Kwa resources zilizopo Tanzania inahitaji kutumia hizo resources kupata mikopo nafuu yenye riba ndogo au bila riba. Nchi zilokuwa hazina masharti magumu na ujuzi na technologia ya kisasa. Nchi amabazo zisokuwa na uchoyo wa kubia ujuzi know how.
Inahitaji kuingia ubia na makampuni makubwa Joint Ventures kutumia utaalamu wao na kuajiri waatalamu ambao watafanya kazi katika daraja sanjari (Paralell) na wazawa ambao wataingizwa katika program za mafunzo wakiwa tayari ni waajiriwa katika hiyo miradi hata wakishapikwa vizuri wanakuja kuchukuwa nafasi zao wakishakuwa confirmed wanaendelezwa kwa kubadilishana (crosspostings) kwenye miradi ya kampuni bia katika nchi amabazo tayari ina miradi kama hiyo. Hivi ndio wanavyofanya wenzetu huku tunakofanya kazi. Unapikwa ukapikika bila ubaguzi wa jinsia rangi au vyenginevyo (diversity) ni kazi uwajibikaji endelevu (sustainable perfomance), ufanisi (efficiency) na uzalishaji (productivity) ndio vigezo vya kupanda ngazi sio siasa na ukanda.
Might is not right