Rwanda kurusha satillite yake

Rwanda kurusha satillite yake

Mwezi feb kigali itahost Africa tech summit,wagen maelfu wataenda hapo.

Mwezi march Kigali itahost tena
Africa CEO forum wageni zaidi ya 1500 watahudhuria,hapo ni mwendo wa USD tu.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Satellite inasaidia nini wakati wananchi wake bado wanaogelea kwenye lindi la umaskini.
 
Rwanda wanazidi kwenda mbali,hivi sisi VP tuna hata mkakati ulioko jikoni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Rwanda wapinzani wanaelewa maendeleo yanayoletwa na serikali na wanaiunga mkono. Sisi wapinzani wanapinga kila kitu (isipokuwa- mheshimiwa Sugu!). Kama wapinzani wangeshilikiana na serikali tungekuwa tumeisha fika mwezini.
 
Hao Rwanda kila siku wanarusha?! Warushe tu, sisi mpaka SG zetu zikamilike.
Kwanza huko juu kunawapiga kura?!
 
Rwanda ni mchongo Wa US na ndio maana kuna mashavu kibao anapewa
Nalog off
 
Ukitupa hizo faida lukuki za kuwa na satellite kwenye ulimwengu wa tech kwa nchi masikini kama Rwanda ingekuwa vizuri ili na sisi watu wa tech tuchangie.



Wakati sisi bado tunakimbizana na mashine za kukusanyia ushuru na zile za kupigia chabo sms za wananchi.. nchi ndogo kama mkoa wa kigoma itarusha satillite yake ya kwanza.

Kuna faida lukuki kwenye ulimwengu wa tech kuwa na satillite..



Rwanda to launch satellite this year


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom