masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,608
- 14,552
Ati nani kasema wanyarwanda hawawezi maamuzi magumu?
Rwanda wameamua kumuachia kiti cha urais, Kagame mpaka siku atakayotangulia mbele za haki.
Hayo ndo tunaita maamuzi magumu, ya kuhalalisha ufalme ndani ya Rwanda.
Leo Kagame aba miaka 58 na nasikia hakuna mtu wa kusema fyoko kwa miaka 17 ijayo!
Yaani mpaka Kagame atakapokuwa na miaka 75!!!
Sasa nani wa kubisha, Kagame ni Rwanda na Rwanda ni Kagame, hayo hayatuhusu sie wa nje ya mipaka ya Rwanda.
Tatizo litakalotokea ni vijana wadogo walio na miaka 25 au 30 leo nchini Rwanda.
Niaminini, baada ya miaka kumi tu wataanza kuuliza ni majuha gani waliwawekea mfalme Kagame ambaye ameanza kuota kibyongo kwa uzee!
Nkurunzina tulimwambia akakataa, sasa hivi anasema wamemloga .
Wale wananchi waliompenda na wakampa miaka mingine kuendelea na madaraka ya urais, nani kwapa maharage na sasa wanamrushia risasi?
Rule Kagame Rule! Rwanda is all yours.