Rwanda kutoa VISA on arrival, ongezeko la 150%

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Rwanda imeruhusu wageni kuchukua visa kila wanapowasili na hivyo kumekuwa na ongezeko la wageni kwa 150% ukilinganisha na miaka iliyopita. Wageni wanaingia kwa sababu tofauti wengine wamekuwa wachangiaji wakubwa katika uchumi wa nchi hiyo. hili tunalionaje, wageni wanapoingia kwa uwingi na usalama unaimarishwa je ni fursa au.

source: Rwanda TV 23.00PM NEWS
 
Hivi visa on arrival kuna mtu anaweza kukosa sifa ya kupewa Visa?
 
Inategemea maana unaweza usiwe na sababu ya msingi ya kuja nchini au ukawa suspected kwa mambo flani hivi hivyo ukarudishwa ulikotoka
 
Hivi visa on arrival kuna mtu anaweza kukosa sifa ya kupewa Visa?
Ngozi nyeupe kunyimwa visa on arrival huku shitihole kantriz ni ngumu. Sasa ww nenda ww shithole huko kwao hata kama wamesema visa on arrival, utaona nyota !
 
Back
Top Bottom