Hakuna anayejikomba ila huo ndiyo ukweliNyie jikombeni tuu mpaka yawakute ya dialo ndo mtapata akili.
Huo ndiyo ukweliacha uongo wa mchana kweupeeee, unajidanganya mwenyewe
Na Rais anataka kila mmoja afuate Katiba kuhusu kuendesha Sasa.Hayo unayosema Rais kavunja Katiba ni dhana tu unayoijenga kuhusu Sheria ya Vyama vya Sasa ya 1992Hiyo kauli yake ameiokota kifungu gani cha katiba ya Tanzania ? Halafu tangu avunje katiba ya nchi kwa amri hiyo ya kibabe ni maendeleo yapi unayoweza kutuonyesha hapa jf yamepatikana ? Kingine unachotakiwa kujua ni kwamba , hakuna utaratibu mwingine wa kufanya siasa za Tanzania nje ya yaliyowekwa ndani ya Katiba ya nchi , hakuna !
Hayo ni mawazo yako tu lakini Rais Magufuli anaendesha nchi kwa matakwa ya Katiba yetu ya 1977 na mabadiliko yake siyo kama anavyofanya Rais Kagame.
AtMkuu usijaribu kudanganyika kuhusu Rwanda huyo Rais Kagame ameitoa Rwanda kutoka kwenye nchi iliyokuwa imeteketea mpaka Imekuwa kati ya nchi chache zilizopiga hatua Afrika the same way Rais Magufuli anavyoipeleka Tanzania huwezi kujenga uchumi imara bila kutumia Iron Fists, nenda kasome historia ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Mrs Margreti Thatcher wakati alipotwaa uwaziri mkuu mwaka 1979 alitumia iron fists kurudisha uchumi wa UK mpaka akaitwa Iron Lady.
Mfano Kenya ni nchi inayodai ina katiba na demokrasia lakini ni one of corrupt country in Africa. Mwacheni Rais Magufuli ambaye anafanya unbelievable things katika Kujenga uchumi na kuondoa corruption katika nchi hii kwani Watanzania hawakutegemea kupata Rais wa aina hii.
Long Live Rais Magufuli Long Live Tanzania
Labda kwa faida zaidi , Uhai wa Paul Kagame unategemea urais alionao tu , nje ya uongozi hana maisha hata ya wiki 1 , unyama alioutenda kagame nchini Rwanda hausamehewi hata na Shetani .
Lazima uangalie stability ya nchi Kabla ya kujenga hoja yako dhaifu ya Udikteta. Nenda Rwanda ukaone serikali inavyowajibika katika Masuala ya utoaji wa huduma kwa jamii. Hakuna kiongozi kwa muda wa miaka 23 anaweza kuleta stability na kujenga uchumi mzuri kama alivyofanya Rais Kagame. Please go and visit Rwanda uone mwenyewe. Mbona Chancellor wa Ujerumani Angela Merkel ambaye amekuwa madarakani toka mwaka 2005 mpaka sasa na anagombea tena hamjamwita Dikteta au sababu ni Mzungu. Wananchi wanatafuta political Na economic stability sio blah blah zenu.Watetezi wa madikteta hii ndio hoja yenu ambayo ni dhaifu kweli kweli huku ikiwa imesheheni uongo usio na maana yoyote kwa sababu, y'all victims wa propaganda za madikteta.
Sehemu ambayo naweza kumsifu PK ni moja tu... kuirudisha Rwanda na kuwa taifa moja huku chuki za kikabila zikiendelea kupungua! Lakini hoja yenu mnataka kuaminisha watu kwamba Rwanda imepiga hatua kweli kweli kwenye maendeleo kutokana na udikteta wa PK! Y'all blinded na ujanja ujanja wa PK wa kuipendezesha sana Kigali kwa sababu, anafahamu over 90% ya wageni wanaoingia Rwanda wataishia Kigali! Na kwavile wageni hawa wataishia Kigali tena bila kwenda Uswahilini, anafahamu wakisharudi nchini kwao wageni hawa watakuwa ambassodors wa kuelezea "ukuaji mkubwa" wa Rwanda wakati kimsingi iliyopiga hatua Rwanda ni Kigali!!!
Kagame Regime... from de facto leader to a president imeanza 1994. Mwaka 1994 Tanzania ilikuwa hoi bin taabani! Mwinyi alitoka madarakani akiiacha Tanzania inflation ipo juu kweli kweli kuliko wakati wowote uliopata kutokea! Interest rate in saving accounts ilikuwa over 20% kwa sababu uchumi ulikuwa ni wa hovyo mno! Corruption ilikuwa imeenea kila mahali. Mamlaka ya Mapato walikuwa wanakusanya less than TZS 50 Billion kwa mwezi!!!
To make a long story short, tukiondoa suala la chuki za kikabila na mauaji wa Rwanda mwaka 1994, kiuchumi Tanzania ilikuwa taabani almost the same as Rwanda!!!
