokana na udikteta wa PK! Y'all blinded na ujanja ujanja wa PK wa kuipendezesha sana Kigali kwa sababu, anafahamu over 90% ya wageni wanaoingia Rwanda wataishia Kigali! Na kwavile wageni hawa wataishia Kigali tena bila kwenda Uswahilini, anafahamu wakisharudi nchini kwao wageni hawa watakuwa ambassodors wa kuelezea "ukuaji mkubwa" wa Rwanda wakati kimsingi iliyopiga hatua Rwanda ni Kigali!!!
Kagame Regime... from de facto leader to a president imeanza 1994. Mwaka 1994 Tanzania ilikuwa hoi bin taabani! Mwinyi alitoka madarakani akiiacha Tanzania inflation ipo juu kweli kweli kuliko wakati wowote uliopata kutokea! Interest rate in saving accounts ilikuwa over 20% kwa sababu uchumi ulikuwa ni wa hovyo mno! Corruption ilikuwa imeenea kila mahali. Mamlaka ya Mapato walikuwa wanakusanya less than TZS 50 Billion kwa mwezi!!!
To make a long story short, tukiondoa suala la chuki za kikabila na mauaji wa Rwanda mwaka 1994, kiuchumi Tanzania ilikuwa taabani almost the same as Rwanda!!!
Lakini leo hii, vigezo vyovyote vya kiuchumi utakavyotumia... iwe vya vya World Bank na Partner wake IMF au iwe vigezo vya UNDP, Tanzania if far better economically than Rwanda!! Hata kwa Africa Mashariki, sidhani kama uchumi wa Rwanda ni mkubwa kuliko uchumi wa Uganda!!!
Now tell me, huo ukuaji wa Rwanda unaosema hapa kwamba umetokana na udikteta wa Kagame ni ukuaji upi?! Inafahamika for EAC Kenya ndio largest economy followed by Tanzania! Au unalinganisha Rwanda na Burundi?