Russia's Aircraft Carrier Set for a Massive Upgrade: The Lethal MiG-29K

Russian aircraft carrier ni tofauti na aircraft carrier zote...Russian AC ina uwezo wa kujilinda yenyewe kuanzia angani na ndani ya maji..ina uwezo tofauti wa makombora ya kujilinda angani na ata majini ndo maana hua haiitaji ulinzi 'escort wa meli zingine km Frigate, destroyer and submarine..US destroyer na za nchi nyingine hazina uwezo wa kujilinda ndo maana zinaitaji convoy ya escort...So Russian AC ni sawa na aircraft kibao za US....Pia RUSSIA haoni sabab ya kua na meengi maana sio taifa aggressive km US na jua kwamba hizi AC ni sitting duck kwa mataifa km IRAN,CHINA,RUSSIA someni report ya CIA yatazamishwa dakika tu na kupelekea hasara kubwa..Katika migogoro US hawez peleka hizi kwa nchi tajwa
mkuu naona unachanganya mambo yaan unamaanisha mtu unaweza kuwa na aircraft moja kwakuwa ina uwezo wa kujilinda!!kwan kazi ya aircraft cariier ni ni nn? kama unahitaji kuwepo Mediterranean sea,Pacific na Indian ocean kwa wakati mmoja hio carrier moja itakusaidiaje sasa? mara nyingi russia imekuwa inashindwa kupatrol maeneo ya mbali na urusi kwasababu ya matatizo ya kiuchumi tu yanayowazuia kufanya hivyo....kama utakua unafuatilia haya mambo utakua unajua bajet ua ulinzi ya marekan ina ukubwa kiac gan wa kuiwezesha kuwa na assets zote walizonazo pamoja na kufanya hzo patrol zote wanazofanya..angalia china ilikua na carrie moja na sasa wanatengeneza ya pili,walikua hawana oversea base na sasa wameanza kutengeneza pale djibout karibu kabisa na base ya marekani hii inaonyesha kuwa nchi kubwa zote znapenda haya mambo kwakuwa yanawapa uwezo mkubwa wa kulinda interest zao pamoja na kuwa na uwelewa mkubwa wa nchi zingine...mkuu russia ingependa kufanya mengi ambayo marekan anayafanya lakin issue kubwa kwa russia ni kwamba haijawah kufanikiwa sana kiuchumi kama marekan ndo mana anashindwa kujitanua sana kama mwenzie anavyofanya hivyo kuishia kusema kwamba mwenzake ni aggresive
 
obama aliwaambia warusi hivyo putin akalalamika kinoma ila huo ndo ukweli kwan USSR ndo ilikua global power na si russia hii ya sasa

Nadhani unafuatilia masuala ya Russia na USA...PUTIN alilalamika kwa vitendo, akaingia SYRIA kuonyesha kuwa USA siyo kila kitu na sasa amejiingiza kwenye MGOGORO wa Armenia na Azerbaijan...USA haizungumzii tena kuwa RUSSIA is just a regional power.
 
linapokuja swala la global power unaangalia nguvu na ushawishi mtu kwe global affairs,sasa hapo ndo utaangalia USA anahusika vipi zinapotokea changamoto za kidunia kwe maswala ya kiusalama,kijamii,kiuchumi na kisiasa, na kama ni mfuatiliji mzuri wa mambo ungegundua kwamba putin russia imekuwa engaged kwe syria crisis kwa kuwa russia na syria ni allies,ndo mana hukuiona russia libya,yemen,afghanstan ama iraq..lakin utaiona russia ukraine,georgia,arzeibjan na vitu kama hivyo
 
