Ruvuma: Wananchi wamuua mamba na kutoa mwili wa mtoto aliyemla

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mamba mkubwa sana ameuwawa juzi mto Ruvuma baada ya kumkamata mtoto na kummeza mtoto wa miaka 8, jitihada zilifanywa kumsaka mamba huyo na kumuua kisha mwili wa mtoto kutolewa tumboni mwa mamba.
13332874_636147703200607_7538091442340026274_n.jpg
13344774_636147723200605_3528783978888088149_n.jpg
 
Mamba anammenza mtu mzima mzima, hali kama simba, Simba nae hatafuni ila ananyofoa minofu na kuimeza, na hali mfupa.
 
Hatarii sana, ila tumepewa nguvu ya kutawala viumbe vyote vya majini na nchi kavu, ila siku hizi binadam ni hatari kuliko viumbe vingine vyote Mungu atunusuru na uovu wa binadam wenzetu
 
Back
Top Bottom