Rwanda launches the first ever Satellite in its skies

maimonides1

Member
Oct 13, 2018
13
45
WOW RWANDA MADE IT

It was history made , as Rwanda launched the first ever Satellite in its skies to connect schools with internet across its remote parts of the country.#iLoveRwanda

~Rwanda is a small country with big Dream~

At exactly 23:37 (local time), Rwandans waited with excitement as the Satellite was launched live on state broadcaster – Rwanda Television.

We are definitely looking forward to the launch of other satellites soon.
The Satellites would add to the already existing knowledge-based economy on improving decision making in sectors such as Telecommunication, Agriculture, Navigation, National security, Disaster and several other domains that it could contribute to on a larger scale.
IMG-20190302-WA0002.jpeg
IMG-20190302-WA0004.jpeg
IMG-20190302-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mo14

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
209
500
Wananchi wanapata huduma zote za msingi kama Afya, Maji Safi na Elimu Bora?
 

wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
4,460
2,000
Ni kweli chief,hata juzi RTV ilikua inaonyesha tukio hilo live.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

gomer

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
292
225
...
Hii faiba yetu imekwishia wapi? Tusiliweke kwenye kapu moja la wapiga dili.
Kwa matumizi yao pekee satellite ni ufujaji, eneo lao ni dogo kwa matumizi hayo.
...
 

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,402
2,000
Lakini satellite imetengenezwa na kampuni ya uingereza.

Ila kitendo cha kusambaza internet nchi nzima naona jamaa wapo serious.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,034
2,000
Spidi yake inalingana 2G? Kwa TZ pamoja na uwepo wa fiber ila maeneo mengi ya vijijini hayana 3G.
Sidhani kama Tanzania kuna eneo ambalo hakuna satelite internet, sema speed yake hasa kwenye ping ndio kimeo. Ikiwa bora zaidi tegemea ping around 500ms ila inaweza kuwa mbaya zaidi ya hapo.
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
97,850
2,000
Jamani duniani kuna vituko wakati wenzetu wana rusha satellite yao angani sisi huku hatulali kwa furaha lowasa kurejea ccm!!!
FB_IMG_1551551779566.jpeg


In God we Trust
 

Statesman

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
23,292
2,000
wakati nyie mlipokua mnashangilia kumpokea Lowasa wengine walikua wanashangilia kuhusiana na nini ??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom