abuupancho
Member
- May 31, 2013
- 55
- 11
huyoo kagame pimbi tuu mnafki mkubwa darling wa USA yeye na museveni,is days are numbers,wana nini washenzi tuu criminals. of wars,
Mbona hasira mjomba,kwani maoni yako hapo yako vipi?Mambo mengine yanatia hasira mjuwe,uwezi compared hata siku moja Tz na Rwanda absolute,
ha ha ha sura na post yako vinaendana ha hamkuu naona umepata ugonjwa wa jinamizi ghafla, mambo kama haya kapost jukwaa la watoto
Ni kweli upo ndani lakini ni ndani ya hilo jeshi ulilotuwekea picha. Labda tu mngejaribu kuwachokoza JWTZ kisha muone.Kijeshi Picha mahala pake ni kwenye album tu na si za kuji show off maana mahala pazuri pa kupima uwezo wa askari ni kwenye field!
hata ckuelewi unasimamia wap.unamsifia,unamdharau,ilaa huyoo jamaaa sio wng
Upo ndani ya nini wewe acha kutuongopea hapa! Taja force number yako bila ku reveal military id yako kama unaweza! Kama utaweza tunaoelewa tutajua. Lakini mpaka sasa nakuona wewe ni puppet ambaye anapiga propaganda tu!
NITAKUWA ZAIDI YA MJINGA NIKIFANYA HIVYO! MBONA WE UNATUMIA JINA BANDIA HAPA? WE KAMA HUAMINI BASI BUT LENGO LANGU NIKUTAKA KUONYESHA SISI TUMELALA MDA MREFU WENZETU WANAJIBUILD-UP ONA KENYA,RWANDA,NA UGANDA WANAVYOPIGA HATUA KILA UCHAO NA KESHO WOOTE MARAISI WAO WANAKUTANA UGANDA(KAGAME,MUSEVEN NA KENYATTA) UKIWA SMART ENOUGH UNAWEZA UKANG'AMUA KWANN WANAITANA WAO WATATU TU NA SIO NA SISI TZ? UWE UNAJARIBU KUFIKIRIA NJE YA BOX SIO KILA SIKU NA STORY ZA KUMPIGA NDULI IDDI AMIN THEN UNABAKI KUWA "BIG HEADED" HUKU HUNA MIPANGO,KILA MTU HAPA ANAISIFIA JWTZ KWA STORY ZA ZAMANI ZA MIAKA YA 1980 KUSHUKA CHINI KWANN TUSIISIFIE KWA STORY ZA MIAKA HII? NI NGUMU COZ MIPAKA YETU YOOTE SASA INAINGILIKA KIRAHISI TOFAUTI NA ZAMANI,JESHI LINATUMIKA KISIASA ZAIDI,UFISADI JESHINI NIWAKUTISHA HAKUNA MORALI TENA WAKULITUMIKIA TAIFA,VIFAA DUNI VYAKIZAMANI! HATUNA MIPANGO ENDELEVU TUPO TUPO TU NA SIFA ZILE ZA ZAMAANI ZA NDULI IDDI AMIN!
Kama kweli wanajiandaa basi ni kuwakabili waasi wa FDLR !!!
Hawana ubavu wa Kupiga Tz kule DRC wapo upande wa M23 ambapo bado hawajui kama wote M23 wapo upande wa Rwanda!!!
Kagame yupo kwenye hard time kama atamaliza mwaka sijui???
Hiz propaganda tuziache ziendelee ili wajinga waliwe!!!
Swat field gani unayoweza kutolea mfano wa mafanikio ya JWTZ.JWTZ haijawahi pambana vita na sovereign state ukaconclude wazi kuwa jeshi limeshiriki vita na kushinda au kushindwa.Sayansi ya vita ni zaidi ya maneno ya kushiba mihogo ya Ikwiriri na kuvimbiwa.Ni kweli upo ndani lakini ni ndani ya hilo jeshi ulilotuwekea picha. Labda tu mngejaribu kuwachokoza JWTZ kisha muone.Kijeshi Picha mahala pake ni kwenye album tu na si za kuji show off maana mahala pazuri pa kupima uwezo wa askari ni kwenye field!
Swat field gani unayoweza kutolea mfano wa mafanikio ya JWTZ.JWTZ haijawahi pambana vita na sovereign state ukaconclude wazi kuwa jeshi limeshiriki vita na kushinda au kushindwa.Sayansi ya vita ni zaidi ya maneno ya kushiba mihogo ya Ikwiriri na kuvimbiwa.
Watu wengine mnaongea as if kuna vita btn TZ vs Rwanda,na wala hakuna beef yeyote na inasikitisha sana watu msioelewa siasa za Rwanda mnavyo fall na propaganda za watu humu wenye agenda za ant Rwanda/kagame humu JF, na huko Congo JWTZ hawajaenda kupigana na Rwanda maana Rwanda hawana hata mwanajeshi mmoja huko,be carefully guys maana JF imeingiliwa na watu wenye chuki na RwandaKwani hushangai kwa nini hayo maneno yako na mapicha unayoweka na hizo propaganda umezianza hivi karibuni?. Kabla ya hapo mbpna mlikuwa kimya? Si ni baada ya Tanzania kuamua kupeleka vikosi vya JWTZ kule Mashariki ya kongo na kuzuia mirija yenu ndio mumeanza propaganda za kuongea na kuweka mapicha humu!. Tunaisifia sana Jwtz kwa sababu hakuna hata nchi moja jirani iliyowahi kuichokoza. Na hii inaonyesha inaogopwa mkuu. Unashindwa tathmini ndogo tu kama hiyo!? Mngekuwa hamuiogopi mngeichokoza basi muione uwezo wake! tu