Nyinyi mko kishabiki hapa ila Mimi sipo kishabiki,naongelea mfumo wa fedha wa dunia,huu mfumo ulikubaliwa na dunia nzma,na dollar ilpata nguvu kwa sabab ndio njia pekee ilikuwa inatumika kulipa madeni ya vita ambayo marekan aliwakopesha ulaya na hyo ndio siri ya nguvu ya dollar na si vingnevyo,kwahyo njia ya kuua dollar n kuacha kutumia dollar kwenye international payment system, na kumbuka China tangu 2010 anapgana kujitoa,umesikia hata wagombea uraisi wameahid kuiomba China irud kwenye dollar INA iache Ku devalue their currency