Rwanda Air to acquire EA's first Airbus A330

Rwanda Air to acquire EA's first Airbus A330

Siyo lazima wote tununue ndege. Mbona sisi tumenunua mashingingi ya kutembelea viongozi mengi kuliko nchi yoyote ile ya Kiafrica labda hata kuliko nchi nyingi za hata Ulaya na Asia.
Rwanda hawatuwezi bana!

Thanks for your ionic comment! And I say, Tanzania is the greatest nation in the world!
 
CCN wanaogopa kutumia helicopter kwenye kampeni kama walivyobaki na ndege ....ATC acha Rwanda wakimbie
 
Ukipenda ubwaubwa lazima ununue Michele nyumbani. Sasa mkulu anapenda kukwea pipa lakini wazo la kuiokoa ATCL hakuwa nalo kabisa, hata ni maajabu makubwa. Hivi aliutaka huo ukubwa kwa ajili ya nini hasa?
 
Natumia nguvu nyingi sana kuukubali Utanzania wangu. Naabika mbele za mataifa wengine. Ni aibu sana ukilinganisha tuliyojaaliwa na hali zetu. Tuna kila kitu Tanzania. Ardhi na maji ya kilimo, bahari, madini, aaaghhh. Naamini kuna laana fulani tunayo Tanzania. Haiwezekani hatuna tunachoweza. Si reli, si ndege hata bandari yetu buree kabisa japo tumependelewa sana kijiografia.
Mkuu hapa kwetu ni sawa na kwenda kwa Fundi seremala na ukakaribishwa kukaa kwenye tofali.
Ukweli ni kwamba uongozi wa ccm unafanana kabisa na huyo Fundi seremala,ccm imefikia uzee ule usio weza hata kufikiri jambo ila kusubiri kutolewa nje ili kuota jua tuu.
 
Si wangenunua kabisa A350 au A330neo tujue moja? Anyway, bora tu tupate 'hub'mbadala ya kuunganishia safari --to Dar via Kigali--na nauli zipungua...
 
atcl imeanza tena safari zake za dar mwanza

Tanzania chini ya ma ccm kila kitu ni siasa tu badala ya kuwaachia wataalamu. Ngoja mabadiliko yaje chini ya mwamvuli wa Ukawa na sisi tutakuwa zaidi ya Rwanda.
 
bado tunafanya upembuzi yakinifu kwanza, actually bila huyu lowassa na ukawa tungeisha nunua huto tuboing kama kumi hivi!
 
mkuu hawa jamaa utawaweza, mpango wenyewe bado haujakamilika na ndio kwanza wanaomba mkopo wa kununua hizo ndege in terms of salvage value. Wanatupa destinations wakati manunuzi yatakamilika kuanzia septemba mwakani, kwa hiyo zinaweza kuanza biashara januari, 2017 kama wakifanikiwa kupata mkopo.
nahisi lugha imekusumbua kidogo hapo, mambo ya mkopo yashapitaga hapo jamaa wanasaini kataba wa kununua hizo ndege, na ukae ukijua ndege sio kama bodaboda kwamba unaenda dukani kuchukua tu, unaweka order ndio jamaa wanakutengenezea, fitina na majungu hayasaidii air tanzania kufufuka!
 
"salvage value"-it is the estimated resale value of an asset at the end of its useful life au wewe ulikua unamaanisha salvage value ipi bosi,hahah
 
Watz lazima tuelewe kuwa,shirika la ndege sio muhimu sana kwa maendeleo ya nchi; lakni muhimu kama itakuwa inaiingizia nchi mapato na kuleta wageni kwa kujitangaza.

Hii haimaanishi Tanzania nayo inatakiwa na ndege zake kama atc. Ila tunacholalamika ni ubabaishaji,wizi,kazi kwa mazoea na hakuna ubunifu katika kukuza uchumu wetu. Tumebaki watu wa kuomba omba na starehe na sio kufanya kazi.

Mtz ni bora akae baa na kutumia wanwake maana maisha bora ndio ndio hayo.

Rwanda hatuipi sifa sababu ya ndege zao na ubora wa ndge zao bali kwa jinsi wanavyijikita kwenye maendeleo wakitumia kila resource walizonazo na utaifa kutumikia nchi yao. Hili ndio tunaongelea hapa na sio kwamba tz lazima iwe na ndege.
 
mkuu hawa jamaa utawaweza, mpango wenyewe bado haujakamilika na ndio kwanza wanaomba mkopo wa kununua hizo ndege in terms of salvage value. Wanatupa destinations wakati manunuzi yatakamilika kuanzia septemba mwakani, kwa hiyo zinaweza kuanza biashara januari, 2017 kama wakifanikiwa kupata mkopo.

