Russian “Weaponized Default” Law Threatens Collapse Of Entire Western World

Russian “Weaponized Default” Law Threatens Collapse Of Entire Western World

Sina uhakika na unachosema lakini shale gas technology imebadilika sana in less than 20 yrs na inaendelea kuwa bora na US imefikia kuzalisha surplus sasa sijui kitu gani kitawazuia hawa European wasifanye hivyo maana wana proven reserve kubwa tuu ya shale gas,anway hakuna mtu anajua nini kitatokea kesho kwenye hii energy business maana ni very volatile and in a long run naamini technology will kill fossil fuel business na nchi za waarabu/russia wasipotafuta alternative naona wataumia sana
Shale oil and gas mnaijuwa athari za exctraction process yake?
Ina involve Fracing ambayo ni process ya hatari katika kuharibu mazingira hasa vianzio vya maji. Wanaharakati wa Wamarekani wameipiga vita mpaka wameshinda.
 
Shale oil and gas mnaijuwa athari za exctraction process yake?
Ina involve Fracing ambayo ni process ya hatari katika kuharibu mazingira hasa vianzio vya maji. Wanaharakati wa Wamarekani wameipiga vita mpaka wameshinda.
Acha kuleta uwongo humu,shale ni mbele kwa mbele kwa Baraka zote (legally) hapa states labda huko kwenu ndio wanaharakati wameshinda sio huku
 
Uwongo gani na documentary ipo jamaa mwanafunzi wa chuo kikuu fulani akafungwa miaka mitatu ksa shindikizo za Big Corporates, mbali ya mazingira na gharama zake je zilivyokubwa kubwa. Wewe unadhani kw akuwa upo states ndio unajuwa kila kitu? Wengine hatusemi tuko wapi lakini kama unataka kufunguwa ushindani juu ya Oil and Gas fungua uzi maalum tu, Ila nikuonye Oil and Gas is my field of profession.
 
Matumizi ya dollar kwenye trade ndo inaifanya usa iwe na kiburi
Kuzima kwa petrol dollar kutaufanya uchumi wa marekani uporomoke ndani ya wiki moja tu,nahii ndo sababu ;marekani akisikia nchi fulani inaachana na kutumia dollar wanakwenda vitani nayo
 
umechelewa sana wewe and FYI oil business inaelekea makaburini,soon US atakuwa na mafuta na gas na mafuta kuliko Saudi Arabia kutokana na shale gas technology ndio maana oil imeshuka from 100$ mpaka 28$ in less than 6 month,electric car technology inakuja kwa nguvu kuliko and soon 500 miles per charge utaiona,Germany and most of the European countries wana gas kuliko Russia tatizo sheria zao zimepiga marufuku shale technology ila soon wataruhusu tuu,gas and oil sio deal tena maana technology imebadili kila kitu na sitashangaa mafuta yakidondoka chini ya dola 10
Germany ina ges kuzidi russia,hv hapa duniani kuna nchi inayo izidi russia natural resources
 
Koba shale gas sio kitu cha kutegemea na hiyo technology kwa nchi kama za ulaya zitawagharimu muda si mrefu vile vile nchi vidogo sana na athari itokanayo na uharibifu wa mazingira ni mkubwa sana sidhani kama wataweza kuivumilia.
Kiukweli ulaya hawawezi kuzalisha gas na mafuta kwenye ardhi yao kama wangekuwa na uthubutu huo wangefanya miaka ya sabini wakati opec walipogoma kuzalisha mafuta na kusababisha uhaba mkubwa wa mafuta ghafi duniani na ukweli ulio wazi biashara ya mafuta haiwezi kufutika
Ni kweli biashara ya mafuta haiwezi kufutika,bt ile miaka ya 70 nchi zinazo zalisha mafuta zilirubuniwa na Usa ili kushinikiza nchi zilizo kuwa chini ya usovieti zi collpse kiuchumi
 
