Rwanda inahitaji maombi

Rwanda inahitaji maombi

Genocide nyingine inaweza kutokea Rwanda ...kama ilivyotokea DRC, same gravity just over a long time span.
All this due to militiamen who think they have a right to "dictate" their ideas forever.

Good thing is, there are people in/from Rwanda, SADC, Europe and US monitoring and alerting the world and trying to work these things through.

But at the end of the day, it's Rwandese (inside and outside of Rwanda) who will determine their fate.

Tuwaacheni, ila tusiwapuuze.
 
msimsakame kagame issue za ndani kwake zinamhusu yeye,kusema kwamba ukiishi kama mbwa utakufa kama mbwa ni msemo tu.ila kama tz inakula sahani moja na watu waliohusika na mauhaji ya kimbali unategema nini atuchekee? au mnafikili interegensia ya Rwanda ni kama ya said mwema pole.lisemwalo lipo huo ni msemo tu lakini una maana sana kwanini tusidili na issue zetu tukaachana naye hao waasi walipokuja kuja tz unafikiri walipita mbinguni ?kwanini wasionekane achene ukapuku

Sorry mkuu, sijui kama wewe ni Mtanzania mwenzetu! Jaribu kufatia mambo ambayo wanajidai kupata taarifa sijui kutoka sources gani, hizo ni hadaa tu - chukulia mfano ambao walisema sijui kamanda wa jeshi la wahutu waliokimbilia Congo aliwahi kuja Tanzania, wanajifanya eti wao walijua kila kitu na lini aliondoka kwenda Kigoma! Maneno tu, Watanzania ndio ilijulisha Balozi ya Rwanda kuwepo jamaa huyu nchini kwetu, bila shaka na siku ya kuondoka, ndio maana Balozi wa Rwanda kawahi Kigoma ili wamkamate jamaa; sasa hii ya Rwanda kujipigia debe kwamba wao ni zaidi katika nyanja za upelezi inatoka wapi - mtatishwa na PAPER TIGER mpaka lini? Kama jamaa wa wangekuwa mahili katika nyanja hizi basi M23 wasinge furumishwa na kikosi malaamu kwenye foxholes zao, wasijuue hata risasi zinatoka wapi - walikimbia na kuacha silaha zao lukuki. Ninacho taka kusema hapa Regime ya Rwanda ijifunze kuishi kwa amani na majirani zake, waachane na ubabe unao sababishwa na DUTCH COURAGE ambao unaweza ku-end up costing them an arm and leg.
 
Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya binadamu, ukishaanza tu huwezi iacha. Watanzania tujifunze kutokana na hili na tuenzi umoja wetu kama taifa. Tusikubali watu wa kutugawa kwa misingi ya dini, kabila, rangi na hata kanda. I love Tanzania.
 
Ni miaka mitano sasa imepita na Rwanda bado ipo stable
 
Back
Top Bottom