lukala
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 580
- 568
Elimu ni haki ya msingi lkn kumbuka watoto wa kike wanachangamoto nyingi . Jiulize wew leo unamtoto wa kike anasoma na kwa bahatj mbaya wakambaka je upo tayar afukuzwe shule? Acha uzuzu kwanza huyu mtoto alipenda kubakwaHilo swali lina uhusiano gani na kauli ya rais kuhusu mabinti wanaopata mimba wakiwa shuleni?