upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 198
CCM ni shida tukifanya mchezo ipo siku tutajikuta hatuna chetu.
Tusiwe na chetu mara ya ngapi, sema tayari hatuna chetu, sasa ni kutumia nguvu za ziada kuvirudisha.
CCM ni shida tukifanya mchezo ipo siku tutajikuta hatuna chetu.
Yaani hadi Rwanda wametupita.... inadibi CCM itoke tu, hakuna jinsi
Bora nipande gari hizi hazichelewi kuchomoka seat! Tz hamna walichokiweza chini ya ccm
mkuu hiyo signature na jina lako nimepata shauku ya kufahamu zaidi, ina maana yule Gnassingbe Eyadema inakuaje hapo.???
Udhalilishwaji huh unaofanywa dhidi ya watz hadi lini?! Kwani hilo toy lina-cost kiasi gani?!Mkuu masahihisho; Ni airbus 330 sio airbus 300
airbus 330 ni ndege kubwa ,kams Rwanda watainunua basi pongezi Sana kwa brother Kagame.
Tanzania sijui lini nchi itaambulia angalau kununua kadege kapya japo kamoja
inatia huzuni tunabaki kudhalilishwa na ka nchi kadogo kama Rwanda.
Poa tutachagua wenyewe umaskini au utajiri hapo oktoba 25.
Mkuu hivi pale unapoomba mkopo ili ununue gari au kujenga nyumba is that not exciting news kwa mkeo au mmeo? Hata kabla haujatoka na hata hujaagiza gari Japan?? The fact that they have managed to close the deal,which will materialize next year great achievement! Kwa kweli huyu rais, pamoja na mapungufu yake, ameipaisha sana nchi yake, just like Kenya. Sisi tumebaki na tunachokiweza zaidi, longo longo na maneno miiingiii.
Koba na Kobe , Du ni id ya mtu mmoja au?mtapitwa mpk na Burundi manake Somalia wamewapita kidogo subiri siku vita zao za ndani zikikoma tu.
usisahau zanzibar ikipata mamlaka kamili.
Tanzania nchi ya amani endelea kuchagua sisihem manake mkibadili uongozi wapinzani watayaleta ya Libya.
tumia google search utapata gharama zake.Udhalilishwaji huh unaofanywa dhidi ya watz hadi lini?! Kwani hilo toy lina-cost kiasi gani?!
Watanzania bwana hakuna hata mtu anaeshauri kwanini serikari inunue ndege kutokana na argument ya business opportunity iliyopo. Kitu tunachojua Kenya iliyo invest kwenye viwanja vya ndege kadhaa vyenye hadhi, inayopokea wageni wengi annually kushinda Tanzania na ilipojaribu kusema ifanye investment kwenye ndege imeshia kutafuta madeni makubwa tu.
Leo hii Tanzania ambayo mashirika makubwa kama BA inayofuta hizo route kwa sababu hakuna commercial benefit, KLM ambayo ndege nyingi uishia Kenya kuliko zinazokuja Tanzania direct. Katika mazingira hayo ya kibiashara sisi tunataka serikari ifanye investment ya ndege kubwa kwa kukopa unazipeleka wapi au kuna gap gani ya kushindana kwa ATCL?
Serikari ya Kagame inajulikana kwa kukopa na bunge lake limeshaonyesha huo wasiwasi wao na kwa Kagame wala sio swala linalomsumbua, nadhani kabla auja iga kilakitu tunatakiwa tujiulize kukopa $160+interest hizo ndege zinalipaje hilo deni kwanza na deni lenyewe ni la muda gani.
Mashirika ya ndege yaliyo jaribu tu kufanya strategies za lower prices to lure volume yameishia kufa hao wateja wako wapi wa kuwakopea ndege mpya in the first place, watu awakurupuki nadhani ajira ni tatizo linaloitaji investment zaidi kuliko hili tatizo la kutokuwa na ndege.
Koba na Kobe , Du ni id ya mtu mmoja au?
atcl imeanza tena safari zake za dar mwanza
CCM miaka 41 bado tunakazana na trip za kwenda Chattle kwa Kiongozi wa Malaika, hivi ndege ya Canada ishaachiwa.Bado haijaachiwa, naamini ingeonekana.![]()
![]()
CCM miaka 41 bado tunakazana na trip za kwenda Chattle kwa Kiongozi wa Malaika, hivi ndege ya Canada ishaachiwa.


ndege ziko 8 leo hii ... wapingaji sio wa kupewa nchi