Rwanda kurusha satillite yake

Rwanda kurusha satillite yake

Serikali ya Tanzania ikifanya uamuzi wa kurusha satelite nyie wenyewe ndo mtakuawa wa kwanza kuja hapa kupinga kwa nguvu zote.
Nyie watu ni zaidi ya wachawi kwa taifa hili.
kweli kabisa. wapinzani ni kama mtu anayekata tawi la mti alilolikalia
 
Kupanga ni kuchagua na sio kila wanachofanya majirani zetu tuige tu kisa wamefanya majirani.

Pia hata sisi tukirusha mtakuja na threads za kubeza,mnakumbuka national carrier inavyofufuliwa mnabeza si mwanzoni mlikuwa mnatolea mifano ya hao hao wanyarwanda kwamba wanamiliki ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba nchi inaimarisha miundo mbinu na huduma za jamii, ni misingi mikuu ya kukuza uchumi na kuondoa umaskini.
 
Sisi tunarusha mate tuu tukiwa live TeeBeeChee.
 
Rwanda wapinzani wanaelewa maendeleo yanayoletwa na serikali na wanaiunga mkono. Sisi wapinzani wanapinga kila kitu (isipokuwa- mheshimiwa Sugu!). Kama wapinzani wangeshilikiana na serikali tungekuwa tumeisha fika mwezini.
Hapa kuna wapinzani wa hivyo mno!
 
Wanataka tu kuwahi. Utakata wameulizia cost wakakatuta hela ya mboga.
 
It's not that big deal kurusha satelite. Ni swala la vipao mbele tu. Zaidi utasikia ni satelite kwa ajili ya mambo ya hewa tu ambayo hata sisi bila hata hizo satelites bado tunafuatilia vizuri.
 
Back
Top Bottom