Mamba mkubwa sana ameuwawa juzi mto Ruvuma baada ya kumkamata mtoto na kummeza mtoto wa miaka 8, jitihada zilifanywa kumsaka mamba huyo na kumuua kisha mwili wa mtoto kutolewa tumboni mwa mamba.
Mamba mkubwa sana ameuwawa juzi mto Ruvuma baada ya kumkamata mtoto na kummeza mtoto wa miaka 8, jitihada zilifanywa kumsaka mamba huyo na kumuua kisha mwili wa mtoto kutolewa tumboni mwa mamba.
watakuwa wamekosa busara sana. hiyo maiti ni ya muhimu kwa ajili ya uthibitisho wa kifo na mazishi ya mtoto. pia inaleta faraja kwa wafiwaWakija watu wa maliasili itakuwa kesi kubwa sana, RIP mtoto
Wawalipe na fidia wananchi waliopata msibawatakuwa wamekosa busara sana. hiyo maiti ni ya muhimu kwa ajili ya uthibitisho wa kifo na mazishi ya mtoto. pia inaleta faraja kwa wafiwa
Huyu naona atakuwa mamba wa kufugwa na mtu! Yaani mamba wa mtu!Mamba anammenza mtu mzima mzima, hali kama simba, Simba nae hatafuni ila ananyofoa minofu na kuimeza, na hali mfupa.
Huyu naona atakuwa mamba wa kufugwa na mtu! Yaani mamba wa mtu R.I.P Mtoto!
yeye ndiye anaye wafugaa !?Mbunge yupo Mjengoni Anagonga meza..
Poleni wafiwa..
yeye ndiye anaye wafugaa !?