xavia abel
Member
- Apr 6, 2016
- 60
- 20
russia is regional power not global powerHivi kumbe Russia ina aircraft carrier moja tu? Halaf inataka kupewa hadhi sawa na marekani ya global power?
Bado wana safari ndefu wakazane sana
Acha wee,kwa hiyo Marekani hana hayo makombora usemayo wewe?Kazi ya aircraft carrier ni kuzisogeza ndege karibu na eneo la vita,kwani ndege za kijeshi zina limit ya umbali zinazoweza kwenda kwa wakati mmoja,
russia haihitaji aircrafit carrier kivile kwani kwa mgogoro wa mbali hahitaji kutumia ndege sana,atatuma makombora,sio ndege.
Advantage ya kombora kwa ndege ni kuwa kombora halihitaji rubani kuliendesha,na pia lina payload kubwa kuliko mabomu yanayoftatuliwa toka katika ndege
Jamaa anaongea as if anafananisha Russia na nchi kama Marcedonia...hahaha yaani ushabiki ni kitu cha ajabu sana,unaondoa kabisa straight thinkingAcha wee,kwa hiyo Marekani hana hayo makombora usemayo wewe?
Ilikia fora kwa comparizon na bomber zipi?juzi tu su-30 ilitia fola,ilitembea umbali wa kilometer 5000
Hivi kumbe Russia ina aircraft carrier moja tu? Halaf inataka kupewa hadhi sawa na marekani ya global power?
Bado wana safari ndefu wakazane sana
juzi tu su-30 ilitia fola,ilitembea umbali wa kilometer 5000
Ayatoe wapi?Acha wee,kwa hiyo Marekani hana hayo makombora usemayo wewe?
Urusi kayatoa wapi,Mbinguni?Ayatoe wapi?
Hiyo S-500 ilitumika wapi?Na ajifundishe kuhusu s-500 anti aircraft and missile complex, itakuwa tunampeleka level ya juu sana kuliko uwezo wake
juzi tu su-30 ilitia fola,ilitembea umbali wa kilometer 5000
ulishaona marekani kafyatua kombora toka america kwenda kupiga let say libya?Acha wee,kwa hiyo Marekani hana hayo makombora usemayo wewe?
watu wanadhani hizo aircraft carrier ndo zinashambulia,wakati ile ni sawa na airbase tu.Aircraft carriers ni 'sitting ducks' kwenye modern warfare