Averoes
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 986
- 514
When you have that number 46m ni sawa na population nzima ya kwetu Tanzania. Kwa America ikiwa wanajisifia kuwa wameweza kuongeza uajira ya watu laki moja katika mwaka ni aibu kubwa kuwa na watu laki 2 wasio na makaazi ya kukaa na wanaishi below poverty line sembise hao 46m kama unataka ubishi wa sokoni kariakoo mimi siwezi. Pinga kwa hoja sio unauliza pasenti hapa. Hata wale ndugu zetu omba omba pale Mnazi Mmoja ni lazima tuwajali kuwa nao Binadam wenzetu hata kama wachache.hio 46mil ni asilimia ngapi ya total population yao?? maana unaposema 46mil mtu anaweza jua ni km nchi nzima kumbe haikaribii hata robo ya wamarekani mkuu
Si unaona siku alizokuja Obama tuliona aibu tukawahamisha mitaani kote[emoji15]