Waziri muhaya na katibu Mkuu mhaya kisha mtuhumiwa ni muhaya unategemea nini?
Mkuu minyoo.
Jikite ktk kujadili mapungufu ya mhusika/wahusika badala ya kutuhumu kabila la wahusika!
Waziri muhaya na katibu Mkuu mhaya kisha mtuhumiwa ni muhaya unategemea nini?
Hivi inakuwaje huyo mtu anakaa kwenye wizara ya aldhi miaka 17?. Hakuna wengine competent?. Tena wizara hiyo inanuka kwa rushwa za kutoa hati fake za viwanja. Hapo kuna utata. Usalama wachunguze.
BAK, hii yote inaonesha jinsi utendaji serikalini ulivyokuwa at its lowest level ever. Waziri analalamika Katibu mkuu wa wizara anafanya mambo shaghalabagala hachukui hatua ili Katibu mkuu awajibishwe, Katibu mkuu wa wizara hiyohiyo kwa miaka 17 anasema kuna rushwa sana wizarani kwake na bado anaendelea na ukatibu mkuu bila kuchukua hatua yoyote. Sanasana anasema ameenda mahakamani bila kutaja alikuwa anamtetea nanai kwenye kesi iliyofunguliwa na nani. Wizara hii (ardhi) iko ICU sio utani.
hongera mkuu naona wewe unajua zaidi ya documents ... navyojua kisheria kazi zote huenda kwa documents ndio maana hata EPA ilikula wasiohusika kwa sababu ya kutumiwa....wahusika wakuu wanakula bata tu!
NDIO KANG'OOKA HIVYO viwanja akisikia ni cha Mugishagwe anavimba kumbe cha kwake , kuna siku Ukabila utaisha maana tulisema Watutsi wapo kila kona Serikalini hata Ikulu sasa wanasafishwa wala sio kwamba kastaafu kwa hiari. Maana juzi tu kavimba na kufura
Mkuu minyoo.
Jikite ktk kujadili mapungufu ya mhusika/wahusika badala ya kutuhumu kabila la wahusika!
Mimi mwenyewe nawashangaa.Patrick mnajua anapokaa Nyie ata gari analoendesha .Mnataka Rais Ponda na mtampataOngeleeni wote lakini siyo Ruta. Huyu bwana ni mzalendo sana. Alipokuwa KM wa Nishati na Madini alipambana na ufisadi mwingi ukiwepo EPA lakini nguvu za juu zilimwelemea. Waulizeni watumishi wa Ardhi wawasimulie jinsi alivyowadhibiti wezi na wala rushwa.
Mkuu Ngambo Ngali halafu cha kushangaza vingunge wao DHAIFU na P Pinda wako kimya dhidi ya sinema hii kama vile hawahusiki!!!! Halafu wanajiita Serikali sikivu!!!