maimonides1
Member
- Oct 13, 2018
- 13
- 5
Internet ya setellite is very cost, alafu ipo slow sana.Lakini satellite imetengenezwa na kampuni ya uingereza.
Ila kitendo cha kusambaza internet nchi nzima naona jamaa wapo serious.
Spidi yake inalingana 2G? Kwa TZ pamoja na uwepo wa fiber ila maeneo mengi ya vijijini hayana 3G.Internet ya setellite is very cost, alafu ipo slow sana.
Sisi Tz tuna fiber nchi nzima.
Sidhani kama Tanzania kuna eneo ambalo hakuna satelite internet, sema speed yake hasa kwenye ping ndio kimeo. Ikiwa bora zaidi tegemea ping around 500ms ila inaweza kuwa mbaya zaidi ya hapo.Spidi yake inalingana 2G? Kwa TZ pamoja na uwepo wa fiber ila maeneo mengi ya vijijini hayana 3G.
Internet ni muhimu kama Afya bora, Maji safi na Elimu.Wananchi wanapata huduma zote za msingi kama Afya, Maji Safi na Elimu Bora?
Jamani duniani kuna vituko wakati wenzetu wana rusha satellite yao angani sisi huku hatulali kwa furaha lowasa kurejea ccm!!!View attachment 1036309
In God we Trust
Hahahaa....... Ufipa wamepagawa mkuu!Stooop! Ni fake news!
Kagame Propaganda Papers Claim Rwanda Is Launching Satellite And Is Set To Build Space Industry - Kagame Propaganda Papers Claim Rwanda Is Launching Satellite And Is Set To Build Space Industry | Therwandan
Stooop! Ni fake news!
Kagame Propaganda Papers Claim Rwanda Is Launching Satellite And Is Set To Build Space Industry - Kagame Propaganda Papers Claim Rwanda Is Launching Satellite And Is Set To Build Space Industry | Therwandan