Fred Katulanda
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 394
- 627
TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.
Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.
Polezake ila CCM ndio wana-confirm ugonjwa wa member wa CDM? au sijaelewa Mpwa? uko inapokuja suala la ugonjwa siasa tunaweka kando, poleni sana
hili hapaRwakatare yupi yule muhubiri na mwanachama wa magamba?
kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare
Masikini Rwakatare - RIP kamanda wetu
Masikini Rwakatare - RIP kamanda wetu
Mpeni pole mpambanaji wetu Mungu ampe nafuu arudi tena ulingoni!!!!!!!!!!!!TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.
Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.
Mbe mbe mbe!
Kwani ashaaaga?
Ugua pole