Rwanda ina upungufu wa Walimu. Imeagiza Zimbabwe

Rwanda ina upungufu wa Walimu. Imeagiza Zimbabwe

Wabongo lugha ni shida

Bila IELTS certificate hawakubali ufundishe watu wao

Lima matikit maji tu
Nikishawahi andika humu lakini sikupata hata wachangiaji wengi wakisoma hilo kuwa waende british Council walimu wasome hiyo lakini Nadhani wengi hawakuona umuhimu
 
Kingeleza mtihani, ila kwa nchi ya Rwanda mshahara ni wauhakika, lakini pia waTanzania ni wavivu kujifunza lugha mbali mbali za nchi
Hahaaa eti Rwanda mshahara ni wa uhakika nani kasema, mishahara kwa watumishi hasa walimu iko chini sana mfano certificate salary ukiichange kwa hela yetu iko around 130000,diploma around 250000 degree around 350000 juzi ndio wameongeza
 
Oya genta kafanyaje tena [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Screenshot_20220811-111940_1.jpg
 
Wakati Tanzania tuna walimu kibao wasio na kazi Rwanda ina upungufu mkubwa wa walimu imeagiza walimu toka Zimbabwe.

Walimu anzeni kusaka kazi nje ya nchi. Kesheni mitandaoni kusaka kazi badala ya kusikiliza nyimbo tu na kuangalia movie.
Shida ya Elimu ya Tanzania ina upungufu wa competitiveness na pia watu wetu hawajiamini na hawako aggressive kwenye kusaka fursa..

Mwisho hujataja upungufu wa walimu wa masomo yapi na pia Tanzania lugha ya Kingereza ni shida.
 
Wakati Tanzania tuna walimu kibao wasio na kazi Rwanda ina upungufu mkubwa wa walimu imeagiza walimu toka Zimbabwe.

Walimu anzeni kusaka kazi nje ya nchi. Kesheni mitandaoni kusaka kazi badala ya kusikiliza nyimbo tu na kuangalia movie.
Mwalimu abaye hawezi kuongea na kuandika kiswahili fasaha atawezaje kifundisha Zimbabwe.
Kwa taarifa yako ni kwamba wakenya ndio wanaofundisha kiswahili nje ya nchi yao.
 
Wakati Tanzania tuna walimu kibao wasio na kazi Rwanda ina upungufu mkubwa wa walimu imeagiza walimu toka Zimbabwe.

Walimu anzeni kusaka kazi nje ya nchi. Kesheni mitandaoni kusaka kazi badala ya kusikiliza nyimbo tu na kuangalia movie.
Tatizo kubwa la serikali ya maccm majizi kupata passport ni ishu wakati ni haki ya raia. Mavi matupu!
 
Back
Top Bottom