mkuu naona unachanganya mambo yaan unamaanisha mtu unaweza kuwa na aircraft moja kwakuwa ina uwezo wa kujilinda!!kwan kazi ya aircraft cariier ni ni nn? kama unahitaji kuwepo Mediterranean sea,Pacific na Indian ocean kwa wakati mmoja hio carrier moja itakusaidiaje sasa? mara nyingi russia imekuwa inashindwa kupatrol maeneo ya mbali na urusi kwasababu ya matatizo ya kiuchumi tu yanayowazuia kufanya hivyo....kama utakua unafuatilia haya mambo utakua unajua bajet ua ulinzi ya marekan ina ukubwa kiac gan wa kuiwezesha kuwa na assets zote walizonazo pamoja na kufanya hzo patrol zote wanazofanya..angalia china ilikua na carrie moja na sasa wanatengeneza ya pili,walikua hawana oversea base na sasa wameanza kutengeneza pale djibout karibu kabisa na base ya marekani hii inaonyesha kuwa nchi kubwa zote znapenda haya mambo kwakuwa yanawapa uwezo mkubwa wa kulinda interest zao pamoja na kuwa na uwelewa mkubwa wa nchi zingine...mkuu russia ingependa kufanya mengi ambayo marekan anayafanya lakin issue kubwa kwa russia ni kwamba haijawah kufanikiwa sana kiuchumi kama marekan ndo mana anashindwa kujitanua sana kama mwenzie anavyofanya hivyo kuishia kusema kwamba mwenzake ni aggresive
sasa iyo aircraft carrier kazi yake ni kulind au kubeba ndege.urusi kawek kambi za jesh kweny mipak yake yote ili kuzuiya maadui.na pia kuhusu ulinzi wa bahari kuna frigate,destroyed na patrol boat uwa zinafany patrol kweny bahari na uwa zina ndeg ndogo aina ya UAV kazi yake ni kuangalia kila sehem ya bahari kam kun kitu kinaonekan ambacho sio cha russia
 
mkuu carrier ni kama millitary base inayotembea,so km unataka kupatrol indian ocean unaweza kupeleka carrier ambayo ipo full equiped una jets zako helicopter una radars n.k kwahiyo kama una carrier moja labda kama unabaki hapohapo nyumban kwako hauna mpango wa kuwa access ya maeneo meng kwa wakat mmoja.....ndio maana marekan anaweza piga patrol nyng around russian territory kuliko russia anavyoweza fanya kwa marekan kwakuwa ili russia kufanya hvyo mara nying anahitaj kutumia long range bombers lakin kwakuwa marekan anakua na carriers pale karibu anatumia tu ndege za kawaida kwa kuwa ana distance ndogo kwenda
 
S
Mkuu hizi eakraft keria za kimarekani kama ingekuwa rahisi kuzipiga kwa makombora si zingeshapigwa kwa ma SKADI ya Sadam!!! au yalikuwa hayafiki kwenye meli???
Scud is surface to surface missile..so haliko disgned to ....Kila kombora linakazi yake mfano unaposikia Anti air craft missile mf S-300, Arrow,iron dome, Aigies na Sayad 2 haya ni surface to air missile kwa ajili ya kutungua threat za angani...Scud sio anti ship missile so take that kila kombola na kazi yake
 
mkuu carrier ni kama millitary base inayotembea,so km unataka kupatrol indian ocean unaweza kupeleka carrier ambayo ipo full equiped una jets zako helicopter una radars n.k kwahiyo kama una carrier moja labda kama unabaki hapohapo nyumban kwako hauna mpango wa kuwa access ya maeneo meng kwa wakat mmoja.....ndio maana marekan anaweza piga patrol nyng around russian territory kuliko russia anavyoweza fanya kwa marekan kwakuwa ili russia kufanya hvyo mara nying anahitaj kutumia long range bombers lakin kwakuwa marekan anakua na carriers pale karibu anatumia tu ndege za kawaida kwa kuwa ana distance ndogo kwenda
nani kakwambia bahari inalindw na ndege,bahari inalindw na frigate,destroyed patrol poat na sub marine

nani kakwambia bahari inalindw na ndege,bahari inalindw na frigate,destroyed,convette,patrol boat na sub marine
 
nani kakwambia bahari inalindw na ndege,bahari inalindw na frigate,destroyed patrol poat na sub marine

mkuu hamna nlipokwambia carrier znalinda bahari,nmejaribu kukueleza umuhimu wa kuwa na carrier zaid ya moja hapo juu bahat mbaya hatujaelewana
 
Back
Top Bottom