Tetesi: Rwanda kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya Madini

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,839
17,437
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini

Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo

Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha

My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua

Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi
 
Mmmh...muda utaongea mana kiongoz wa awamu ya nne alivyokua haivi na kagame halaf leo hiii...
 
Wajameni, sasa naona maono na maandiko ya Hayati Mchungaji Mtikila yakitimia hapo nchini Tanzania kwa kasi sana.

Jamani, Tanzania yangu , very miserable advice from low profile skilled guys about what Mr.Kagame is doing to DR Congo.

Kumbe ndiyo maana , inasemekana Kagame ndiye alimuua Mchj Mtikila basi naanza kuamini.

Pumzika kwa amani , Mchj Christopher Mtikila, uliyoyasema yanaanza kutimia , japo hatupo nawe ila maonyo na maagizo uliyoyatoa wakati wa uhai wako kabla haujakatishwa hakika tunaanza kuyashuhudia hata kabla ya miaka 3 tangia ulipokatishwa uhai wako.
 
Habari hizi fununu ilishatoka na watu wakaongelea.. acheni kumsifia mtu ambaye nae alijua kama wengine na sio kutumia voodoo kujua.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom