Rwanda inahitaji maombi

Rwanda inahitaji maombi

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Posts
2,182
Reaction score
309
Kufuatia malalamiko ya Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda nimejaribu kufuatilia habari zinazoandikwa kwenye gazeti la serikali ya Rwanda la News of Rwanda.

Nimesikitishwa na tone iliyomo kwenye makala zilizo nyingi kwenye gazeti hili, nyingi ni za propaganda ambayo inachochea mgawanyiko zaidi kati ya makabila makuu ya Rwanda (Wa-Tutsi na Wa-Hutu).

Miongoni mwa kauli za kichochezi kama hizi hapa chini

"When you choose to be a dog, you die like a dog, and the cleaners will wipe away the trash so that it does not stink for them. Actually, such consequences are faced by those who have chosen such a path. There is nothing we can do about it, and we should not be interrogated over it." - Gen Kabarebe (Waziri wa Ulinzi)

"Kibeho was the site of the mass murder of students from Marie Merci high school. And thousands of Tutsis were killed at the local Catholic Church where they had sought sanctuary." - Gazeti la News of Rwanda kwenye makala kuhusu mwenge Kwibuka Flame reaches Nyaruguru district in its countrywide tour News Of Rwanda – Rwanda News

Ukisoma kwa makini utaona kuna kitu ambacho siyo sawa mfano mtu ambaye naamini ana wafuasi kumuita mbwa wakati na kumkejeri kwa namna alivyofanya waziri ni jambo la hatari, vilevile kuendeleza machapisho yanayosisitiza mgawanyo kama kwenye hiyo makala kuwa wa-Tutsi ndio pekee waliuwawa nadhani kwamba wa-Hutu ambao ndugu zao waliuwawa kwenye vurugu hizi wanajisikia kuwa siyo sehemu ya sherehe za kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya 1994...
Nadhani mauaji ya Kimbari yalichangiwa na pande zote na kwa ushauri wangu nadhani kitu kinachotakiwa kuwepo ni kusisitiza katika utaifa badala ya ukabila mfano badala ya kusema maelfu ya Wa-Tutsi waliuwawa mhariri angeandika maelfu ya Wa-Nyarwanda waliuwawa, n.k

Haya ni maoni yangu tu na kama kuna mtu hayapendi basi anipinge kwa hoja siyo kuwinda maisha yangu kama ambavyo tumesikia imekuwa ikitokea
 
Rwanda ni mfano wa majivu yenye moto unaowaka taratibu kwa chini, ni suala la muda tu kabla moto mkubwa haujawaka.
 
Ntemi Kazwile

Rwanda amani bado sana hadi hao wajivuni watakapong'olewa na kuangamizwa. Sipendi kuwaita watutsi maana inaelekea wapo watutsi wanaoona mbali kuhusu amani na utengamano wa kweli wa nchi yao. Huyo kagame ni majigambo na kiburi huku ukweli ni kichwamaji tupu.
 
Last edited by a moderator:
Ntemi Kazwile

Hata kwetu wapo"Siongei na mbwa bali naongea na mwenye mbwa!"JMkamia MB NW Habari na michezo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
kagame angekuwa na akili (maana hana) angekaa na wanyaruanda wenzake wakajadili na kuyamaliza matatizo yote yanayowakabili kwa masilahi yao na wajukuu zao.
 
nahisi kwa sasa wahutu hawana haki yoyote maake kila watoa habari lazima wagusie mauaji ya genocide yaliyolenga watusi kana kwamba hakuna wahutu waliouawa!!!!!!!.
 
Yaani kagame anadhani vitisho vina nafasi katika kuleta AMANI ya nchi zaidi ya kuongeza presha kwenye bomu lililotayari kupasuka. Haka kajamaa tena katakuja kuuawa km gadaffi au Osama. Kuna watu bana walijiona wao ndio dunia na dunia ndio wao. Yuko wapi Saddam Hussein? Asaad Nasubiri kitanzi so the same to kagame.
 
kagame angekuwa na akili (maana hana) angekaa na wanyaruanda wenzake wakajadili na kuyamaliza matatizo yote yanayowakabili kwa masilahi yao na wajukuu zao.

Mimi sina uwezo wa kuwa MTUME au NABII, lakini sina shaka kadri siku zinavyo kwenda ndugu yetu Kagame hasipo jirekebisha na kubakia na ubabe wake na dharau zisiyo na mantiki hata kidogo, basi naweza kusema ategemee kupatwa masahibu yaliyo mkumba Kiongozi wa zamani wa Nigeria one BACHA. Watakao deal naye kikamirifu ni WATUTSI wenzake wanaoi juwa kwa karibu weakness yake hiko wapi, siyo Wahutu au WATWA.
 
Kwa kweli ni hatari na inasikitisha sana kusikia tone kwenye matamshi wa viongozi wa sasa wa Rwanda, wengi wanaongea kwa kejeri sana na kuwadharau mno wote wanaowapinga.... kwa mstakabali wa nchi kama Rwanda ambayo ina makabila makubwa mawili ni hatari sana, Sisi over Wao - na hii ndiyo ilizaa genocide.
 
Kufuatia malalamiko ya Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda nimejaribu kufuatilia habari zinazoandikwa kwenye gazeti la serikali ya Rwanda la News of Rwanda.

Nimesikitishwa na tone iliyomo kwenye makala zilizo nyingi kwenye gazeti hili, nyingi ni za propaganda ambayo inachochea mgawanyiko zaidi kati ya makabila makuu ya Rwanda (Wa-Tutsi na Wa-Hutu).

Miongoni mwa kauli za kichochezi kama hizi hapa chini

"When you choose to be a dog, you die like a dog, and the cleaners will wipe away the trash so that it does not stink for them. Actually, such consequences are faced by those who have chosen such a path. There is nothing we can do about it, and we should not be interrogated over it." - Gen Kabarebe (Waziri wa Ulinzi)

"Kibeho was the site of the mass murder of students from Marie Merci high school. And thousands of Tutsis were killed at the local Catholic Church where they had sought sanctuary." - Gazeti la News of Rwanda kwenye makala kuhusu mwenge Kwibuka Flame reaches Nyaruguru district in its countrywide tour News Of Rwanda – Rwanda News

Ukisoma kwa makini utaona kuna kitu ambacho siyo sawa mfano mtu ambaye naamini ana wafuasi kumuita mbwa wakati na kumkejeri kwa namna alivyofanya waziri ni jambo la hatari, vilevile kuendeleza machapisho yanayosisitiza mgawanyo kama kwenye hiyo makala kuwa wa-Tutsi ndio pekee waliuwawa nadhani kwamba wa-Hutu ambao ndugu zao waliuwawa kwenye vurugu hizi wanajisikia kuwa siyo sehemu ya sherehe za kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya 1994...
Nadhani mauaji ya Kimbari yalichangiwa na pande zote na kwa ushauri wangu nadhani kitu kinachotakiwa kuwepo ni kusisitiza katika utaifa badala ya ukabila mfano badala ya kusema maelfu ya Wa-Tutsi waliuwawa mhariri angeandika maelfu ya Wa-Nyarwanda waliuwawa, n.k

Haya ni maoni yangu tu na kama kuna mtu hayapendi basi anipinge kwa hoja siyo kuwinda maisha yangu kama ambavyo tumesikia imekuwa ikitokea

Hayo yote umeyaandika sawa swali muhimu ni kwa nini KIKWETE alikaa na hawa waasi wa Rwanda walikuwa wanapanga nini kwani kama tulivyosikia wao waasi wamekili kufanya hicho kikao kwa hiyo hata kama machafuko yakitokea tena Rwanda Tanzania kupitia Kikwete itahusika na machafuko hayo.
 
Mimi sina uwezo wa kuwa MTUME au NABII, lakini sina shaka kadri siku zinavyo kwenda ndugu yetu Kagame hasipo jirekebisha na kubakia na ubabe wake na dharau zisiyo na mantiki hata kidogo, basi naweza kusema ategemee kupatwa masahibu yaliyo mkumba Kiongozi wa zamani wa Nigeria one BACHA. Watakao deal naye kikamirifu ni WATUTSI wenzake wanaoi juwa kwa karibu weakness yake hiko wapi, siyo Wahutu au WATWA.
msimsakame kagame issue za ndani kwake zinamhusu yeye,kusema kwamba ukiishi kama mbwa utakufa kama mbwa ni msemo tu.ila kama tz inakula sahani moja na watu waliohusika na mauhaji ya kimbali unategema nini atuchekee? au mnafikili interegensia ya Rwanda ni kama ya said mwema pole.lisemwalo lipo huo ni msemo tu lakini una maana sana kwanini tusidili na issue zetu tukaachana naye hao waasi walipokuja kuja tz unafikiri walipita mbinguni ?kwanini wasionekane achene ukapuku
 
mkuu inawezekana kabisa wasiwe watusi wenzake na wakawa hao hao wahutu. nchi yenye ukabil kama ruanda ambapo watusi including kagame ni 15% tu na wahutu ni 84% unategemea nini? is just a matter of time. angekuwa na akili kama nilivyosema awali angewaita wapinzani wake wakayamaliza kipindi hiki akiwa na power. otherwise ataendelea kwenda kuishi uhamishoni uganda ampbapo alihamia akiwa na miaka 6 tu kwa uhasama huu huu.

