CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,464
Urusi ana hali mbaya kiuchumi lakini ana silaha za kutosha kuangamiza dunia.na ndio mtaji wake uliobaki,ndio maana kila siku haishi chokoza chokoza,wamarekani na uingereza wanalijua hilo.ndio maana hawana haraka nae maana wanajua hata wakiingia vitani,ni wao ndio watapoteza yeye mrusi alishapoteza zamani sana.
Mkuu analysis yako ni WRONG!Putin anaweza kuwa anatumia mwanya uliopo kwenye political system ya Marekani kuhusu mgawanyiko wa Republican na Democrats; ila itakapofika kuwa enough is enough na jamaa wakawa Marekani moja kama ilivyokuwa 9/11 utashangaa kuona mabavu ya Marekani dhidi ya Putin na wafuasi wake. Cold War iliyokwishwa zaidi miaka 20 iliiypita na kuacxha superpower mmoja haiwezi kurudi tena leo. Sehemu kubwa sana ya teknolojia inayotumiwa na urusi leo imetoka marekani, na vile vile uchumi wote wa urusi leo unategema sana gesi wanayouza kwenye nchi za NATO.
Umeongea point tupu, big up.Mkuu analysis yako ni WRONG!
Mrusi bado ni mrusi, kama kuna somo mrusi amejifunza ni la Iraq na Libya juu ya Intentions za nchi za magharibi.
Checkmate tumeiona Syria, mrusi kasema hatoki mtu pale, na sasa ni stale mate!
Una sahau juu ya Georgia, Marekani walipiga makelele sana lakini mrusi akamwadabisha Georgia kwa kupekeka majeshi NDANI ya nchi hiyo na kufanya kile atakacho.
Nakushangaa kuwashabikia marekani na nchi za magharibi, ama sivyo utuambie Iraq ina jema gani wakati 9/11 muasisi wake ni Bin Laden, Msaudi Arabia.
Na Gaddafi kafanya kosa lipi na wa Libya wako wapi sasa.
Nakuambia katika hili la Ukraine Urusi haija paparika imepiga mahesabu , na utaona pengine Ukraine ikisambaratika.
Crimea kuna warudi wengi na jimbo lenye mamlaka yake.
Magharibi wamechochea migomo na TV za CNN na wengine walikuwa wakichekelea wakati molotov coctails zilikuwa zikirushwa dhidi ya rais halali.
Sasa warudi wamefanya vivyo huko Crimea, sasa CNN na TV za magharibi zinalia lia, tit for tat.
Ninavyomfahamu mrusi, ngoma bado mbichi, na kama unafikiri ati mrusi anamtegemea Mmarekani, stay around to be proved wrong again.
Mkuu analysis yako ni WRONG!

urusi anaogopa jinsi NATO anavyozidi kunyemelea mpakani mwake,hiyo ndo bifu kubwa.baada ya kuisha kwa vita baridi warusi walivunja umoja wao wa kijeshi wa WARSAW PACT kwa nia nzuri kabisa,lakini ajabu nchi za magharibi walibaki na NATO,na mbaya zaidi wakaanza kuzishawishi nchi zilizojitenga na urusi kujiunga na NATO,jambo lilowafanya warusi waanze kuhisi wanazungukwa kijeshi.kwani imekua tabia ya wamarekani kuwazunguka kijeshi nchi adui,mfano kile kinachoendelea huko china etc.Urusi ana hali mbaya kiuchumi lakini ana silaha za kutosha kuangamiza dunia.na ndio mtaji wake uliobaki,ndio maana kila siku haishi chokoza chokoza,wamarekani na uingereza wanalijua hilo.ndio maana hawana haraka nae maana wanajua hata wakiingia vitani,ni wao ndio watapoteza yeye mrusi alishapoteza zamani sana.
Na hii ni neema kwa nchi zinazoendelea...sasa tutapumua... na tutafanya mambo yetu kwa nafasi.Cold war 2.0 has begun
Na hii ni neema kwa nchi zinazoendelea...sasa tutapumua... na tutafanya mambo yetu kwa nafasi.
Obama piga Putin!!!
Putin ana mikwara tu but when its comes for action he proved wrong
Us na NATO watamtoa kwenye ikulu ya kremine faster we jaribu kuivamia ukrain
Kipindi cha WW1 na WW2 mataifa mengi yanayoendela yalikuwa makoloni ya mataifa makubwa...hivyo tulilazimishwa kuingia vita hivyo....kwa sasa tuko huru...Vita ya wakubwa yaani Urusi na US + EU haitatuhusu moja kwa moja. Ila kwa kwa kuwa tunategemea misaada kutoka kwa wakubwa hawa kwa ajiri ya mipango yetu tutayumba ila hatuaanguka. Pia mbinu zao za kutuvuruga na kutuhujumu ili tupigane sisi kwa sisi zitapungua au kusitishwa...na tutapanga mambo yetu kwa uhuru zaidi.Mkuu,
Huu mgogoro uki escalate unaweza kuzaa world war three
WW3 itakuaje neema kwa nchi zetu?
Mkuu inaelekea wewe ni mmoja wa waathirika wa propaganda za magharibi kupitia CNN na mashirika mengine.Usongee kwa hisia; matatizo makubwa ya Marekani yako kwenye political system yao, ambapo wakati Rais Obama ni demokrat, congress inayoidhisha matumizi ya serikali iko mikononi mwa Republican. Sitaki kuandika kuwa kutokana na Obama kuwa mweusi kuna republicans kadhaa wanataka utawala wake uwe wenye matatizo makubwa. Ila ukweli ni kuwa Marekani ikiamua kuvuruga na kuondoka itafanya kweli kweli. Tatizo jingine liko kwenye ustaarabu wao kuwa huwa hawataki kuvuruga nchi na kuondoka bila kuacha utawala madhubuti. Ndiyo maana hata huko Afghansitani wanamuomoa rais Kharzai ambaye ni wao waliomweka na wanaweza kumwondoa wakati wowote wakitaka. Kuanguka kwa Libya hakukutokana na mkono wa Marekani bali kulitokana na mambo yao wenywe ya ndani kwa ndani na makosa ya Ghadafi kuadhibu raia wasiokuwa na hatia hivyo kuufaanya umoja wa mataifa uingile. Ni kweli kuwa prefect mkuu wa umoja wa Mataifa ni Marekani, lakini yaliyotokea Libya hayakuwa na maslahi kwa marekani bali kwa ilikuwa ni kwa sababu ya kasoro za Ghadaffi na umoja wa mataifa.
Mkuu unaongea kitu unachokijua au wapiga makelele tu?Obama piga Putin!!!
Putin ana mikwara tu but when its comes for action he proved wrong
Us na NATO watamtoa kwenye ikulu ya kremine faster we jaribu kuivamia ukrain