Rwanda na Kenya vita vililetwa na Redio!

Rwanda na Kenya vita vililetwa na Redio!

Mtu akiwa na amani anafanana na ule msemo wa aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Kibaya zaidi yanapotokea machafuko wale wenye passport na uwezo wa kuifikia airport kwa ajili ya kukimbia nchi, ni wachache sana. Wengi wao hujikuta wamezungukwa na watu ambao hawana uwezo wa kuwazuia wasiwadhuru.

Uhuru mkubwa wa kuongea huambatana na heshima kwa taifa la huyo mwenye kupewa huo uhuru. JK aliwapa uhuru mkubwa sana watu na madhara yake yeye mwenyewe akageuka kuwa mhanga wa utamaduni alioujenga kwa miaka kumi.

Uhuru mkubwa wa kujieleza na kuwakilisha hisia zako, unaendana na kuijua mipaka ya kipi ni cha kuongelewa hadharani na kipi sicho. Tanzania tulifika mahali tukapoteza kabisa tabia ya kumheshimu mtu na maoni yake.

Tukajenga dhana za kipumbavu kabisa, kwamba anachokiwaza mtu ndio sahihi hata kama uelewa au elimu yake ni ndogo kuhusiana na kile anachokisema kuhusiana na uhuru wa mtu mwingine, Nchi ni lazima iwe na nidhamu kwanza, mengineyo huja taratibu.
 
Ni jukumu la Serikali yetu kuamua Redio ipi ni hatari kwetu na ipi ina manufaa na ndiyo maana huwa kuna uchaguzi ambapo Wananchi hupata fursa ya kuamua waongozwe na Serikali ya namna gani!
serikali ambayo inaona kila kitu ni uchochezi sio serikali inayotokana na watu....Ni serikali ya kidikteta inayotokana na hila hadi ikawepo pale
 
Ilitokana na chuki zilizokuwa zimepandizwa na wanasiasa kwa muda mrefu, na hasa ukabila, usikimbilie hoja dhaifu kuhalalisha kufungiwa kwa vituo vya redio
sio lazima iwe ukabila. hata uongo na uzushi kama wa akina lissu. uchochezi wa kuhamasisha watu wasitii mamlaka iliyowekwa kisheria. kukejeli na kudharau rais wa jamhuri. lazima hatua kuchukuliwa.
 
Nimekudharau ndio sababu huwez kusema ni hoja dhaifu wakati watu walikufa kwa kupewa nguvu na redio.

Hhahahaah....huwezi kulinganisha chuki za kikabila za Kenya na Rwanda na huku kwetu....Hapa tunapambana na udhalimu was serkali ilyopo
 
sio lazima iwe ukabila. hata uongo na uzushi kama wa akina lissu. uchochezi wa kuhamasisha watu wasotii mamlaka iliyowekwa kisheria
uongo na uzushi ni upi...mbona mahakamani tuawaaibisha kila siku nyie
 
Taifa linapokuwa ktk hali fulani ambayo sio nzuri, tujifunze kuacha ushabiki wa Simba na yanga ktk siasa maana siasa ni maisha ya watu na vita havijui mwanachama wa CHADEMA, CUF au CCM. DEMOKRASIA ndio suluhisho hata tungekuwa na shibe au njaa kiasi gani.
 
Hhahahaah....huwezi kulinganisha chuki za kikabila za Kenya na Rwanda na huku kwetu....Hapa tunapambana na udhalimu was serkali ilyopo
Na serikali inapambana na chuki mnazotaka kuziweka kwa wananchi za kuwaaminisha kwamba Raisi ni diktekta
 
serikali ambayo inaona kila kitu ni uchochezi sio serikali inayotokana na watu....Ni serikali ya kidikteta inayotokana na hila hadi ikawepo pale

Huo ni mtazamo wako na kama pia ni mtazamo wa wengi basi wataibadilisha 2020 lkn mpaka siku hiyo ifike CCM ndiyo yenye mandate to rule, na njia pekee ya kupingana nayo ni kwa kura nje ya hapo siyo halali na matokeo yake siyo mazuri sana hasa kwa upande wa wanaokaidi!
 
