Wajameni, sasa naona maono na maandiko ya Hayati Mchungaji Mtikila yakitimia hapo nchini Tanzania kwa kasi sana.
Jamani, Tanzania yangu , very miserable advice from low profile skilled guys about what Mr.Kagame is doing to DR Congo.
Kumbe ndiyo maana , inasemekana Kagame ndiye alimuua Mchj Mtikila basi naanza kuamini.
Pumzika kwa amani , Mchj Christopher Mtikila, uliyoyasema yanaanza kutimia , japo hatupo nawe ila maonyo na maagizo uliyoyatoa wakati wa uhai wako kabla haujakatishwa hakika tunaanza kuyashuhudia hata kabla ya miaka 3 tangia ulipokatishwa uhai wako.