Rwanda ni Kagame, na Kagame ni Rwanda

Rwanda ni Kagame, na Kagame ni Rwanda

President #Kagame: This is an opportunity to observe how important matters are handled in #Rwanda: Transparently, inclusively& respectfully.
 
na wewe vilevile ukileta vitu ambavyo umeviandika kama unakimbizwa na mtu watu lazima wakuone mzushi au unaupande unao egamia, kwani Germany ni ya Angela Merkel? unajuwa kachaguliwa mara ngapi? nashindwa hata kukuelewa, vijana wenye miaka kati ya 25-30 hawajuwi wanachokifanya? kama una hiyo miaka na bado unaishi kwa wazazi wako, nakushauri utimuwe mapema lasivyo utaendelea kutojiamini kwenye kila kitu utakacho fanya...
Nkurunziza mlimwambia akakataa, je nini kilichofwata? nyota njema uonekana mapema wewe... hata mimi nilivyoona Imbonerakure zimeanza training nilijuwa tu yaleyale mambo ya kina Habyarimana ya Hutu-power yameanza, achana na sisi chaguo tushalifanya na hivi tunaendelea kuchapa kazi! historia inatuambia kumpata kiongozi makini ni bahati! tena sanasana hii mitaa yetu ndio usiseme kabisa... mara ya mwisho ilikuwa kipindi cha mzee Nyerere(RIP) alipotoka tu unajuwa kilichofwata! Raisi wetu bado kijana na hatuna mda wa kutest wengine, do you remember vision 2020? then Kagame is the right man to lead... any question?
Usikonde mkuu, ndio maana tunawapongeza kwa kubaki na nguo ile ile kwa miongo.
Kurudisha ufalme inahitaji maamuzi magumu.
 
Soma vizuri mada na uone the irony katika kumtengeneza "mfalme" Kagame!
Kaka lugha uliyotumia siyo rahisi kama unavyodhani. Unadhani neno irony nalo ni la kawaida? wachache wanakuelewa. Ya hiyo ni dramatic Irony. Ila ukweli ni kuwa absolute power corrupts absolutely.
Hakuna fikra ya mbaya na ya kidikteta kuliko ya "hapa hapamfai mwingine isipokuwa mimi". Na si Kagame peke yake bali na M7 na Mugabe. Si vema kuwatakia mabaya ndg zako ili siku Mungu akimchukua mmoja wa viongozi hawa sioni kama nchi zao zitatawalika.
Go on Kagame because your contract with almighty God is very clear. No death or illhealth in the next 50 years.
 
We waache wajifanye wanajenga nchi na KAGAME ndio pekee mwenye maono, siku watakapoibomoa hata wiki itakuwa ndefu sana. We mtu toka 1994 upo tu hutaki kugroom na wengine. Mwisho wake kuja kutusumbua na wakimbizi na kuingiza silaha kwenye nchi za watu ambazo zinaongeza kasi ya majambazi.

Huko uganda kuna zee lingine linakomaa tu, burundi kishanuka, kuna hawa wenzetu huwa hawatabiriki hapo north. Kaaaaazi kwelikweli.
 
Bila Kagame hawa jamaa hawaendelei, maana ni yeye peke yake ana MOU(Memorandum Of Understanding) na Mola juu ya maendeleo ya Rwanda!
 
Kaka lugha uliyotumia siyo rahisi kama unavyodhani. Unadhani neno irony nalo ni la kawaida? wachache wanakuelewa. Ya hiyo ni dramatic Irony. Ila ukweli ni kuwa absolute power corrupts absolutely.
Hakuna fikra ya mbaya na ya kidikteta kuliko ya "hapa hapamfai mwingine isipokuwa mimi". Na si Kagame peke yake bali na M7 na Mugabe. Si vema kuwatakia mabaya ndg zako ili siku Mungu akimchukua mmoja wa viongozi hawa sioni kama nchi zao zitatawalika.
Go on Kagame because your contract with almighty God is very clear. No death or illhealth in the next 50 years.
Kweli mkuu, maana jamaa wameamua hatima yao kwa miaka mingi ijayo kuurudisha ufalme wa reja reja.
Hiyo ni dalili ya precedence itakayotumiwa na kiongozi yeyote atakeyechukua madaraka baada ya Kagame.
Tatizo la TIME ni kwamba ina tick slowly, but definitely forward, na watajikuta square one, kwa yale wanayoyakwepa leo.
 
Duh na wewe umeingia kichwa kichwa unafikiri wanyarwanda wamebariki upuuzi wa Kagame la hasha system ndio imefanya kila kitu ili kuiadaa dunia Kagame anapendwa Rwanda.

Mkuu Ngongo wewe hwa ni mchambuzi mzuri, hujaiona hiyo sarcasm na irony?
Ipitie tena mada!
 
Last edited by a moderator:
Hapa cha msingi ni kuona vitendo na maswala mengine ya kimaendeleo yafanyika!! Muhimu si kupokezana uongozi. Nadhani alipowaifikisha Rwanda Kagame ndo wanyarwanda wanajivunia!!
 
If Kagame dies and someone else takes over will he rule 7+5+5 years OR this priviledge is only for the Slim man?
 
Back
Top Bottom