Rwanda kutumia $18 kwa hi-tec id card

Mkora

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
370
55
The UK based company-De-La-rue has won an $18million tender to work on Rwanda’s identity card project.

The company which brought in sophisticated equipments to finish the work is now capturing biometric data in which a digital picture, electric finger print and signature are included.

The data capture that started in February this year will end in August though by the end of April the residents of Kigali will have received their Identity cards.

The government has registered 5.3 million Rwandans above 16 years who will be given new national identity cards.

However, the coordinator of the project, Mr. Pascal Nyamurinda told East African Business Week that biometric data of 10 million Rwandans has been computerised.

SOURCE

http://africannewsanalysis.blogspot.com/2008/03/uk-firm-wins-18m-rwanda-id-tender.html

Sasa mbona mradi wa Tanzania hesabu haziingilani kwani kwa watu 10 million wanatumia $18 kwa watu 40 million simple calculation ni under $80 million
Jee $150 million kwa project ya Tanzania hesabu za wapi au ndio hatuna negotiator

Isitoshe hizo ID zetu hazitakuwa na hizo features
 
Mkora umelenga... Rwanda wanaopewa niwa umri wa miaka 16 na kuendelea... na wa
kwa watanzania wanapewa ID kuanzia umri gani.. . na ID zitakuwa na features gani??? tunatarajia vitakuwa bna hadhi ya kimataifa na si vya hadhi ya kitambulisho cha mkazi..
 
Suala si negotiator bali hiyo ndo imekuwa tamaduni ya viongozi watanzania na ndo maana nchi haitotokana na umaskini
 
kwa mambo haya ndio maana serikali inakose pesa za kuongeza wafanyakazi wake mshahara
 
Hawatoi deals kwa kampuni kwa ubora wa kazi tarajiwa kwa ulinganisho na gharama za mradi tajwa, bali wanatoa deal kwake yy aliye mwepesi na apokeae kwa mkono wa kushoto naye kutoa kirafiki kwa mkonowe wa kulia. Ni mtindo wa nipe nikupe haswa.
 
Kumbe kiongozi akiingia kwa mabavu anakuwa na mapenzi ya nchi kuliko tunao wachagua
yaani mpaka unawaonea huruma wazee wetu waliojitolea kwa hali na mali kwa ajili ya Tanzania
Leo hii watu wanavuna tuu
 
hakuna tatizo lolote hapa, tz tumeweka hela hizo i li kitambulisho kiwe na ubora zaidi. kama hapo karibu nawe unaye raia wa kenya, mwambie akupe passport yake uone, passport ya kenya hawajascan picha kama ilivyo ya tz, ya kwetu ina ubora wa hali ya juu pamoja na kwwamba hata wasomali wanazo kwa sasa wanazozipata sio kwak ufoji bali kwa kuhonga rushwa kwa afisa uhamiaji. kama tulivyowapiga chini wakenya ktk passport, hata hii ya kitambulisho tutawapiga chiini east africa countries including rwanda, cha kwetu kitakuwa bora zaidi. kwa hili siilaumu selikali, na wala sipendi tuisumbue kwa hili, wasije wakapata hofu ya pressure toka kwa wananchi wakaboronga badala ya kutengeneza kwasababu ya kusikiliza ushauri wa kila mtu. nafikiri kwanza selikali yenyewe haisikilizi ushauri wa kutoka kwa kilamtu, si jui toka kwa bimkora, toka kwa pimbiii, toka kwa zena, sijui betina, ushauri wa kutulinganisha na rwanda huo weka kwenye box la taka, tuendelee na maisha.
 
mzee, hoja yako iko basic sana, inaweza kuwa kweli lakini haujaweka details. umepewa features za ID za wanyarwanda zitavokuwa, weka specs za ID zetu kisha fanya ulinganifu wa gharama. Wacha tungoje, tutapewa hizo ID lakini bado mtu utatakiwa kutembea na leseni na kitambulisho cha mpiga kura! lol!
 
Kufumba na kufumbua, these guys rwanda watatupita tukiwa tumesimama
Nadhani wapo kwa kiasi fulani NA VISION. Pamoja na mikorogano ktk uongozi lakini at the end of the day they GET THE JOB DONE. Nawapa hongera za dhati kwa KUPANGA MAMBO yao. Sisi tulie tu.
 
Bigup Kagame and Rwanda,
Tanzania tumebaki kuchonga midomo tu,hamna project ya Kiteknologia hata moja iliyokamilika.national ID,Brela,TRA Driving license,Utumishi,ERP ya halmashauri na HAzina,zote zimekaa kiulaji ulaji,serikali ya CCM haijajipanga kuwajibika kama serikali ya Rwanda.
hizi ticknologia zote zipo duniani na sisi ni kununua na kuziapply lakini inachukua miaka 4-8 kuzifanyia kazi,so mradi wa vitambulisho haupo ni gheresha tu,kwani tasisi za serikali zipo kirafiki zaidi.mafaili yapo hovyo hovyo hamna utunzaji mzuri wa kumbukumbu.
Haki elimu walianza kutoa leaflets za matumizi ya taasisi za serikali,wamepigwa stop na Lowasa and Co,sasa sijui nani atatueleza gharama za matumizi ya serikali,
Rwanda wameshatupita by 5years,na tusipoangalia watatupita by 25yrs ikifika 2020
 
Mkuu hiyo kali Sasa Lowasa alijiuzulu kwa nini ilhali serikali haifanyi mambo kwa kusikiliza
kama unakubali Tanzania ni shamba la kuvuna kwa wanamtandao
Kweli siwezi kulinganisha Tanzania na Rwanda kwa kuwa Rwanda wanaonyesha nia ya kuondokana na umasikini
 
Back
Top Bottom