Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Uelewe Ruth ni Mmasai. Kwa nini asitake kwenda kwa Wamasai wenzake.

CCM ina wenyewe...! Nyie hamko kwenye "wenyewe"? Maana siku hizi wabunge wa CCM wanarithisha watoto wao ubunge, kule BOT na kwenye mifuko ya jamii wamejaa. Je ninyi vipi? Toroka mje.
 
juliana shonza mbona kpata ubunge huulizi aliwekeza nin ccm?

Juliana utaratibu upo wazi hakubebwa na mtu. Aligombea akachaguliwa na wanachama akapata kura nyingi na ndio aliyeongoza kwa idadi ya kura mkoani mwake ndio akapata huu ubunge baada ya idadi ya viti kurudi toka NEC.

Hivi unaweza sema chadema wamewapataje wabunge wake viti maalum?
 
Huu umbea si utakumaliza kwa style hizi?

 
KWANI AKIWA BI MDOGO WAKE KUNA SHIDA GANI? au ALIKUTOSA NDIO MAANA UNAMFUATILIA SANA?
 

Kwani mtu akiwa Serikalin ni dhambi kuhamia CHADEMA ?
Mbona Bulaya alikuwa CCM na kaja CHADEMA na kumng'oa Babu yenu Wasira ?
Maswali yako kimsingi hayana Mashiko.
Kwani kuwa mtumishi wa Serikali hauwezi kuwa Mwanachama wa chama cha Siasa ?
Mbona huulizi Msemaji wa Jeshi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya (Muenezi qa CCM) na baadae kurudi tena jeshin
Mkuu una Nongwa sana,kama Mke mdogo Bwana
 
Pole sana Meningitis yule shosti ulie mtarajia hakukidhi vigezo so kuwa mpole tu.
 
hii itaifanya cdm kushibdwa kufanya vizuri kwenye majimbo nane yaliyobaki ukitoa arusha , ele munkari ya ukawa inapungua kwa hii figisufigisu

Ujinga huu kamuulize WASIRA atakupa majibu
 
Huo ujinga maswali? Unaleta matabaka ya kijinga sana, eti chadema asilia, hoja haijaungwa mkono uko peke yako.
 
Kwahiyo Polepole ndio amekujaza ujinga?
 
Wanachadema anzeni kuitumikia chadema kwenye kazi maalum
 
Wanasema ni mpenzi wake lowassa wa siku nyingi tu mzee ameagiza kwenye nafasi zake nae apewe ubunge.kuhusu kuingia chadema hajuwi hata ofisi za Chadema ziko wapi hata katibu mkuu wa chadema inawezekana hamjui.lakini ndo hivyo mwenye Chama keshasema mpenzi wake apewe. Chadema kinaharibika hivi hivi tunaona.
 
Munkari unapungua kwenye majimbo nane isipokua arusha wao ndio wana Munkari sio mtoa uzi ni mshamba wa enzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…