Kwenye mabus tayari wake kwenye mchakato huo.Nirahisi sana kukusanya kodi kwenye malipo ya system. Budget hii 2017/ 2018 hawakuona kwamba hiki ni chanzo kizuri pia cha mapato? Wafanye kama Rwanda bhana, tuachane na mambo ya kugongewa coin masikioni kama tunauziana karanga. N a wasiishie kwenye daladala waende hadi kwenye mabasi ya mikoani.
tofauti yake hazina njia maalumu..na hizo smart ni kwa daladala zote ya mjiniKumbe Rwanda nako kuna mwendokasi..?
Sasa hapa bongo utasikia tunao sisi tu Afrika Mashariki na kati, na kwa Africa mradi mwingine upo sauzi kwa madiba, na Misri , kumbe holaaaa...hata Rwanda kwa mkuu PK wana kitu cha mwendo kasi.
Ya mikoani.mabasi gani?
Sidhani kama nmekosea.. Siku zote ukitaka watu wazima wakuelewe kwa uraisi tumia zaidi mbinu. Kama mifano mingi licha na video kama nilivyofanya... Ningeandika bila mifano kuna ambao wangehoji kwamba mfumo huo umewah tumika wapi..basi tuu wabongo kwa kupenda kukuza mambo ya kijinga jinga ndio tunaweza...kwani wewe mleta mada ungesema daladala nazo zilipiwe nauli kwa kutumia smart card kama za mwendo kasi ungepungukiwa na nini? maana hamna tofauti kubwa ....hakukuwa na haja ya kufananisha na rwanda. kupenda vya wageni kuliko vya nyumbani ndio kunawasumbua wengi wenu.
Nirahisi sana kukusanya kodi kwenye malipo ya system. Budget hii 2017/ 2018 hawakuona kwamba hiki ni chanzo kizuri pia cha mapato? Wafanye kama Rwanda bhana, tuachane na mambo ya kugongewa coin masikioni kama tunauziana karanga. N a wasiishie kwenye daladala waende hadi kwenye mabasi ya mikoani.
Rwanda yenyewe kaiona kwenye YouTube halafu analeta mada za ajabu ajabubasi tuu wabongo kwa kupenda kukuza mambo ya kijinga jinga ndio tunaweza...kwani wewe mleta mada ungesema daladala nazo zilipiwe nauli kwa kutumia smart card kama za mwendo kasi ungepungukiwa na nini? maana hamna tofauti kubwa ....hakukuwa na haja ya kufananisha na rwanda. kupenda vya wageni kuliko vya nyumbani ndio kunawasumbua wengi wenu.