Econometrician hiyo ilikuwa katikati ya miaka ya 80 lakini miaka ya sabini first and second oil shock ilisababishwa na oil embargo kutoka nchi za kiarabu wanachama OPEC ambao walikuwa wanajulikana kama OAPEC Pamoja na Egypt na Syria na walikuwa wakipinga msaada ya marekani kwenda Israel, Libya ilikuwa nchi ya kwanza kuzuia delivery ya mafuta kwenda marekani ma nchi zote wanachama wala fuata ilileta tabu sana lakini baadae hali ilitengemaa
Katika hali ya kawaida huwezi kuendesha viwanda bila mafuta kwa sababu kutoka katika mafuta ghafi ndio kunapatikana product zote muhimu katika kuendesha mitambo product hizo ni kama lubricants, HFO diesel, petrol na kadhalika sasa biashara hii ya mafuta wanaingia mikataba ya mabilioni kwa order ya kipindi cha miaka kumi na kuendesha ndio ya kuisha hii.
 
Matumizi ya dollar kwenye trade ndo inaifanya usa iwe na kiburi
Acha utani wewe na US hana haja kufanya kiburi,just think 2 US companies like apple and Google zina utajiri mkubwa kuliko Africa nzima sasa vipi tukianza kuchimba 500 fortune companies? US ni habari nyingine
 
Katika hali ya kawaida huwezi kuendesha viwanda bila mafuta kwa sababu kutoka katika mafuta ghafi ndio kunapatikana product zote muhimu katika kuendesha mitambo product hizo ni kama lubricants, HFO diesel, petrol na kadhalika sasa biashara hii ya mafuta wanaingia mikataba ya mabilioni kwa order ya kipindi cha miaka kumi na kuendesha ndio ya kuisha hii.
Hivyo vyote sio lazima viwe produced from crude oil,umewahi kusikia synthetic oil?
 
Hivyo vyote sio lazima viwe produced from crude oil,umewahi kusikia synthetic oil?
Naifahamu vizuri mbona hata mitaa ni humu engine oil tunatumia hiyo hiyo synthetic oil lakini ni expensive kulinganisha na lubricants zinazopatikana kutoka kwenye crude oil
 
sasa russia yenyewe ndo ambayo ipo hoi kiuchumi halafu inapiga mkwara!! russia ni nchi km ya kumi kwa uchumi mkubwa duniani pia hizo batural gas na mafuta c kwamba marekani hawana ila tu ni kwamba wamebann export ya hzo resources,nafikiri hyo maneno ya russia labda yangetolewa na marekani au europran union labda ndo yangesound......russia inabidi wakubali tu kwamba tangu USSR icollapse hadhi yao na umuhimi wao kidunia umeshuka kwa sasa haufanani na ule wamarekani ingawa chakusikitisha putin bado hakubalian na hayo anaspend pesa nyingi sana kwe millitary industry ashndane na wenzie ingawa uchumi wake haufanan na wa west,pengine hawakujifuna na uporomoka kwa USSR
 
Hivi isipotumika usd katika international trade itumike currency gani tena?,,,,,,maana dhahabu yenyewe haitoshi kutumika kama currency.
 
Babu yenu Mugabe baada ya kuingusha Zimbabwe Dollar akaanza kutumia USD sasa amerukia Renmimbi (Yuan)
BRICS bank imeshaanza kufanya kazi.
 
Uwongo gani na documentary ipo jamaa mwanafunzi wa chuo kikuu fulani akafungwa miaka mitatu ksa shindikizo za Big Corporates, mbali ya mazingira na gharama zake je zilivyokubwa kubwa. Wewe unadhani kw akuwa upo states ndio unajuwa kila kitu? Wengine hatusemi tuko wapi lakini kama unataka kufunguwa ushindani juu ya Oil and Gas fungua uzi maalum tu, Ila nikuonye Oil and Gas is my field of profession.
Gharama kubwa according to who? wewe or Putin..acha michezo wewe business sio politics zenu za kinazi na wakomunisti wenzako ambao wako hoi sasa na corporate America haiwekezi sehemu yenye hasara na ukiona wallstreet wanamwaga $$ ujue kuna faida
 