Mimi sina uwezo wa kuwa MTUME au NABII, lakini sina shaka kadri siku zinavyo kwenda ndugu yetu Kagame hasipo jirekebisha na kubakia na ubabe wake na dharau zisiyo na mantiki hata kidogo, basi naweza kusema ategemee kupatwa masahibu yaliyo mkumba Kiongozi wa zamani wa Nigeria one BACHA. Watakao deal naye kikamirifu ni WATUTSI wenzake wanaoi juwa kwa karibu weakness yake hiko wapi, siyo Wahutu au WATWA.
 
msimsakame kagame issue za ndani kwake zinamhusu yeye,kusema kwamba ukiishi kama mbwa utakufa kama mbwa ni msemo tu.ila kama tz inakula sahani moja na watu waliohusika na mauhaji ya kimbali unategema nini atuchekee? au mnafikili interegensia ya Rwanda ni kama ya said mwema pole.lisemwalo lipo huo ni msemo tu lakini una maana sana kwanini tusidili na issue zetu tukaachana naye hao waasi walipokuja kuja tz unafikiri walipita mbinguni ?kwanini wasionekane achene ukapuku

Ww ndo kapuku uliyerukia treni kwa mbele.
 
Kwa kweli ni hatari na inasikitisha sana kusikia tone kwenye matamshi wa viongozi wa sasa wa Rwanda, wengi wanaongea kwa kejeri sana na kuwadharau mno wote wanaowapinga.... kwa mstakabali wa nchi kama Rwanda ambayo ina makabila makubwa mawili ni hatari sana, Sisi over Wao - na hii ndiyo ilizaa genocide.

Mkuu administration ya Rwanda nimekwisha isoma sana kisaikolojia, la kwanza ni watu ambao hawajiamini sana kutokana na matendo yao ya siku za nyuma specifically kuwasaliti Watutsi wenzao ambao waliwasaidia sana wakina Kagame tangu wakiwa vijana mmoja wao akiwa ni mzalendo FREDDY, huyu ndie alimtoa Kagame kwenye vikundi vya vijiweni vya ujanja janja wa kufanya deal za ku-forge cheki nk, Kagame as an individual is a very intelligent man na akili za darasani alikuwa nazo sana lakini 4 some reason alihamua kutojari masomo yake na kuanza kufanya mambo mengine tofauti kabisa!!

Freddy alikuwa karibu sana na M7 na mdogo wake Salimu Saleh na mkewe Jannet, huyu ndiye alimfanya Kagame ajulikane kwa M7, Freddy alikuwa mtu wa watu na hakuwa na hasira hasira za kijinga; katika mipango ya WATUTSI kuivamia Rwanda kutoka Uganda kwa mara ya mwisho - M7 hakutaka Kagame hawepo katika uvamizi huo alipendelea Freddy aongoze jeshi, hivyo kafanya mpango Kagame aende masomoni Merikani kwenye shule ya kijeshi kama njia ya kumuondoa maanake alijua sana hulka ya Kagame.

Wakiwa bado wako karibu mpakani na Uganda Freddy kauwawa kwenye mazingira ya kutatanisha ilichukua karibu wiki nzima bila ya kumwambia M7 na Salimu Salehe kilicho tokea kwa Freddy, wakatunga uongo na kuwasingizia Watutsi wenzao ambao waliowaona ni tishio katika kushika madaraka baada ya vita, wakasema bila aibu kwamba ndio walio husika na kumpiga risasi Freddy - Uongo mtupu, M7 na mdogo wake walipo pata taarifa za kuuwawa Freddy wakawakamata Watutsi walio singiziwa na kundi la akina Kagame wakahukumiwa kifo - Salimu Saleh alikuwa amekasirika sana, which means hiyo ndio ilikuwa hawamu ya kwanza ya kuwamaliza Watutsi wenzao ambao wanaonekan kutokubaliana na Kagame na kundi lake, list inaongezeka siku kila siku i.e anajiongezea maadui every single day!!

In short matukio kama hayo, hayawezi kumfanya regime ya Kagame ijione hiko safe, masaa yote wako uptight wanatoa vitisho, propaganda za kitoto - a hallmark ya kuonyesha regime ambayo haijiamini and for some reasons some Rwandese wana amini propaganda za Utawala wao ingawa wapo Watusi wengi tu ambao hawakubaliani na modus operandi ya utawala wa nchini mwao - we jaribu kuchunguza matamshi yao, kila saa kulahumu watu wengine isipokuwa WAO, as far as they are concern utawala wao ni HOLLY na mfano wa kuigwa - wanaishi kwenye virtual world( Dreamland 2 be precise) ya kwao hoping their problems zinaweza ku-sublime kwenye thin air bila ya kuzungumza na maadui zao - ukiwahuliza mbona Habyarimana alikubali kuzungumza na nyinyi mlipo kuwa maadui wake - hapo mkuu uwezi kupata jibu watakimbilia kwenye ngojera za Genocide ili wapoteze lengo, swali ni - watatumia karata ya Genocide ili kupata kisingizio cha kung'ang'ania madarakani mpaka lini? Historia inaonyesha kwamba minority hawawezi kutawala majority 4 ever sioni kama ukweli huo umewahi ku-sink in their system - wapo wapo tu na ndoto za mchana za kujaribu kutisha tisha RAIA wao na majirani.
 
Back
Top Bottom