butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,769
- 8,260
Nchi hii inasonga kwa mizuka chini ya uongozi wa vibaka watanashati.Tofauti ya hawa vibaka na wale wa Tandale na Manzese ni uvaaji wa suti tu.Anaposema kwamba anamtetea kwa sababu anaonewa kwani kuna wananchi wangapi wadhurumiwa Ardhi na hao mnaowaita wawekezaji kupitia serikali za vijiji?,ni wananchi wangapi wanalipwa fidia ndogo ukilinganisha na mali zao chini ya wizara iyoiyo anayoiongoza?.ZIDUMU FIKRA ZA NDUGU KATIBU MKUU RUTABANZIBWA,KWANI NI FIKRA SAHIHI??????