Huo ni mtazamo na kama pia ni mtazamo wa wengi basi wataibadilisha 2020 lkn mpaka siku hiyo ifike CCM ndiyo yenye mandate to rule, na njia pekee ya kupingana nayo ni kwa kura nje ya hapo siyo halali na matokeo yake siyo mazuri sana hasa kwa upande wa wanaokaidi!

ndio tunayataka hayo matokeo...nchi hii ni yetu sote...msituletee ukuda
 
Kwenu mafisadi ndo ukweli si mnaweweseka bado

Hakuna fisadi yeyote CHADEMA....Tutaendelea kupinga kwa nguvu zote chama cha CCM kwa Udikteta na ujambazi wake kwenye rsilimali za Umma

DEEP GREEN
KAGODA
MEREMETA
RICHMOND
NYUMBA ZA SERIKALI ALIZOUZA mUNGU MAGU
KIWIRA YA LODI LOFA
KIVUKO KIBOVU CHA mUNGU MAGU
MALIPO HEWA KWA WAKANDARASI CHINI YA mUNGU MAGU
ESCROW
VIWANJA VYA MIPIRA NA MAENEO YA WAZI YALIYOIBWA NA CCM
LUGUMI YA KAKA YAKE mUNGU MAGU
 
Mtu akiwa na amani anafanana na ule msemo wa aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Kibaya zaidi yanapotokea machafuko wale wenye passport na uwezo wa kuifikia airport kwa ajili ya kukimbia nchi, ni wachache sana. Wengi wao hujikuta wamezungukwa na watu ambao hawana uwezo wa kuwazuia wasiwadhuru.

Uhuru mkubwa wa kuongea huambatana na heshima kwa taifa la huyo mwenye kupewa huo uhuru. JK aliwapa uhuru mkubwa sana watu na madhara yake yeye mwenyewe akageuka kuwa mhanga wa utamaduni alioujenga kwa miaka kumi.

Uhuru mkubwa wa kujieleza na kuwakilisha hisia zako, unaendana na kuijua mipaka ya kipi ni cha kuongelewa hadharani na kipi sicho. Tanzania tulifika mahali tukapoteza kabisa tabia ya kumheshimu mtu na maoni yake.

Tukajenga dhana za kipumbavu kabisa, kwamba anachokiwaza mtu ndio sahihi hata kama uelewa au elimu yake ni ndogo kuhusiana na kile anachokisema kuhusiana na uhuru wa mtu mwingine, Nchi ni lazima iwe na nidhamu kwanza, mengineyo huja taratibu.
Ovyo kabisa
 
Wanaolalamikia maamuzi ya Serikali yetu kuzifungia baadhi ya Redio na Magazeti wana akili za kitoto!
Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Rwanda na Kenya viliweza kufanikiwa tu kwa uwepo wa Redio za kichochezi ambazo Serikali zao walipuuzia uchochezi uliokuwa unafanywa na Redio hizo matokeo yake ni vita kubwa iliyopelekea watu wengi kuumizwa na kupoteza maisha!

Hata mmoja kati ya Wakenya waliopelekwa ICC huko Hague kwa kesi ya uchochezi ni mtangazaji wa Redio anayeitwa DJ Sang ambaye alituhumiwa kwa uchochezi!

Hivyo hongera sana Serikali yetu kwa kutupenda na kutulinda dhidi ya watu wabaya, Kenya walifika walipofika 2007/2008 kwa sababu ya udhaifu wa Serikali yao na kuiga Uzungu ambao hata hawauelewi!
Utakemea vipi redio inayokemea uvunjwaji wa sheria, wakati rais aliyevunja sheria ambaye kasemwa na redio hujamkemea?

Huyo rais asingevunja sheria redio ingemsemaje?
 
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Msije kudanganyika mkaingia mitaani, mtaumia na hakuna atakayewaonea huruma.
Mtakuwa sehemu ya taarifa ya habari na kesho yake maisha yataendelea kama kawaida.
Nyie ndio mnaoturudisha nyuma.Tanzania tofauti Na Rwanda,mwambie presidaa aruhusu shughuli za kisiasa bila kuvunja Sheria hatapungukiwa Na kitu.sio enzi za kidumu fikra za mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom