Rwanda Haoo, Tanzania tumebaki na Propaganda Midomoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rwanda Haoo, Tanzania tumebaki na Propaganda Midomoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Nov 16, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kweli hii ni nchi ya mfano na Viongozi wake wana nia ya dhati ktk kuiendeleza nchi yao Kiuchumi,kijamii na kielimu pia,wakati hapa Tanzania sisi tumebaki kuwa ni watu wa kupanga vyema sana lakini vitendo hakuna

  Tupo ktk kukomoana kwanini hukunipigia kura,kwanini sikuteuliwa,nani kakutuma utangaze nia,kutafuta mizukule,kurogana na mambo meeeeeeeeeeeeeengi

  [​IMG]
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  sisi tumekalia kutoa matamko bakwata na kudai kadhi kuteuliwa na rais- mpssxxyy
   
 3. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Wako mbali sana na mwendo wao unatisha...niko hapa Kigali yani ni mji msafi sana,well arranged na kuna order, u see people who knows that there is a Government in commands..huwezi ona dereva anachomekea wengine ovyo,wala uchafu,au magari ya matangazo yanayopiga makelele ovyo.. wana mipango mingi mikubwa hawa jamaa na kweli unaona kabisa wana Matumaini..huo kwetu ni nchi ya giza kila mtu na lake...ovyo kabisa..
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Pinda juzi nilimsikia akisema eti Rwanda wanapiga hatua kwa sababu ni ndogo sana, hata jimbo lake ni kubwa kuliko Rwanda!
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Serikali yetu inaongozwa ki mission town, wataalamu na wasomi wanapuuzwa mawazo yao yenye nia ya kujenga taifa na badala yake yanatukuzwa mawazo ya wanasiasa waliolewa madaraka na kutukuza dhamira ya uongo kwa nia kupenyeza mianya ya ufisadi kwenye kila jambo la kitaifa kwa manufaa ya ulevi huu wa madaraka.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,246
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  mkuu ukupata full info katimua watu huko vijijini kaleta wachina wamemwagika wanaanza kujenga magorofa na kila alieondoka amehadiwa kupata vyumba na familai yake ...na hii ni kwa maskini tu na ameapa kuleta wajermani kuhakiki kila anaepewa vyumba kama hana uwezo kweli tubaki na kuuziwa nyumba za nhc mnachekelea million 30 si unataka niitwe cameroon shame gvt
   
 7. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  sisi bana hatuishi kutoa vizingizio,mala ooooooooooooooh linchi likubwa mala ooooooooooooooh vile

  hivi jamani basi hata tutenge mkoa mmoja tu uwe mfano

  hebu tuangalie china,hii nchi ni kubwa jamani,huwezi fananisha na nchi yeyote hapa Africa,lakini angalia mambo yao na kuna mwaka Nyerere aliwapa chakula kwa njaa waliokuwa nayo

  lakini wako wapi sasa

  tunakila kitu
  milima,mabonde,madini,mito,mabwawa,bandari,kila kitu tunacho na tumewazidi chini kwa maliasili lakini wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,tumebakia siasa na kukamiana na kuonyeshana ubabe
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kiukweli jamaa yupo makini na ameamua kufanya kweli,acha tubaki na viongozi wetu wanaolalama kila siku

  wewe angalia vyanzo vya umeme,tangu vileeeeeeeeeeeeeeeeee alivyo acha Babu Nyerere,ni vipi vipya tulivyo anzisha zaidi ya kufanya ukarabati hata hivyo navyo tutadai ni vikubwa,haya basi tuwekeze ktk bandari tu tuone kama hatutatoka
   
 9. T

  Takayangu Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Siku zote hizi ndizo huwa kauli za mfa maji. Siku hizi naona haibu ya kulialia unafki,umemuisha sasa anaziendeleza tu pumba zake.
   
 10. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hahahahahahahahaha,haya bana

  Ila kiukweli tunahitaji kubadilika na kuweka vipao mbele vya maendeleo ktk Taifa letu
   
 11. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  huendi mjini bila viatu !
   
 13. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  ndani ya mwaka mmoja wameweza kuondoa nyumba za nyasi kwa 85 %.juzi juzi wamezifunga akaunti za benki za ubalozi wa ubelgiji nchini kwao bila uoga
   
 15. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  tz na maktaim kimaendeleo ni kama kuunga hoja mia kwa mia kwenye hoja ya kipuuzi
   
 16. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pinda is full of hot air! It is not just about the size of the country, it is the size of the brain; Hapa unaona kabisa what Kagame is doing, wakati serikali inafanya mipango ya muda mrefu watu wanatakiwa wawe na practicle solution - ng'ombe mmoja na nadhani ni kwa ajili ya maziwa (nutrition). Yeye Pinda badala ya kusaidia wakulima wake waondokane na jembe la mkono anawaleta wakulima uchwara toka Marekani (Agraisal), ni lini watu wa jimboni kwake walishindwa kulima kwa kutumia treka kama lilikuwepo?
   
 18. M

  MyTz JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huyu jamaa si ndio alidanganya bungeni?
  sio wa kumsikiliza, ndio anaowazungumzia engmtolera hapo juu hawana lolote ni kabobo tuuuuuu....
   
 19. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  ...Hawa jamaa ndio uwezo wao wa kufikiri ulipofikia.....Mimi sijasoma uchumi lakini hata siku moja siwazi kufikiri kwa style hiyo! Kwa sababu tukiwa darasa la tano tulifundishwa hesabu za uwiano. kwa viongozi tulionao ambao hivi ndivyo wanavyo approach matatizo ya nchi yetu! Maendeleo tutayaona baada ya wao kutoka madarakani!
   
 20. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  na baada ya kujadili mambo muhimu bungeni tumebaki tukishutumiana
   
Loading...