Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,342
- 5,536
Katibu wa uvccm mkoani Ruvuma, Ndugu Robert (40) amepandishwa kizimbani kwa mashtaka ya unyang'anyi na uporaji wa pikipiki (bodaboda). Amekana mashtaka na ameachiwa kwa dhamana hadi tr 14 mwezi wa nane atakapo rudi mahakamani
source: Habari na matukio, RFA
source: Habari na matukio, RFA