Gharama kubwa according to who? wewe or Putin..acha michezo wewe business sio politics zenu za kinazi na wakomunisti wenzako ambao wako hoi sasa na corporate America haiwekezi sehemu yenye hasara na ukiona wallstreet wanamwaga $$ ujue kuna faida
Yes kwa loans from China
46m Americans are homeless and live below poverty line
 
Hio ndio inayowangoja[emoji116]
445625bb44932b2564f363a2f5f63b0d.jpg

Russia warns USA to stay away out of Syria
The five-year Syrian civil war, faces its most critical moment. Saturday, Feb. 6, a combined force of Syrian army and Hizballah troops and an Iraqi Shiite militia under Iranian officers, were led by Russian air and Spetsnaz (special forces) officers into pressing forward to encircle 35,000 rebels trapped in Aleppo, the country’s largest city. As they tightened the siege, 400,000 Syrian civilians were also trapped and forced to bear heavy Russian air bombardment and savage artillery fire from the ground forces closing in on the city.
Rebel supply routes were cut off Thursday and Friday when Syrian and Hizballah forces captured the Azaz Corridor connecting Aleppo and all of the northern province of Idlib to the Turkish border.

Tens of thousands of refugees fleeing from the beleaguered town are massing at Bab al-Salama, the last Turkish border crossing to be closed against them. This is the largest Syrian refugee exodus since the start of the civil war.
The rebels under siege are painfully short of weaponry for fighting off the massive, combined offensive,DEBKAfile’s military sources report. Their only remaining recourse is to surrender or be ground into submission as the conquering force knocks over their positions and takes over street after street.
Once the combined forces fighting with Bashar Assad’s army take Aleppo and northern Syria, the opposition will have suffered its heaviest defeat since the war began. The rebels groups’ capacity to continue fighting the regime will be gravely diminished.

Their desperate plight - and the fresh surge of Syrian refugees in unmanageable numbers – cut short the conference in Geneva for a settlement of the Syrian conflict, before it got underway – and prompted reactions from sponsors of rebel groups.
In Riyadh, Brig, Gen. Ahmed Asiri, adviser to Saudi Defense Minister Muhammed Bin Salman, announced Friday that Saudi Arabia is ready “to participate in any ground operations that the international coalition launches against ISIS.” This offer was taken as a veiled response to the SOS from the rebel stronghold in Aleppo.

In Washington, State Department circles, in a briefing to US media, said the time had come to establish a no-fly security zone in northern Syria. They said: “Once a zone were established we do not believe Russia would challenge the stronger US and NATO forces, particularly if they were operating mainly from Turkey.”

The next day, Friday, Moscow came back with a sharp response: Russian Deputy Defense Minister Anatoly Antonov said: “Russian air defense systems enable early detection of threats to Russian aircraft flying combat missions over Syria and provide adequate measures to ensure flight safety.”
This was a reminder of the sophisticated air defense S-400 and S-300 missile systems Russia installed at its Syrian air base after the Turkish air force downed a Russian warplane in November.

Syrian Foreign Minister Walid al-Moallem put it more crudely: “Any foreign troops entering Syria would return home in wooden coffins.”
He advised armed opposition groups fighting the government offensive in the area to lay down their weapons because, he said, “government advances signal that the five-year-old Syria war is nearing its end.”

Saturday, US Secretary of State John Kerry urged Russia to implement a ceasefire in Syria, saying its bombing campaign was killing women and children in large numbers and "has to stop." He told reporters on his return from a trip to Europe: "Russia has indicated to me very directly they are prepared to do a ceasefire,” adding "The Iranians confirmed in London just a day and a half ago they will support a ceasefire now."
DEBKAfile’s military sources have seen no sign of any ceasefire or even a slowdown in the Russian-led Syrian-Iranian Aleppo offensive.

Source: DEBKAfiles
Russian hands-off warning to US, Saudis, Turks amid crucial Aleppo battle
 
Back
Top Bottom