Mkuu hivi pale unapoomba mkopo ili ununue gari au kujenga nyumba is that not exciting news kwa mkeo au mmeo? Hata kabla haujatoka na hata hujaagiza gari Japan?? The fact that they have managed to close the deal,which will materialize next year great achievement! Kwa kweli huyu rais, pamoja na mapungufu yake, ameipaisha sana nchi yake, just like Kenya. Sisi tumebaki na tunachokiweza zaidi, longo longo na maneno miiingiii.
 
mkuu hawa jamaa utawaweza, mpango wenyewe bado haujakamilika na ndio kwanza wanaomba mkopo wa kununua hizo ndege in terms of salvage value. Wanatupa destinations wakati manunuzi yatakamilika kuanzia septemba mwakani, kwa hiyo zinaweza kuanza biashara januari, 2017 kama wakifanikiwa kupata mkopo.

mkuu unajua maana ya salvage value???yan yale mashangingi yana mda maalumu wa kutumika,ule ukipita ukauza pale ndo salvage value........rudia notes zako za economics 🙂
 
nahisi lugha imekusumbua kidogo hapo, mambo ya mkopo yashapitaga hapo jamaa wanasaini kataba wa kununua hizo ndege, na ukae ukijua ndege sio kama bodaboda kwamba unaenda dukani kuchukua tu, unaweka order ndio jamaa wanakutengenezea, fitina na majungu hayasaidii air tanzania kufufuka!

hata haujakosea! huyu jamaa ana tabia ya kuruka haja ndogo na kukanyaga haja kubwa... anayoyasema ndio haya yaliyofanyika mwezi wa 5! RwandAir Expands Fleet, Acquires $160m Two Airbuses - KT PRESS tukayaleta hapa lakini hakupata uwezo wa kuponda akazuga, sasa tunamletea vitu kamili anona wacha aanze kupalamia kwa mbele huku akitaka kuharibu... anyway natumaini 2020 itapofika hawa wafuasi wa jMali watakuwa bado hai ili washuhudie utekelezaji wa ahadi za serikali ya Rwanda chini ya Raisi Kagame
 
kuzuga ndio nini.!!! Nilijua tu lazima uje hapa.!! Kama kweli zitafika, tunasubiri zifike tutazipanda. Hii sio mala ya kwanza kuleta habari za ajabu ajabu humu na huwa zinaishia hewani.
duh! we bwana, habari za ajabu kama zipi? any Ref? peace and love man!!! Cc: jMali
 
Watanzania bwana hakuna hata mtu anaeshauri kwanini serikari inunue ndege kutokana na argument ya business opportunity iliyopo. Kitu tunachojua Kenya iliyo invest kwenye viwanja vya ndege kadhaa vyenye hadhi, inayopokea wageni wengi annually kushinda Tanzania na ilipojaribu kusema ifanye investment kwenye ndege imeshia kutafuta madeni makubwa tu.

Leo hii Tanzania ambayo mashirika makubwa kama BA inayofuta hizo route kwa sababu hakuna commercial benefit, KLM ambayo ndege nyingi uishia Kenya kuliko zinazokuja Tanzania direct. Katika mazingira hayo ya kibiashara sisi tunataka serikari ifanye investment ya ndege kubwa kwa kukopa unazipeleka wapi au kuna gap gani ya kushindana kwa ATCL?

Serikari ya Kagame inajulikana kwa kukopa na bunge lake limeshaonyesha huo wasiwasi wao na kwa Kagame wala sio swala linalomsumbua, nadhani kabla auja iga kilakitu tunatakiwa tujiulize kukopa $160+interest hizo ndege zinalipaje hilo deni kwanza na deni lenyewe ni la muda gani.

Mashirika ya ndege yaliyo jaribu tu kufanya strategies za lower prices to lure volume yameishia kufa hao wateja wako wapi wa kuwakopea ndege mpya in the first place, watu awakurupuki nadhani ajira ni tatizo linaloitaji investment zaidi kuliko hili tatizo la kutokuwa na ndege.
 
Si mpande fast jet.kwani ni lazima kuwa na national airline?
 
Ndio akili yako ya kilofa ilipoishia,acha wanaotaka maendeleo wafanye kazi
 
Ndio akili yako ya kilofa ilipoishia,acha wanaotaka maendeleo wafanye kazi
Tatizo lako jinga wewe ni vuvuzela tu hivi kuna route ambayo 'Rwanda airs' is aspiring to embark on kutokana na maelezo ya kwenye hiko ki nakala kako uchwara kenya airways aijfanya na bado kushindwa.

Unlike Rwanda in Kenya companies do release their financial statement; ndio maana hata huyo 'Uhuru Kenyatta' aliekuwa kiherehere wa kwenda kupiga picha na ndege mpya baada ya kujua matatizo yenyewe amekuwa mgumu tukumia public purse to save the so called pride company of Kenya.

Time will tell on the success of this airline ambazo faida zake so far ni mystery to the world. Hata JK alipokuwa US Boeing walimwalika sasa sidhani ni kwa sababu ya kutalii tu; unlike our neighbours we are being more responsible this days.
 
Back
Top Bottom