Russia's Aircraft Carrier Set for a Massive Upgrade: The Lethal MiG-29K

Russia's Aircraft Carrier Set for a Massive Upgrade: The Lethal MiG-29K

Na Tanzania?
Maana kila siku mnadiscuss nchi za wenzenu tuuu sisi vipi? Hata kifaru hatujatengeneza
 
Someni kwanza kabla ya kuandika usichojua...Huyo anayedhani kuwa na aircraft carriers nyingi ndo symbol of power ni mjinga.

Comrade, pamoja na ukweli kuwa hujakosea kimantiki kumwita mwenzio 'mjinga' kwa suala hili kwani hafahamu lakini kumbuka neno hili limezoeleka kuwa ni tusi. Hivyo unapaswa kutumia lugha ya kistaarabu kidogo. Afadhali ungetumia neno au maneno 'haelewi anachosema'.

Ni kweli kuwa wapo wengi wasiofahamu kuhusu aircraft carriers. USA ina aircraft carriers nyingi kwa kuwa huwa inataka ku-project image yake ya 'superpower' kwenye baadhi ya nchi. Kwa mfano ikitaka kushambulia nchi ndogo ndogo kama Iraq, Libya, Serbia na kadhalika itasogeza 'aircraft carriers' umbali Fulani ili ndege zake ziruke kutoka humo na kwenda kushambulia nchi hizo. Lakini kwenye 'modern warfare' na hasa kama USA inapambana na Russia au China nadhani aircraft carriers ni 'sitting ducks'. Ni rahisi mno kwa Russia au China kuziangamiza 'aircraft carriers' hizo kwa makombora. Wewe fikiria aircraft carrier kama Nimitz ya USA yenye urefu wa mita 333 na uwezo wa kubeba askari 3,184 na ndege za kivita zipatazo 82 ikipigwa na kombora la Russia au China na kuteketezwa ni hasara kubwa sana.
 
Sorry 1954,nlimaanisha tafsiri sanifu ya ujinga kwamba kutofahamu kuhusu fact flan,sikuwa na maanisha tusi...am sorry kama nimekwaza
 
Russian aircraft carrier ni tofauti na aircraft carrier zote...Russian AC ina uwezo wa kujilinda yenyewe kuanzia angani na ndani ya maji..ina uwezo tofauti wa makombora ya kujilinda angani na ata majini ndo maana hua haiitaji ulinzi 'escort wa meli zingine km Frigate, destroyer and submarine..US destroyer na za nchi nyingine hazina uwezo wa kujilinda ndo maana zinaitaji convoy ya escort...So Russian AC ni sawa na aircraft kibao za US....Pia RUSSIA haoni sabab ya kua na meengi maana sio taifa aggressive km US na jua kwamba hizi AC ni sitting duck kwa mataifa km IRAN,CHINA,RUSSIA someni report ya CIA yatazamishwa dakika tu na kupelekea hasara kubwa..Katika migogoro US hawez peleka hizi kwa nchi tajwa
 
Sorry 1954,nlimaanisha tafsiri sanifu ya ujinga kwamba kutofahamu kuhusu fact flan,sikuwa na maanisha tusi...am sorry kama nimekwaza
Safi sana mkuu! Hiyo ndiyo inayotakiwa....kuwa na lugha nzuri na siyo matusi maana hiyo ndiyo Hekima ya Mungu! Ubarikiwe.
 
Russian aircraft carrier ni tofauti na aircraft carrier zote...Russian AC ina uwezo wa kujilinda yenyewe kuanzia angani na ndani ya maji..ina uwezo tofauti wa makombora ya kujilinda angani na ata majini ndo maana hua haiitaji ulinzi 'escort wa meli zingine km Frigate, destroyer and submarine..US destroyer na za nchi nyingine hazina uwezo wa kujilinda ndo maana zinaitaji convoy ya escort...So Russian AC ni sawa na aircraft kibao za US....Pia RUSSIA haoni sabab ya kua na meengi maana sio taifa aggressive km US na jua kwamba hizi AC ni sitting duck kwa mataifa km IRAN,CHINA,RUSSIA someni report ya CIA yatazamishwa dakika tu na kupelekea hasara kubwa..Katika migogoro US hawez peleka hizi kwa nchi tajwa
Mkuu hizi eakraft keria za kimarekani kama ingekuwa rahisi kuzipiga kwa makombora si zingeshapigwa kwa ma SKADI ya Sadam!!! au yalikuwa hayafiki kwenye meli???
 
Ningewaona mnasema kweli kuwa hakuna sababu ya kuwa na hizo aircraft carrier, lakini kama na mrusi anako kamoja!!! Umuhimu wa haya madude kijeshi ni muhimu sana, kutokuwa nayo mengi inabainisha udhaifu.

Warusi ni wachovu tu, mfano hai ni watanzania wenzetu warudipo kutoka huko kwa masomo, hakuna cha maana kitaaluma zaidi ya kuwa walipa kodi wazuri (walevi)
 
Hivi kumbe Russia ina aircraft carrier moja tu? Halaf inataka kupewa hadhi sawa na marekani ya global power?
Bado wana safari ndefu wakazane sana

Mkuu XAVIA ABEL
Usijidanganye kwa kuamini hivyo, hiyo si kweli, ninazo zifahamu labda na wengine wanazifahamu zaidi ni kama ifuatavyo;

1. Ulyanovsk ( Ulysnovsk class)
2. Minsk (Kiev class)
3. Baku-Gosh (Kiev class)
4. Varyag (Admiral Kuznetsov class)
5. Kiev (Kiev class)
6. Vovonossiysk (Kiev class)
7. Varya (?)

Mkuu na hivi vyote ni vifaa upgraded.

Please Don't under rate its might capability.
 
jaman msifanye mchezo na urusi,makombora yamerushw kutok caspian sea yakavuk iran,yakavuk tena iraq ndo yakaend kupig syria.wew ulion mwak gani USA alifany ivi zaid ya kutum tu mi ndeg
 
Ningewaona mnasema kweli kuwa hakuna sababu ya kuwa na hizo aircraft carrier, lakini kama na mrusi anako kamoja!!! Umuhimu wa haya madude kijeshi ni muhimu sana, kutokuwa nayo mengi inabainisha udhaifu.

Warusi ni wachovu tu, mfano hai ni watanzania wenzetu warudipo kutoka huko kwa masomo, hakuna cha maana kitaaluma zaidi ya kuwa walipa kodi wazuri (walevi)
kawambie Nato na USA kuw warusi ni wachovu tu kw sababu wan aircraftcarrier moja alafu usikie watakujibu nin
 
jaman msifanye mchezo na urusi,makombora yamerushw kutok caspian sea yakavuk iran,yakavuk tena iraq ndo yakaend kupig syria.wew ulion mwak gani USA alifany ivi zaid ya kutum tu mi ndeg
ooh ndo yale ambayo moja lilicrush iran?
 
Back
Top Bottom