meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Hebu tulia uje na majibu ya maswali niliyouliza katika post yangu.Wewe ni nani katika chama?? unataka kila mmoja apate ubunge wa Viti maalum?? mbona hujashtuka Juliana Shonza kupewa ubunge?? kuhama ni kuhama tu siasa ni kazi by the way Mbowe alisema wanagawana majukumu na sio kugawana ulaji.
Si walichaguliwa huko kwao?
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Unaweza kuithibitisha mahakama hiki ulichokiandika hapo?Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Huyu demu Lizaboni ni shida.Huu umbea si utakumaliza kwa style hizi?
Sijasikia ni lini walichaguliwa ndio maana sielewi...
Pole sana. Hoja yako ilishajibiwa na Humphrey Polepole. Mambo ya uadilifu hayana ushahidi mahakamaniUnaweza kuithibitisha mahakama hiki ulichokiandika hapo?
Huu umbea si utakumaliza kwa style hizi?
Sasa Ben, umbea upo wapi hapo? Kuna wengi walikuwa hawajui hili. Nimewatonya tuHuu umbea si utakumaliza kwa style hizi?
Wasalaam !
Kweli sasa nimeanza kuzeeka na kupitwa na matukio ya kisiasa na kijamii.
Nina swali la msingi kwa wadau makini hasa wana chadema asilia.
HIVI HUYU Ruth H Mollel ambaye kama sikosei(nitaomba kusahihishwa) alikuwa ni mtu mnene na msomi kwenye serikali kwa miongo kadhaa alihamia lini chadema?
Kwenye list ya wabunge wa viti maalum wa chadema nimeliona jina lake nikashtuka kidogo kwa maana ya kushangazwa.
Hivi mama huyu alianza harakati ndani ya chadema lini kiasi cha kuukwaa ubunge wa viti maalum?
Hivi Chadema ilikuwa inahubiri mabadiliko ya namna gani hasa kama kikundi chote cha waliokuwa madarakani wamehamia huko?
Kama ni yeye kweli ...kupata ubunge viti maalum kupitia chadema huku ukiwaacha vijana waliojaribu kuwekeza katika chadema kwa kukimbia mfumo wa kiccm inatoa picha gani?
Hebu wasemaji wa chadema asilia njooni mjadili hoja hii.
SAMAHANI:Kama huyu Ruth H Mollel sio yule aliyekuwa ofisi ya makamu wa Rais mazingira na CV zake lukuki.
OMBI:Mada ijikite katika mchakato wa kumpatia ubunge Ruth Mollel!
Kwa wale ambao ni kizazi cha bodi ya mikopo kaeni kando
Cc:
Pasco
Crashwise
Molemo
Mungi
Nachukia mijitu inayojiingiza kwa mambo yasiyowahusu. Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini? Nitashangaa sana hata siku moja unaweza omba uwanachama.