Rwakatare alazwa Bugando baada ya kuzidiwa Igunga

Huyo Wilson Mtshumbusi si Katibu wa Chadema Mkoa kweli?
TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.

Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

huyu Lwakatare ni mgonjwa ana sugar, alipokuwa cuf afya yake ilikuwa nzuri na pesa mfukoni alikuwa nayo, usafiri ni kwa ndege bukoba to Dar, Dar to bukoba, Lakini sasa tuna kamata naye bomba kwenye basi, pesa mpaka apate ki trip cha kampeni, Masikini Lwakatare hakuyajua haya, kutoka Mheshimiwa mpaka Mlinzi?

Atapona tu, ni sababu ya baridi kali naona hawalali usiku, Mungu atamponya aendelee na ulinzi

Back
Top Bottom