Lakini leo hii, vigezo vyovyote vya kiuchumi utakavyotumia... iwe vya vya World Bank na Partner wake IMF au iwe vigezo vya UNDP, Tanzania if far better economically than Rwanda!! Hata kwa Africa Mashariki, sidhani kama uchumi wa Rwanda ni mkubwa kuliko uchumi wa Uganda!!!
Now tell me, huo ukuaji wa Rwanda unaosema hapa kwamba umetokana na udikteta wa Kagame ni ukuaji upi?! Inafahamika for EAC Kenya ndio largest economy followed by Tanzania! Au unalinganisha Rwanda na Burundi?
Acha maneno, weka muziki... nimekuambia weka hapa hizo economic indicators zinazoonesha Rwanda wameendelea ili tuamini kwamba kweli udikteta unalipa!Lazima uangalie stability ya nchi Kabla ya kujenga hoja yako dhaifu ya Udikteta. Nenda Rwanda ukaone serikali inavyowajibika katika Masuala ya utoaji wa huduma kwa jamii. Hakuna kiongozi kwa muda wa miaka 23 anaweza kuleta stability na kujenga uchumi mzuri kama alivyofanya Rais Kagame. Please go and visit Rwanda uone mwenyewe. Mbona Chancellor wa Ujerumani Angela Merkel ambaye amekuwa madarakani toka mwaka 2005 mpaka sasa na anagombea tena hamjamwita Dikteta au sababu ni Mzungu. Wananchi wanatafuta political Na economic stability sio blah blah zenu.
Haaahaaaaaahaaaaaa huu utani huuuHayo ni mawazo yako tu lakini Rais Magufuli anaendesha nchi kwa matakwa ya Katiba yetu ya 1977 na mabadiliko yake siyo kama anavyofanya Rais Kagame.
Hivi kwanini Kenya isijiondoe kwenye jumuiya ya Africa mashariki ili iachane na nchi za kidikteta zilizojaa umasikini ?Acha maneno, weka muziki... nimekuambia weka hapa hizo economic indicators zinazoonesha Rwanda wameendelea ili tuamini kwamba kweli udikteta unalipa!
Hapa chini ni selected African Countries' Human Development Index (HDI) from 2012 to 2014.
View attachment 543693
Ona sasa... yaani Tanzania pamoja na uduni wote uliopo lakini bado nchi zote zenye viongozi madikteta na wale wenye elements za udikteta zipo chini yetu!!!
Chini ya Rwanda kuna Uganda... nchi nyingine EAC inayoongozwa na Dikteta Uchwara na mroho wa madaraka!! Ukizidi kushuka chini zaidi unaikuta Burundi!! Another EAC member yenye kiongozi king'ang'anizi wa madaraka kama wenzake hapo juu!!!
Hata ukiangalia GDP Per Capita mtiririko nao upo hivyo hivyo!! Sasa huo Udikteta unaolipa upo wapi Afrika hii?!
Nchi zilizopiga hatua ambazo ni za kidikteta au zina elements za udikteta; nyingi kama sio zote zina sifa moja inayofanana! Kwa upande mmoja zina ukwasi wa mafuta na upande mwingine zina population ndogo!!!!
Btw, yaani kabisa unamlinganisha Angela Merkel na hawa madikteta uchwara wanaofikia hadi kuua ili kubaki madarakani?! Unaweza kuniambia ni lini Angela Merkel alibadilisha katiba ya Ujerumani ili aendelee kubaki madarakani?
May be........Haaahaaaaaahaaaaaa huu utani huuu
unachanganya vitu Angela hatawali kidektetaLazima uangalie stability ya nchi Kabla ya kujenga hoja yako dhaifu ya Udikteta. Nenda Rwanda ukaone serikali inavyowajibika katika Masuala ya utoaji wa huduma kwa jamii. Hakuna kiongozi kwa muda wa miaka 23 anaweza kuleta stability na kujenga uchumi mzuri kama alivyofanya Rais Kagame. Please go and visit Rwanda uone mwenyewe. Mbona Chancellor wa Ujerumani Angela Merkel ambaye amekuwa madarakani toka mwaka 2005 mpaka sasa na anagombea tena hamjamwita Dikteta au sababu ni Mzungu. Wananchi wanatafuta political Na economic stability sio blah blah zenu.
Na huwezi kujenga uchumi kwa kusikiliza kila wazo la kila mtu hata ambaye anajua uchumi wa nadharia tu. Uchumi utajengwa kwa kufanyia kazi mawazo sahihi yanayolenga kuleta manufaa kwa watanzania wote na wala si kwa watanzania wachache.Huwezi ukajenga uchumi kwa kudhani unajua kila kitu na kutaka kuwa one man show na sera MUFILISI. Kukurupuka na kudhani sera za mufilisi zitainua uchumi wa Tanzania ni ndoto za alinacha. Huwezi kutaka kupambana na mafisadi kwa undumilakuwili huku wengine unawakamata na wengine unawaogopa.
Na huwezi kujenga uchumi kwa kusikiliza kila wazo la kila mtu hata ambaye anajua uchumi wa nadharia tu. Uchumi utajengwa kwa kufanyia kazi mawazo sahihi yanayolenga kuleta manufaa kwa watanzania wote na wala si kwa watanzania wachache.