kistwangara
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 656
- 94
Duuh naifahamu hii familia personally huyu ni ndugu kabisa na Lowassa. Mke wa marehemu mbunge Jeremiah (Baba wa Sioi) na huyu mama ni sisters. Sioi ni mme wa Pamela Lowassa. Jamani hata kama ni siasa msi-zushe vitu vya aina hii. It is pathetic.
Nakubali 'wazoefu' kama Slaa na lipumba na Mtei..kuijenga Chadema.Ndugu yangu mimi siwezi na wala siwajui wanachama wa chama chochote cha siasa, lakini nina ahakika kuna wanachama ambao hawajitangazi kabisa. Na pia akuna wengie hata si wnanchama lakini ni waumini au wapenzi wa vyama hivyo na ninaamininkatika mfumo wa uongozi wote wanaweza kutumiwa na chama husika. Pia katika umri wangu nilio nao na nimeshuhufia vyama vingi vilipoanzishwa tena (na hata kabla ya mgumo wa vhama kimoja kuanzishwa)ninachowezamkusema tu ni kuwa CHADEMA na CUF vimedumu na kukua kwa sababu yakuwatumia wazoegu waliotoka katika chama tawalana serikali yake. Kumbuka kuwa pamoja na mfumo tulionaosasa hivi effectively bado tupo ndani ya mfumo wa chama kimoja! Mpaka utakapobomoka then automatically tutakomaa kidemokrasia maana kutakuwa na 'ruhusa'
Mkuu mbona sioni majibu ya hoja? Moleli alianza harakati lini? Yani ana nyimwa Rose Mayemba au Wolper anapewa Molel wa naniliuuu? Lini amekitumikia chama kamanda?
Huyu mama ni hatari, nakumbuka alipokuwa tu Katibu Mkuu , wizara ya Sayansi, kila siku wanavyuo walikuwa wanagoma na alikuwa na nyodo ile mbaya, kumbe alikuwa ana kiburi ya mtu mnene.Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Wabunge wa viti maalumu CCM WANAPATIKANA KWA KUPIGIWA KURA HUKO MAJIMBONI,BAADAE MAJINA YAYOSHINNDA NDO WANAKAA WASUBIRI SASA UWINGI WA WABUNGE WA CCM,ILA CHADEMA MBOWE NDO ANAECHAGUA ANAOWATAKA YEYENimeamini kweli bado umelala . Hiyo demokrasia ya kweli ccm iko wapi . Unaweza kuthibitisha msemo wako
Tehe tehe tehe, umenikumbusha mbali sana, huyo jamaa ana mambo mengi sana, umbea yumo, kutaka kulisha watu sumu yumo, ajali za ajabu ajabu yumo.Kuna mtu mbea kuliko wewe na tamthilia zako za CDF
Ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
Akiwa ndani wapi?
Hivi huyu Mollel ana nini kipya cha kuwashinda vijana bungeni? Huyu mtu alisha staafu utumishi wa Umma lakini bado mna mpa ulaji na kuwaacha vijana wenye nguvu mlio nao...!To be fair mkuu huwezi kumlinganisha huyu mama,na Wolper. She is very smart and educated. Anajua kujenga hoja na sio mtu waku kubali kuyumbishwa. I suspect ndio maana mambo ya "ndiyo" in everything yalimshinda. I personally think sio mtu ambaye angeweza kufanya kazi na Kikwete (no offense .
Kweli kabisa kinacho nishangaza kingine ni chadema kuwaaminisha watu kuwa ni chama kinacho jikita kuwapa fursa vijana na kuwakuza na kuwafunza lakini cha kushangaza wanafanya tofauti na wanayo yafanya....Nakubali 'wazoefu' kama Slaa na lipumba na Mtei..kuijenga Chadema.
lakini kumbuka mfumo uliokuwa ukiijenga Chadema kiasi cha leo hii kuwa kimbilio la 'wazoefu maslahi.
Hebu fikiria ujenzi wa Chadema kupitia Mnyika,lema,Nassari,Mtoi,Mwita,Kigaila,Mawazo,kilewo,vicent,na wengineo.
Kwa kiasi kikubwa chama kimekuzwa na upya chini ya uzowefu wa Slaa.
Tukiliongelea Taifa kwa muktadha wa mabadiliko huwezi kukubali kuwekeza zaidi kwenye uzoefu wakati wanaoingia kwenye mfumo kwa sasa ni ujana au upya.
Hebu nitajie mzoefu wa Chadema aliyekuwa anasaidia bungeni in the past 5 years.
Tukiassume ataisaidia Chadema bungeni...hebu nieleze utaratibu uliomuingiza kwenye nafasi hiyo isije ikawa kampiga kikumbo mtu aliyewekeza na kupambana kwa muda mrefu kitu ambacho sio kinachotegemewa ndani ya chadema.
Aliwahi kusemwa Rose kamili humu kwa nini hayo hayarekibishiki?
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Hivi huyu Mollel ana nini kipya cha kuwashinda vijana bungeni? Huyu mtu alisha staafu utumishi wa Umma lakini bado mna mpa ulaji na kuwaacha vijana wenye nguvu mlio nao...!
Huyo.Mollel ni rariki wa karibu wa Mama Lowasa..hawa ndio walikuwa wanataka mabadiliko et wamekulaaa wew huko CCM wamesaza .. wanaaanza kukurupuka CCM haifai , bora tuseme sis tulio nje sio hawa makuadi wa ED . sipati picha kama ED angekuwa raisi Kuanzia karamai , msabaha, chenge , rostam wangerudi huko jikoni vtungekomaje
Acha mambo ya kijinga. Mara mgonjwa mara.....