Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Nyiokunda hata nyumbani kunakuwa na sauti ya Baba, yaani sauti moja tu. Ikiwa rais anaongea halafu mwingine naye anakuja na sauti yenye mamlaka, hiyo sio nchi, hiyo ni hatua mbaya kuelekea kwenye anarchy.Nyie ndio mnaoturudisha nyuma.Tanzania tofauti Na Rwanda,mwambie presidaa aruhusu shughuli za kisiasa bila kuvunja Sheria hatapungukiwa Na kitu.sio enzi za kidumu fikra za mwenyekiti.
JK alitoa uhuru mwingi sana, and that was a very wrong approach. Marekani kwa sasa zinaendelea kampeni za urais. Atakayeshinda ndiye atakayekuwa na sauti yenye mamlaka. Ikitoka Trump akashinda, itabidi Hillary akae kimya. Ikitokea Mama Hillary akashinda, Trump atalazimika kutii mamlaka ya kiongozi wa juu kabisa.
Hata Uingereza hali ipo hivyo hivyo. Sasa waliotufundisha demokrasia wanaishi kwa kuongozwa na heshima kwa mamlaka, kwanini sisi tunaondelea kujifunza tusiwaige katika hili?.